Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinatimiza miaka 65 (25.10.2026). Mbona hamna hata mdahalo? Kulikoni?

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
 
Watanzania wamekuwa waoga kusikiliza hoja kinzani,wame ndiyo ,ndiyo kosa woga kujibu hoja kwa hoja,vivyo wanaweza ni Bora kutozisikia hoja zenyewe🤔
 
Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
Ule utamaduni wa midahalo UDSM umeuwawa na wanasiasa hasa kuanzia Magufuli 2015.
 
Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
Anzisha wewe huo mdahalo

Yaani unapanga vitu kwenye fuvu lako halafu unataka vitokee tu

Mental health is very serious aisee
 
Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
Midahalo haitakiwi.
Viongozi wa kisiasa wanajiona wanajua kila kitu.
Wanazuoni wabobevu nao wamegeuka machawa wa viongozi wa kisiasa!
Hali ni mbaya! Mbaya sana!
 
Matatizo makubwa tulionayo nchi hii yamechangiwa na wasomi kutoka UDSM
 
Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
Kwani wenyewe wanalijua hilo! Naona kama wako kwenye eda ya kufiwa na Kuhanga.
 
Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
Wasomi waliondoka hapo UDSM, waliobaki ni wanaokariri tu!
 
Back
Top Bottom