Ndagullachrles
JF-Expert Member
- Jun 20, 2023
- 256
- 259
Leo Oktoba Mosi ni Siku ya Kahawa Duniani na kwa Tanzania ina maana kubwa sana.
Umuhimu wake kwa Soko la Ndani:
1. Kutoka Kulima kwa Wazungu kwenda Kunywa kwa Watanzania
Ukweli mchungu: Tanzania inazalisha tani 70,000 kwa mwaka, lakini 92-93% inaenda nje,.mtanzania mmoja anakunywa kikombe kimoja kwa wiki tu. Wakenya wanakunywa mara 3 zaidi yetu.
Siku ya leo inatukumbusha: Tusiuze ghafi yote, tunywe sisi wenyewe kwanza
2. Ni Fursa ya Elimu
Watu wengi bado wanaamini kahawa inalewesha au ni sumu.
Siku hii inatumika na Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) na Wizara ya Kilimo kufundisha:
1. Faida za kiafya za kahawa
2. Bei ya raia ni Tsh 20,000 tu kuingia shambani na kunywa?
3. Jinsi ya kutengeneza kahawa nyumbani sio lazima uende hotelini
3. Kuongeza Thamani na Ajira kwa Vijana
Tukinywa kahawa hapa hapa:
1. Mkulima wa Mbozi, Bukoba, Arusha, Tarime atapata soko la uhakika
-2.Vijana watafungua maduka ya kahawa (coffee shops) - kama ilivyo Arusha na Dar sasa
- Pesa inabaki Tanzania badala ya kuuza ghafi kwa $3 na kununua chupa kwa $15
Msimu huu tu hadi Januari 2026, kahawa kilo Milioni 54.2 zimeuzwa kwa thamani ya Dola Milioni 334. Hiyo ni pesa kubwa.
Kama soko la ndani lingekua na nguvu, bei ingeongezeka zaidi.
Mikakati ya Serikali kwa Soko la Ndani:
1. Kampeni ya "Kunywa Kahawa ya Tanzania"* - TCB inaweka vioski vya kahawa ofisini, mashuleni.
2. Uzalishaji kuongezeka.
Mpango mkakati wa UNIDO na TCB wa Mei 2026 unalenga kuongeza uzalishaji kutoka tani 70k hadi 200k kufikia 2030
3. Kuandikisha wakulima
Zaidi ya kaya 400,000 zinalima kahawa kwenye mikoa 17
4. Value addition
Kuruhusu vyama vya ushirika kuchoma na kusaga hapa hapa badala ya kuuza ghafi
Kwa kifupi Siku ya Kahawa Duniani kwetu Tanzania sio sherehe tu bali nii kengele ya kuamsha mkulima alime, Mtanzania anywe, Pesa ibaki nyumbani.
Tukutane kahawa Festival October 8-10 sehemu ni Moja tu
Tanganyika Coffee Curring