TCU ondoeni entry ya division II & III kidato cha sita kujiunga na chuo kikuu otherwise ni kushusha hadhi ya Elimu

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,

Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .

Zamani sifa za kujiunga na chuo kikuu ilikuwa lazima uwe umefaulu kidato cha sita kwa division One ya point 3-7 tu otherwise nenda ukasome diploma.

Tulikuwa tukirudi kijjn likizo tu tunatambulishwa hadi kwenye mkutano wa Kijiji🤣

mwanafunzi wa chuo kikuu alikuwa anaonekana ni msomi kwelikweli siyo hawa wa sasa hata nidhamu hawana, sisi tulikuwa tunaratiba ya kuhutubiwa na Rais wa nchi..sasa sahzi majitu yapo chuo kikuu lakini akili ipo secondary tena kidato cha pili.

Heshima ya chuo kikuu sasa inabebwa na wanafunzi wa postgraduate kwakweli hawa wanahaiba ya usomi wa hali ya juu sana.

Leo hii mtu yupo chuo kikuu lakini kutwa anashinda anatengeneza content TikTok...ndo maana wanadharaulika na jamii.

TCU kazeni sifa za kujiunga na chuo kikuu ili baadhi ya vyuo viwe vya diploma...turudishe heshima ya chuo kikuu kwa jamii, jamii ione kujiunga chuo kikuu siyo mteremko kama ilivyo sasa
 
Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,

Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .

Nitaendelea badae kuandika
Haya maoni Yako umefanyia utafiti? Au umekuja hapa umekunywa zako supu ya mapupu

Mbio mbio ukaja hapa kutema upupu wako?
 
Umesoma hata kufika hiyo level ya advance kuona hata huo ugumu wa kupata division 2?
 
Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,

Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .

Nitaendelea badae kuandika
Acha tu nikuambie ukweli. Huu ushauri wako hakuna atakayeuchukua. Unaweza kuendelea baadae kuandika, it's your choice ila unapoteza muda kuaandika upuuzi
 
Haya maoni Yako umefanyia utafiti? Au umekuja hapa umekunywa zako supu ya mapupu

Mbio mbio ukaja hapa kutema upupu wako?
Hajafanya utafiti. Watu wa division II baadhi ya kozi hapa Tz wanakosa nafasi kwa sababu ya competition lakini wakienda kuomba vyuo vya nje ya nchi ambavyo ni vikubwa kuliko vya Tz wanapata nafasi
Sasa huyu anasema wasiendelee chuo kikuu kwa hapa Tanzania wakati same people vyuo vya nje ya nchi vinawakubali kwa same division II ambazo mleta mada anashauri wasiendelee na masomo
 
Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,

Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .

Nitaendelea badae kuandika
Kwani diploma inatolewa wapi?au na vyuo gani?zamani kulikuwa hakuna haja hata ya kuwa na hiyo division one unayoihitaji.ukimaliza kidato cha nne na c zako nne unaenda chuo kikuu na unaperfom wonders.shida vijana wa leo mna mambo mengi vichwani.mnakariri sana badala ya kuelewa vitu.unadhani mwenye dv II au III hawezi kufanya vizuri!siyo kweli hiyo ni nadharia tu.
 
Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,

Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .

Nitaendelea badae kuandika
Utakuwa umesoma UDSM!
 
Una miaka mingapi?
 
Hajafanya utafiti. Watu wa division II baadhi ya kozi hapa Tz wanakosa nafasi kwa sababu ya competition lakini wakienda kuomba vyuo vya nje ya nchi ambavyo ni vikubwa kuliko vya Tz wanapata nafasi
Sasa huyu anasema wasiendelee chuo kikuu kwa hapa Tanzania wakati same people vyuo vya nje ya nchi vinawakubali kwa same division II ambazo mleta mada anashauri wasiendelee na masomo
Yaan Kila comment inamshangaa afanye tafiti sio kukurupuka na kuandika emotional
 
Kinachomuuma alieanzisha Uzi ni kujikuta yeye mwenye daraja la 1 wako wote na mwenye daraja ya 2 hapo kwenye chumba cha Mhadhara chuoni.
Ila acha wivu..kwa vyuo gani hivi vilivyojaa kila mtaa..someni tu wote.
 
Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,

Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .

Nitaendelea badae kuandika
Ila mwenye 'D' Nne kutoka Form Four ndo anafaa.
Mi mapendekezo yangu ingekuwa Kuingia Chuo Kikuu lazima uwe na Principle Tatu za Form Six.
Hakuna juchukua equivalent waliotoka na D Nne
 
Back
Top Bottom