Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
1. UTANGULIZI
Elimu ya fedha ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. Miongoni mwa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji ni uwekezaji katika hisa, ambao humwezesha mtu kumiliki sehemu ya kampuni na kushiriki katika matokeo ya biashara...
Mitsubishi ni moja ya waanzilishi wa Magari ya Umeme (EV) ambapo mwaka 2009 alitoa Mitsubishi i-MiEV.
Pamoja na kwamba mauzo hayakua ya kimapinduzi kama Nissan Leaf au Tesla, ila credits wacha apewe.
Mbali na i-MiEV, pia alitoa Minicab EV na Eclipse Cross EV. Hayo tuyaache.
Sasa, tuna RVR...
Hadithi.
Kila Jumapili, padri mmoja (nadhani kule mkoani Mara) alikuwa na utaratibu wake: akipanda baiskeli kwenda kanisani, alisimama chini ya mti fulani wa muembe na kujisaidia haja ndogo kama mnyama fungo. 😂
Siku moja, akamkuta mtoto juu ya mti. Akamwita ashuke, kisha akampa pesa za...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, akizungumza wakati akifungua Jukwaa la Soko la Kaboni na Uwekezaji Tanzania 2026, lililofanyika Jijini Dar es Salaam, Oktoba 22, 2026.
Dar es Salaam. Tanzania inalenga kuwa kitovu cha biashara ya...
Huu mtaro upo Arusha maeneo ya Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero sana na hatarishi, maji yametuama hayatembei kabisa.
Hali ni mbaya sana na uongozi upo kimya paka vinyesi, maana hiyo ni chemba zinafunguliwa wakati wa usiku na mtaro umeziba maji yanajaa barabarani yenye vinyesi.
Anonymous
Thread
afya
arusha
barabara
kero
kuu
mmoja
mnazi
mnazi mmoja
soko
Wafanyabiashara wa kigeni wanaotuhumiwa kukiuka vizuizi vya Tanzania vinavyowazuia raia wa kigeni kuendesha baadhi ya biashara, wanadaiwa kubadilisha mbinu ili kuendelea kubaki katika soko lenye faida la Kariakoo.
Wengine wanaripotiwa kutumia majina ya Watanzania kupata leseni za biashara, huku...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akisalimiana na Waziri wa Mazingira wa Rwanda Dkt. Bernadette Arakwiye mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Masoko ya Kaboni Afrika wa mwaka 2026 unaofanyika kwa siku mbili Kigali nchini Rwanda...
Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light.
Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na...
Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta eneo lingine ambalo litagharimu mabilioni ya fedha kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi.
Wananchi...
eneo
fedha
fedha za umma
kaliua
katika
mabaya
matumizi
matumizi mabaya
matumizi mabaya ya fedha
rushwa
soko
ujenzi
ujenzi wa soko
umma
wilaya
wilaya ya kaliua
Habari wakuu wa jukwaa hili la JamiiForums. Ni miezi kadhaa sasa tangu mradi wetu wa kimkakati wa Treni ya Kisasa (SGR) uanze kutoa huduma kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma. Wakati Watanzania wengi wakifurahia reli hii mpya, kuna changamoto kubwa sana inayoumiza kichwa na inayozua...
Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa, linalotumiwa na machinga wadogo, wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro.
Tukio hilo limeibua maswali kuhusu namna zoezi hilo lilivyotekelezwa na athari zake kwa wafanyabiashara wanaotegemea biashara hizo...
Moja kwa moja...
Kutokana na Vita vinavyoendelea kati ya Russia na Ukraine Marekani na mataifa ya Ulaya wakaiwekea vikwavyo vingi Russia mpaka kwenye Gas na mafuta yao . Marekani na Trump wakawa wakali kwa mataifa ambayo yalikuwa yanaendekea kununua mafuta ya Russia mfano mzuri ni India ...
Tesla amezindua Electric Semi officially juzi juzi, na amesema zitakua sokoni kuanzia 2027.
BYD nae ameleta ETT 44 Electric Truck, ambayo ni 4x2, inabeba hadi 44T, na Ina 980 HP.
Inakuja na battery mbili, kubwa ikiwa ni 630 kWh inayotembea hadi 600 km ikiwa full charge, na unaweza kuchaji...
BYD kujaribu kuingia soko la Japan, wamezindua "kei car" BYD Racco, kwenda kushindana na wakina Honda N, Nissan Roox, Nissan Sakura nk.
Racco ni FWD 5 doors microvan inayokuja na battery la 22 kWh au 35 kWh, ambazo zinakupeleka Kilometa au full charge.
Racco Ina power sliding doors, NFC...
Leo Oktoba Mosi ni Siku ya Kahawa Duniani na kwa Tanzania ina maana kubwa sana.
Umuhimu wake kwa Soko la Ndani:
1. Kutoka Kulima kwa Wazungu kwenda Kunywa kwa Watanzania
Ukweli mchungu: Tanzania inazalisha tani 70,000 kwa mwaka, lakini 92-93% inaenda nje,.mtanzania mmoja anakunywa kikombe...
Soko la Mbao la Sabasaba lililopo Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza limewaka moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika,
Moto huo ulioonekana usiku wa kuamkia leo Jumanne, Septemba 22, 2026 umefanikiwa kudhibitiwa kwa jitihada za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Polisi na wananchi.
Tukio hilo la...
Moto mkubwa umetokea usiku wa kuamkia leo, Septemba 21, 2026 katika Soko la Machinga jijini Dodoma na kuteketeza vibanda pamoja na mali za wafanyabiashara, huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.
Baadhi ya wafanyabiashara katika soko hilo wamesema walianza kuona moshi kabla ya moto...
Kampuni za Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto ya kutotambulika kwa kiwango kinachostahili katika mazingira ya biashara ya kimataifa. Hali hii inaweza kupunguza fursa za kampuni kupata uwekezaji, kuingia katika ubia wa kimkakati na kushirikiana na kampuni kubwa kutoka nje ya nchi.
Kwa...
Nimechaguliwa kozi ya it, kwa wale wanayo ijua hii kozi naomba wani fafanulie kuhusu fursa zake za ajira pamoja na kujiajiri Kama inawezekana,pia naomba na ufafanuzi wa hii kozi kuhusu urahisi wake na ugumu wake katika kuisoma ukiwa chuo?
Msimu wa Saba wa kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa umezinduliwa rasmi huku msisitizo mkubwa ukiwa kwa watanzania kujenga utamaduni wa kunywa kahawa ikiwa ni mkakati wa kukuza soko la ndani .
Uzinduzi huo umefanyika September 4,2026 kwenye makao makuu ya Bodi ya Kahawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.