Moise Aimar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 683
- 1,111
Kufuatia ukosefu mkubwa wa hostels kwa wananafunzi wa vyuo vikuu ikiwepo chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), wanafunzi wengi wa chuo hiki wanaishi nje ya maeneo ya Chuo kuanzia maeneo ya Mwenge,Mpakani, Lufungila Survey,Makongo juu na maeneo ya Jirani
ANGALIZO
Kwenye kona ya chuo cha ARU ukiwa unatokea Survey Kuelekea Goba hii sehemu ni hatari sana kwa wavuka kwa miguu hasa hasa wanafunzi hawa sababu kubwa
Hakuna alama za kivuko
Hakuna tuta
Ni Giza sana nyakati za join
USHAURI
ARU mna building department fanyieni kazi hili kuepusha majanga na kauli za “Mungu aliwapenda Zaidi”