Mwitikira, Wilaya ya Bahi, Watoto wadogo wanakwenda futi sita chini ya ardhi kutafuta maji

Mwitikira, Wilaya ya Bahi, Watoto wadogo wanakwenda futi sita chini ya ardhi kutafuta maji

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwitikira, Wilaya ya Bahi, Mkoa wa Dodoma, Tanzania.

Watoto wadogo wanakwenda futi sita chini ya ardhi kutafuta maji angalau kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.

Unasikia hapo, watoto wanachapa lugha ya wagogo, wanasema “kuna jongoo wengi sana”. Halafu, CAG anasema TANROADS (watu wenye kuhusika na barabara) walipewa Shs136.69 bilioni za kununua mtambo wa kuzalisha sukari kwa ajili ya kiwanda cha Mkulazi Holding Company Limited na huo mtambo haujawahi kuonekana popote. TANROADS na sukari wapi na wapi? 🙆🏾

 
Fikiria ufaransa na maghorofa mazuri,bara bara nzuri,bado wanaandamana lakini Tanzania kinyago Mmoja anatoaka anasema tumejenga flyover 😭,tumejenga bwawa la umeme,huku raia hawana uhakika wa kula,kusoma shule zenye madawati,hawana ajira 😭😭😭
 
Nimeona hiyo video inaumiza sana, hasa yule mtoto wa kike anavyopanda na ndoo yake... Kama una moyo mwepesi huwezi kuimaliza
 
Back
Top Bottom