Miaka ya 2010s nikiwa chuo fulani mkoani Morogoro, darasani tulikuwa wanafunzi zaidi ya 200, kulikuwa na. Freshers pamoja wanafunzi waliotoka makazini wanajiendeleza kimasomo miongoni mwao kulikuwa na askari jeshi lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuukataa unyanyasaji wa yule lecturer mtukutu...
Binafsi, nina kampuni ya usafi inayotoa huduma katika taasisi kadhaa, ikiwemo Chuo Kikuu cha Mlimani. Hata hivyo, changamoto kubwa imekuwa ni malipo ya huduma tunazotoa. Unaweza kufanya kazi kwa zaidi ya miezi tisa bila kulipwa, huku ukiwa na wafanyakazi wenye familia zinazokutegemea na ambao...
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi za Tiba Muhimbili (MUHAS) ninayesoma Shahada ya Afya ya Mazingira (Environmental Health Sciences).
Ninalalamika kukoseshwa mkopo wangu wa elimu ya juu licha ya kukidhi vigezo vyote. Aidha, tunapojaribu kupiga simu kitengo cha huduma kwa...
Habari wadau wa JF.
Nimefundisha sekondari za serikali kwa miaka 12, hivi karibuni nimepata ofa ya ajira chuo kikuu binafsi kama assistant lecturer. Mshahara wangu wa serikali ni mdogo sana na nimepambana kupata nafasi chuo kikuu cha public nimekwama. Mwenye uzoefu naomba tusaidiane ushauri je...
Habari, wana-JamiiForums.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayetarajia kuingia mwaka wa tatu hivi karibuni. Nimebaini kuwa HESLB imeweka kiasi cha TSh 2,310,000 kama jumla ya malipo ya MA (boom) kwa mwaka, badala ya TSh 2,400,000 kama ilivyoelezwa kwenye mkataba wangu.
Aidha, kiasi...
Anonymous
Thread
bodi
bodi ya mkopo
boom
chuochuokikuu
heslb
hivi punde
kikuu
kuingia
malipo
mimi
mkopo
mkopo heslb
mwaka
mwanafunzi
mwanafunzi wa chuo
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza tuliopata mikopo ya elimu ya juu tunatakiwa kulipa ada kwanza ili kukamilisha usajili, licha ya kuwa tayari tumedhaminiwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Hali hii inatupa changamoto kutokana na uwezo mdogo wa kifedha wa familia zetu, na...
Baraza la Madaktari na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDC) limeitoza Faini Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kiasi cha KSh1 milioni kutokana na usimamizi mbovu na mapungufu katika matibabu ya Valarie Cherono Misoi, aliyefariki dunia baada ya kujifungua mnamo Agosti 2019.
Kamati ya nidhamu...
HIYO HAPO JUU NDIO ZAWADI ALIYOPEWA BEST STUDENT WA CHUO KIKUU KUTOKA BENK YA CRDB
picha ya chini ndio zawadi aliyopewa content cretor Teresa kutoka benk hiyo hiyo ya crdb, yaani zawadi ya teresa ni kubwa mara 20 ya zawadi ya best student wa chuo kikuu
Kufuatia ukosefu mkubwa wa hostels kwa wananafunzi wa vyuo vikuu ikiwepo chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), wanafunzi wengi wa chuo hiki wanaishi nje ya maeneo ya Chuo kuanzia maeneo ya Mwenge,Mpakani, Lufungila Survey,Makongo juu na maeneo ya Jirani
ANGALIZO
Kwenye kona ya chuo cha ARU ukiwa...
Habari, mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Matokeo ya mwaka huu yametoka, lakini kwa baadhi yetu yamewekwa kwenye mfumo kama “withheld”, licha ya kuwa tumekamilisha malipo yote ya ada na hatuna deni lolote la chuo.
Chuo kimetoa namba ya Bursar ambayo wanafunzi wenye changamoto...
Nimesoma malalamiko humu JF ya kuwa wahadhiri na wafanyakazi wa chuo kikuu Tumaini Makumira hawajalipwa mishahara yao tangia mwezi wa 7, hii ni hatari, huu si utu, si ubinadamu, ni uuaji, ni ukatili kwa binadamu. Dr. Mwigulu km unawajali hao watanzania na binadamu wenzako upatapo post hii mpigie...
Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kipo mkoani Arusha, kilikuwa chuo kizuri sana na kilishawahi kuwa ndani ya vyuo vikuu 10 Tanzania. Chuo kikuu hiki kimelea vyuo vikuu vishiriki ambavyo sahv ni vyuo vikuu kamili km University of Iringa, KCMC University, Dar Es Salaam Tumaini University(DarTU)...
Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu.
Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) wa Mwaka 2024. Kutokana na kuchelewa...
Anonymous
Thread
bachelor
bachelor degree
chuochuokikuu
degree
kikuu
kufuata
malipo
mbeya
must
mwaka
mwaka 2025
refund
taratibu
wanafunzi
Kweli dunia haiko fair.
Wakati goti wa kuvundika anafurushwa timu ya taifa kwa dharau the real GOAT Lionel Messi(LM10) anapewa degree ya heshima na chuo kikuu cha Aeres Buenos kama utambuzi wa mchango wake mkubwa katika soka la Argentina na dunia kwa ujumla.
Nadhani mafuta yanaanza kujitenga...
Katika hali ya kusikitisha, chuo hiki kikubwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, chenye majengo makubwa na mazuri, kinakabiliwa na changamoto ya ukarabati na usafi. Baadhi ya maeneo, hususan vyoo, yamekuwa katika hali isiyoridhisha kutokana na kutofanyiwa matengenezo ya mara kwa mara.
Ni...
Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,
Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .
Zamani sifa za kujiunga na chuo kikuu ilikuwa lazima...
Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
Nilihitimu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Mwaka 2025 katika Shahada ya Bachelor of Science in Telecommunication Engineering, kero yangu ni kuhusu fedha za overpayment ambazo tulipaswa kurejeshewa baada ya kumaliza masomo.
Baada ya kuhitimu, wahitimu tuliandika barua za kuomba kurejeshewa fedha...
Anonymous
Thread
chuochuokikuuchuokikuu cha dodoma
dodoma
kikuu
udom
Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.