Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Tesla amezindua Electric Semi officially juzi juzi, na amesema zitakua sokoni kuanzia 2027.
BYD nae ameleta ETT 44 Electric Truck, ambayo ni 4x2, inabeba hadi 44T, na Ina 980 HP.
Inakuja na battery mbili, kubwa ikiwa ni 630 kWh inayotembea hadi 600 km ikiwa full charge, na unaweza kuchaji 20-80% ndani ya dk 20. Battery ya LPF Ina warranty ya miaka 10 au Kilometa Million 1.
Maximum speed ni 90 km/h, na Ina zaidi ya 12 ADAS features za kumsaidia dereva, kama vile adaptive cruise control, autonomous emergency braking, lane-keeping assistance, na blind spot detection.
Bei itaanzia $288k, ambayo sio tofauti sana na Tesla Semi ya $260k.