Wizi wa ardhi Arusha - wajamaa wamedhulumiana

Wizi wa ardhi Arusha - wajamaa wamedhulumiana

fish 2

Senior Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
190
Reaction score
392
Mmoja alikuwa SIIARA na jamaa dalali loya, ambaye aliacha kazi za mahakamani. Dalali alikuwa mbeba kofia kabla ya mwingine kuwa mjengoni, halafu akawa topu wa kambi la masipoti na uzushi.

Sasa si wakampiga mtasha fala eka 50 pale kuvuka daraja la mabosi wa wanyama porini A JIJI, akaachiwa dalali loya auze. Ahaaah! Loya akaona, kwani shilingi ngapi? Kampiga gaa mnene. Weeeh, chori kachorwa!

Walitumia janjioroo, mashamba kibao, mpaka Mshikabomba akawa topu bilionea kifaru. Ila sasa ndiyo wanatakiaana kifo tu, hawaongei wala hawasemezani.

Lakini kwenye lile dili la uwanja kule barabara ya pete, mukulu kachanua na nyongeza ya 18 hadi 32, kapiga la juu.

Twende tu, msimu wa Arsenal uvuke pale 30 watapike, wallahi!

Ila msitoane roho bana. Manjuru yakogo tuu na yataachwa hapa duniani. KAMA VIPI HUELEWI, PITA HIVI. SI LAZIMA, DADADEKI!
 
Haha unasimulia kama sisi tulikuwepo ama ni wana tunao jua huo mchongo ..hebu rudia usome ulichoandika maana umezingua
 
Basi hapo sijui unajikuta nani kuwaandikia watu kimeru, utadhani wote mmetokea migombani
 
Duuh.

Nakushauri rudi nyumbani.

Zinatosha jomba.
 
Chalii mwandiko wako wakichuga chuga ndio unafanya vijana wa chuga waonekane hamnazo arifu
 
Back
Top Bottom