A
Anonymous
Guest
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza tuliopata mikopo ya elimu ya juu tunatakiwa kulipa ada kwanza ili kukamilisha usajili, licha ya kuwa tayari tumedhaminiwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Hali hii inatupa changamoto kutokana na uwezo mdogo wa kifedha wa familia zetu, na ikiendelea inaweza kusababisha baadhi yetu kushindwa kukamilisha usajili na kuendelea na masomo.