Messi kutunukiwa degree ya heshima na chuo kikuu cha Buenos Aires.

hydroxo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
6,772
Reaction score
15,651
Kweli dunia haiko fair.

Wakati goti wa kuvundika anafurushwa timu ya taifa kwa dharau the real GOAT Lionel Messi(LM10) anapewa degree ya heshima na chuo kikuu cha Aeres Buenos kama utambuzi wa mchango wake mkubwa katika soka la Argentina na dunia kwa ujumla.

Nadhani mafuta yanaanza kujitenga na maji sasa na dunia inaanza kutambua nani ni GOAT wa ukweli.

Yanayomfika CR7 hata Ronaldinho Gaucho au Neymar wasingeweza kuyapata.
Screenshot_20261002-090311_Facebook.jpg

loose Nut

secretarybird

Olmo

Scars
 
View attachment 3682264

loose Nut

secretarybird

Olmo

Scars
GOAT debate settled

1790926988411.png
 
Dokta Leonel Messi 🔥
 
Chuo gani kimemtunuku hiyo degree ya heshima?

Au ndio vile vyuo vya uchochoroni the likes of Amazon college.
Cha msingi sio chuo cha madrasa.

Mwanzo nilijua hoja ni degree ya heshima. Lakini kumbe hii hoja haihojiwi uhalali wake pale anapotajwa Messi tu.

Wakitajwa mastaa wengine (Msukuma) mnaanza ku question uhalali wa hiyo tuzo (double standard).

It turns out kumbe degree ambayo hujaisomea haijawahi kuwa na mchongo wowote.
 
Sasa ndugu yangu utaifananisha degree ya heshima ya chuo kama Havard na Teku kweli?

Taja chuo kilichompa degree ya heshima huyo darasa la 7 msukuma.
 
Back
Top Bottom