Kwa wafanyabiashara wa Soko la Kilombero na Soko Kuu - Arusha: Hii Inawahusu

manlu

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2026
Posts
201
Reaction score
313
Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light.

Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na hadhi ya Mkoa wa Arusha.

Nawasilisha
 
Unamaanisha hawawezi kuanza ujenzi pasipo kuchoma kwanza soko?

Mbona lile la Mwanza walianza ujenzi bila soko lililokuwepo kuchomwa moto?
 
Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light.

Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na hadhi ya Mkoa wa Arusha.

Nawasilisha
ok.
asante kwa porojo 🐒
 
Hili hata namba moja aliepo sasa alishalisemaga, staili ya kuchoma ishapitwa na wakati hii.....
Sipendezwi na hii tabia ya uchomaji wa masoko makusudi...

Wafanyabiashara wa masoko wapewe muda wa kutoka..soko libomolewe..na kujengwa, Kisha wapewe kipaumbele kurudi.. hii michezo ya kuchoma moto watu wanajua huwa inafanyika makusudi
 
Ushauri wangu kwa wafanyabiashara wakubwa
KATENI BIMA MAPEMA mtakuja kunishukuru baadaye.
 
Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light.

Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na hadhi ya Mkoa wa Arusha.

Nawasilisha
pale kilombero si linajengwa mkuu
 
Back
Top Bottom