ardhi

  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi yalenga kuwa kinara wa uandaaji ramani Afrika

    DODOMA: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inalenga kuijengea uwezo endelevu Tanzania kuandaa na kuhuisha ramani za msingi, ili kujitegemea katika huduma hizo na hatimaye kuzitoa kwa nchi nyingine za Afrika. Hayo yamesemwa leo Novemba 3, 2026 jijini Dodoma na Kamishna wa Ardhi, Bw...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KSh10.2 Bilioni za Bomas Zitaishia Mifukoni mwa Nani? KTN Yafichua Mkataba Wenye Utata

    Uchunguzi wa KTN News umeibua maswali kuhusu matumizi ya mabilioni ya fedha za umma katika mradi wa ujenzi wa Bomas International Convention Complex (BICC), baada ya kufichuliwa kwa mkataba wenye gharama zilizoongezeka na vipengele vya malipo vinavyotiliwa shaka. Katika uchunguzi uliotangazwa...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Jengo la Ofisi ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ni moja ya majengo ambayo yamesanifiwa na kujengwa kwa ubora na muonekano maridhawa katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Jengo hili limejengwa kwa usanifu wa kisasa wa ghorofa lenye muonekano wa kuvutia ambao kwa pamoja na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wizi wa ardhi Arusha - wajamaa wamedhulumiana

    Mmoja alikuwa SIIARA na jamaa dalali loya, ambaye aliacha kazi za mahakamani. Dalali alikuwa mbeba kofia kabla ya mwingine kuwa mjengoni, halafu akawa topu wa kambi la masipoti na uzushi. Sasa si wakampiga mtasha fala eka 50 pale kuvuka daraja la mabosi wa wanyama porini A JIJI, akaachiwa...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za upangaji zatakiwa kuepuka mipango ya matumizi ya ardhi kwenye maeneo hatarishi

    Mamlaka za Upangaji nchini zimetakiwa kuepuka kuandaa na kuidhinisha mipango ya matumizi ya ardhi katika maeneo hatarishi, ikiwemo mabonde na maeneo yanayopitisha maji, ili kulinda usalama wa wananchi na kuimarisha usimamizi bora wa matumizi ya ardhi. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ardhi Kliniki-Kondoa

    Timu ya Wataalamu wa Sekta ya Ardhi Mkoa wa Dodoma, ikiongozwa na Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa Bi. Happines Mtutwa wakiendelea kuwahudumia wananchi hadi majira ya usiku katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea wilayani Kondoa tarehe 21 Oktoba 2026.
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania WIZARA YA ARDHI YATEKELEZA OMBI LA WANANCHI WA BAGAMOYO KUONESHWA MIPAKA YA MAENEO YAO

    BAGAMOYO, PWANI Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, leo tarehe 21 Oktoba 2026, imetekeleza ombi la wananchi wa Bagamoyo, mkoani Pwani, la kuoneshwa mipaka ya maeneo yao yaliyopo katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Sanzale, wilayani humo. Akisimamia na kuelekeza utekelezaji wa zoezi...
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wawataka wananchi Bagamoyo kuwasilisha kero za ardhi kwa uwazi

    Kamishna wa Ardhi, Nathaniel Nhonge, akizungumza na wananchi katika eneo la Shule ya Msingi Majengo, Bagamoyo, Oktoba 19, 2026, kabla ya kuanza kusikiliza na kushughulikia changamoto zao za ardhi. Katika mazungumzo hayo, Nhonge amesisitiza umuhimu wa kutoa huduma kwa wakati na kuzingatia...
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ardhi Kliniki-Bagamoyo

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, akisikiliza kero za ardhi wakati wa Kliniki Maalum ya Ardhi inayoendelea Viwanja vya Shule ya Msingi Majengo, Bagamoyo, mkoani Pwani, Oktoba 19, 2026. Mhe. Dkt Akwilapo ametembelea Kliniki hiyo akiambatana Mbunge wa Jimbo la...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwitikira, Wilaya ya Bahi, Watoto wadogo wanakwenda futi sita chini ya ardhi kutafuta maji

    Mwitikira, Wilaya ya Bahi, Mkoa wa Dodoma, Tanzania. Watoto wadogo wanakwenda futi sita chini ya ardhi kutafuta maji angalau kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Unasikia hapo, watoto wanachapa lugha ya wagogo, wanasema “kuna jongoo wengi sana”. Halafu, CAG anasema TANROADS (watu wenye kuhusika...
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yakagua miradi ya NHC

    Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Timotheo Mzava (Mb), imekagua maendeleo ya ujenzi wa miradi mitatu ya nyumba inayotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dodoma. Ziara hiyo imefanyika Oktoba 19, 2026, ambapo...
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Mabaraza ya ardhi Wilaya tatu za Mwanza waapishwa, watakiwa kutenda haki

    MWANZA: Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. CP. Salum Rashid Hamduni, amewaapisha wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba katika wilaya za Kwimba, Magu na Ilemela, huku akiwataka kutekeleza majukumu yao kwa haki, uadilifu na kuzingatia sheria ili kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wananchi na kupunguza...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kipunguni B, tunazungushwa kurasimisha ardhi yetu, nyumba zetu zipo kwenye eneo la viwanda

    Habari JF, Sisi ni baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Machimbo na mitaa jirani, Kata ya Kipunguni B, jijini Dar es Salaam. Tumekuwa tukizungushwa kwa muda mrefu kuhusu urasimishaji wa makazi yetu, bila kupata majibu ya uhakika kuhusu hatma ya nyumba na viwanja vyetu. Kwa zaidi ya miaka minane sasa...
  14. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania 42. Wananchi 268 wahudumiwa kliniki ya ardhi Chemba, hati 181 zasajiliwa

    CHEMBA Wananchi 268 wamehudumiwa katika Kliniki ya Ardhi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma ndani ya siku tano tangu kuanza kwa huduma hizo Oktoba 5, 2026, huku hati miliki za ardhi 181 zikiwa zimesajiliwa na nyingine 92 zimechukuliwa na wahusika. Akizungumza kuhusu mafanikio ya kliniki hiyo...
  15. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Hati milki za ardhi 266 zatolewa kwa Wananchi wa dawar hanang'

    HANANG' Jumla ya hati miliki 266 za viwanja na mashamba zimetolewa kwa wananchi wa Kata ya Dawar mkoani Manyara. Hati hizo zimetolewa Oktoba 8, 2026 na Mkuu wa Wilaya ya Hanang’, aliyekuwa Mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi hati hizo Mhe. Vita Rashid Kawawa, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Pwani kuja na duka la ardhi

    Stanslaus Nyongo, amesema ofisi yake imeandaa mkakati wa kuanzisha soko la ardhi litakalowawezesha wananchi kununua na kuuza ardhi. Note: Je huu ndio msumari wa migogoro ya ardhi? Source...
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Tetemeke la ardhi limetokea Bukoba leo alfajiri

    Habari ya uhakika ni kuwa tetemeko la ardhi laikumba bukoba majira ya alfajiri ambapo wakazi waliamua kukumbia nje ya nyumba zao bila nguo kunusuru maisha yao hata hivyo hakuna madhara yeyote yaliyoripotiwa hadi sasa Geologist tunamba ufafanuzi wa hili swala iweje tetemeko la ardhi mshindwe...
  18. M

    JamiiForums Tanzania HATARI INAYOWAKABILI WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA ARDHI (ARU)

    Kufuatia ukosefu mkubwa wa hostels kwa wananafunzi wa vyuo vikuu ikiwepo chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), wanafunzi wengi wa chuo hiki wanaishi nje ya maeneo ya Chuo kuanzia maeneo ya Mwenge,Mpakani, Lufungila Survey,Makongo juu na maeneo ya Jirani ANGALIZO Kwenye kona ya chuo cha ARU ukiwa...
  19. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ardhi Sports yang’ara SHIMIWI, yatwaa vikombe vinne

    Timu ya Ardhi Sports imefanya vizuri katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) 2026 kwa kutwaa vikombe vinne, ikiwemo ubingwa wa mpira wa miguu na mchezo wa Darts. Mashindano hayo yaliyoshirikisha watumishi kutoka Wizara, Idara na Taasisi...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Waziri mkuu na wizara ya Ardhi, Upimaji Haramu wa Ardhi wilaya ya serengeti.

    Nikiwa kama mdau wa maendeo nchini napenda kujua kwa nini halmashauri ya wilaya ya serengeti mkoani Mara imeruhusu upimaji wa viwanja na Mashamba bila kutoa stakabadhi za EFD wananchi wanabaki na makaratasi ambayo serikali haiyatambui nani yuko nyuma ya hili zoezi gharama ziko juu wananchi...
Back
Top Bottom