lugha chafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Mikopo na Lugha Chafu ya Wahudumu wa HESLB kwa Wanafunzi wa MUHAS

    Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi za Tiba Muhimbili (MUHAS) ninayesoma Shahada ya Afya ya Mazingira (Environmental Health Sciences). Ninalalamika kukoseshwa mkopo wangu wa elimu ya juu licha ya kukidhi vigezo vyote. Aidha, tunapojaribu kupiga simu kitengo cha huduma kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ombi la hatua dhidi ya matumizi ya lugha chafu katika Stendi ya Mwendokasi Mbezi kwa Nabii Mashimo

    YAH: OMBI LA HATUA DHIDI YA MATUMIZI YA LUGHA CHAFU KATIKA STENDI YA MWENDOKASI MBEZI YALIYOTOLEWA LEO JUMAMOSI YA TAR3 OCTOBER 2026 NA NABII MASHIMO Ndugu viongozi na mamlaka husika, Ninaomba kutoa malalamiko kuhusu tukio nililolishuhudia katika stendi ya Mwendokasi Mbezi, ambapo mhubiri...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali na watumishi acheni kauli chafu , teknolojia imekuwa kubwa , unamtukana mtu kumbe anakurecord dakika sifuri hauna kazi .

    Hii naongea ili kutoa alert kwa viongozi wote wa serikali na watumishi wa umma. Unamtukana mtu na unampatia huduma mbovu kumbe anakurecord na mwishowe unaishia kufukuzwa Kazi au kusimamishwa. Be alert mtaani ni pagumu ukirudi mtaani unabidi uende VETA ndo ujiajiri.
Back
Top Bottom