Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 745
- 1,329
Yeye anakula kulingana na urefu wa kamba yake , hawezi kuingilia mambo.Hawa sio ndugu wa tumbo moja wala baba mmoja .. na Twaha kwao ni kama black sheep. Chezea asali ?

Yani drama za nyumbu ndio Abdallah nayeye mnataka achefuke nazo !!!!
Twaha mwaipwaya hajatekwa zaidi
Ya Siasa zenu za kupotosha ulimwengu na nyumbu wenu✍️
Polepole nae amejiteka??Yani drama za nyumbu ndio Abdallah nayeye mnataka achefuke nazo !!!!
Twaha mwaipwaya hajatekwa zaidi
Ya Siasa zenu za kupotosha ulimwengu na nyumbu wenu✍️
Una uhakika kuwa wana undugu au unaongea tu kwa sababu wanafanana ubini?
Basi yatakuwa maajabu...ndugu hao.
..tena wanafanana.
Uhuni afanye mwingine, lawama ziende kwa mwingine? Pumbavu!DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria.
Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake.
Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
View attachment 3700506View attachment 3700507
Ulitaka mkuu wa wilaya aikolomee serikali? Hujui kuwa kazi ya ukuu wa wilaya unaweza kifukuzwa kwa muda wowote kama mlinzi wa getini na boss mwenye nyumba.
Ukiwa CCM na utu unaondokaDC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria.
Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake.
Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
View attachment 3700506View attachment 3700507
Una uhakika kuwa wana undugu au unaongea tu kwa sababu wanafanana ubini?
Sema ABD ni mtu poa sana kumbe ni bro wake na Twaha ?DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria.
Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake.
Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
View attachment 3700506View attachment 3700507
Naye anaogopa maana hana platform ya kusemeaYaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake.
Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
Ht hivyo mbona atafukuzwa tu hii kazi sioUlitaka mkuu wa wilaya aikolomee serikali? Hujui kuwa kazi ya ukuu wa wilaya unaweza kifukuzwa kwa muda wowote kama mlinzi wa getini na boss mwenye nyumba.
Hata kama wamezaliwa baba mmoja mama mmoja, kama mdogo wako ameamua kuwa fala utamsaidiaje??DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria.
Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake.
Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
View attachment 3700506View attachment 3700507
Hii minyumbu inazidi kuchanganyikiwa, ni mijinga mijingaaaa. Yenyewe inafikiri Kila mtu ni nyumbu wa kumpangia Cha kufanyaUna uhakika kuwa wana undugu au unaongea tu kwa sababu wanafanana ubini?
Wanadhani serikali itakuwa nao miaka yote, kumbe familia ndio itakayo watunza wakianza kuharisha.DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria.
Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake.
Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
View attachment 3700506View attachment 3700507
Samahani kidogo, lakini hv huwa mnafikiria na kuchambua hata mnavyojadili au mnaugua?Wanadhani serikali itakuwa nao miaka yote, kumbe familia ndio itakayo watunza wakianza kuharisha.