Nyumba inapangishwa Arusha Sanawari

Nyumba inapangishwa Arusha Sanawari

Emaoi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
308
Reaction score
236
Nyumba inapangishwa Arusha sanawari ya juu. Ni vyumba viwili doble self ina chumba na sebule na choo. Hakuna jiko lakini unaweza kufanya partition ya jiko. Pia ni karibu na barabara. Kwa mawasiliano zaidi piga 0768 368 574
karibu.
 
Ina rangi nzuri na ni mpya kabisa kwa muonekano Mkuu HONGERA
 
Bei ni mzuri tsh. 20,000 kwa mwezi mkuu
 
Hivi shule mlienda kusomea ujinga.

Kama sijasahau form 3 au 4 walimu walifundisha jinsi ya kuandika tangazo katika masomo ya lugha ya Kiswahili na Kingereza.

Nyie form four failures huu ni ujinga gani mnatuandikia hapa😬😬😬

Bloody wahed,gaddemit!!!!
 
Back
Top Bottom