A
Anonymous
Guest
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi za Tiba Muhimbili (MUHAS) ninayesoma Shahada ya Afya ya Mazingira (Environmental Health Sciences).
Ninalalamika kukoseshwa mkopo wangu wa elimu ya juu licha ya kukidhi vigezo vyote. Aidha, tunapojaribu kupiga simu kitengo cha huduma kwa wateja cha HESLB ili kupata ufafanuzi, wahudumu wamekuwa wakitufokea na kutuambia kwa dharau kuwa kupata mkopo sio lazima, kisha wanakata simu.
Tunaelewa kuwa mkopo ni fursa, lakini lugha ya kashfa na ubaguzi kwa kozi muhimu kama hii ya MUHAS inatukatisha tamaa sana.
Tunaomba uongozi wa HESLB uingilie kati suala hili.