Kidato cha 5 na 6 kifutwe kabisa ..div 1 na 2 wa form 4 waende moja kwa moja chuo ...wa takao pata division 3 waruhusiwe kurudia 1yr.. mitihani kuweka sawa ufaulu wao ...kama watafaulu masomo ya msingi waliyp feli nao waende chuoHaiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,
Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .
Nitaendelea badae kuandika
Hapa uzi tayari au utarejea baadaye mkuu?Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,
Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .
Nitaendelea badae kuandika
Huyo jamaa sio muelewa. Amekaririshwa na CCM kwamba shule za watoto wanaofanya vizuri (Mzumbe, Ibouru, Kilakala, etc) kuwa ni shule za vipaji, naye amemeza kama mambaKupata one sio kipaji bwana mdogo au hujui maana ya kipaji? Hujawahi kuona one ya 8,9 olevel wanapata 3 advance? Ni hivyo hivyo huko chuo na one yako unaweza kuambulia sup kibao huku wa two au three akikukimbiza.
Walioweka hizo entry qualification walifanya utafiti ,wewe umekurupuka eti kupata one ni kipaji.
Elimu! Elimu! Elimu!We ni km mtu uliyekata tamaa
Badae nitarejea tena manHapa uzi tayari au utarejea baadaye mkuu?
Ukiona somo ni gumu ujue huna akiliDivision II ya HKL, na Division II ya PCM, haiwezi kuwa sawa tajiri.
Wewe mchepua gani? Ungesoma hata EGM, ungeelewa maana ya Division II, kwa michepuo huo, na hii mada usingeanzisha.
Gpa ya 3 kama kawaidaNa wnaokwepa Form Six je?
Miaka ya kuishi au ya jamii forum?Una miaka mingapi?
Unafikiri nina elimu ya kuunga unga kama weweWewe fala kweli!! Hebu kabla GT hawajaanza kukujibu vizuri na kupoteza muda wao tuambie umri wako na elimu yako ili mjadala uende vizuri
kwani diploma hawasomi chuo kikuu?Nadhani division 1 na 11 ndio waendelee chuo kikuu. Division 111 Diploma.
Hujajibu swali nyumbu wewe!! Hivi dv 1 na 2 kwa mjumuisho umefanya tafiti ukaona wapo wangapi au unakurupuka tu kama nyumbu za lumumba kina Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa. Unataka vimbweta vya vyuoni wakae nyumbu? Koma koma kabisa kuleta nyuzi kama hizi bila utafitiUnafikiri ina elimu ya kuunga unga kama wewe
Mkuu achaga ujinga basiHujajibu swali nyumbu wewe!! Hivi dv 1 na 2 kwa mjumuisho umefanya tafiti ukaona wapo wangapi au unakurupuka tu kama nyumbu za lumumba kina Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa. Unataka vimbweta vya vyuoni wakae nyumbu? Koma koma kabisa kuleta nyuzi kama hizi bila utafiti
Well said mkuu.. ✔️Dah chuo au Bungeni
ShuleniDah chuo au Bungeni
Hapana Mimi Bado nakuita nyumbu kwa sababu haujafanya utafiti wa kujua ni asilimia ngapi ya wanafunzi kidato cha 6 wanapata 1 nchi nzima Yani ututenganishie shule za private na government tuone wapo wangapi ili tukae sasa tuijadili hoja yako tofauti na hapo acha porojo ndugu msomiMkuu achaga ujinga basi