secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hadithi.
Kila Jumapili, padri mmoja (nadhani kule mkoani Mara) alikuwa na utaratibu wake: akipanda baiskeli kwenda kanisani, alisimama chini ya mti fulani wa muembe na kujisaidia haja ndogo kama mnyama fungo. 😂
Siku moja, akamkuta mtoto juu ya mti. Akamwita ashuke, kisha akampa pesa za kununua peremende. Mtoto akaenda nyumbani kwa furaha na kumwonyesha mama yake zawadi hiyo.
Mama, baada ya kusikia kilichotokea, akajiambia moyoni: “Na mimi wiki ijayo lazima niwepo!”
Jumapili iliyofuata, mama akawahi kupanda mtini. Padri akafika, akafanya mambo yake (kukojoa ) kama kawaida. Mama akautikisa mti ili padri amwone.
Padri alipomtazama, akamwambia ashuke. Kisha akampa pesa na kumwambia:
"Nenda kanunue wembe!" 🤣🤣🤣
Hadithi hii sijaisimulia kama ilivyosimuliwa kwenye kitabu maana riwaya ya Makuadi wa Soko Huria niliisoma kitambo sana, hivyo sikumbuki vizuri.
R.I.P Chachage Seithy Chachage.
Cc Mshana Jr, Moisemusajiografii,
Dr am 4 real PhD.