Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN...
Naomba kama kuna wakili mkali mwenye rekodi ya uhakika ya kesi za Ardhi nitajiwe hapa ...nna ndugu Wana kesi za Ardhi zinawasumbua sana...
Natanguliza shukran
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuondoa kwenye nafasi yake Afisa Ardhi wa Wilaya ya Korogwe, Nyambega Kichele, kwa kutokufuata utaratibu wa kutoa hati za ardhi na kusababisha migogoro.
Waziri Ndejembi amechukua hatua hiyo wakati wa ziara yake ya siku...
Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024
Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007.
Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
Habari wakuu,
Kuna hii application ya Wizara ya Ardhi inayoitwa ardhi kiganjani kuna aliefanikiwa kufungua account maana inasumbua sana sijui tatizo nini nataka nifanye maombi ya hati.
Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri.
Kejeli zao, nani akaishi mapori, huko wanaishi wanyama, mimi nikajilipua nikasema hii pesa yangu ngoja niiwekeze.
Ni miaka nane...
Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake.
Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila namna gani alivyopima na kupangilia makazi yake ndicho kielelezo pekee kinachoweza kukwambia kuwa...
Wagombea nafasi ya Uenyekiti kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa Chama cha National League of Democracy (NLD) wamebainisha kuwa zipo kero ambazo watakwenda kuzifanyia kazi kwa maslahi ya wananchi kwani ni za muda mrefu.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mkutano wao wa hadhara ikiwa ni...
Kumekuwa na shida sana kwenye Namba za Huduma kwa wateja kwenye baadhi ya Wizara za Serikali, kama namba ya huduma kwa wateja Wizara ya Ardhi , mwananchi unapata shida ili upige simu upate msaada wa kitaalamu unakuta namba haiiti na wameitangaza kwenye website ya wizara, au namba inaita ila...
Anonymous
Thread
ardhi
haipatikani
huduma
huduma kwa wateja
namba
wateja
wizara
wizara ya ardhi
Nimegundua sasa ni kwanini watu wananunua viwanja kisha wanaendelea kutumia hati zenye majina ya watu wengine bila kubadilisha majina.
1.) Hivi inakuwaje mtu anunue kiwanja milioni 50 kisha report ya valuation iseme kwamba kina thamani ya 200mil.?! Kama kweli kinathamani hiyo kwanini mtu auze...
Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker...
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda haki kwa wakati katika usuluhishi wa migogoro na kupunguza malalamiko ya Wananchi ili kukomesha...
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji isiyokamilika, na hali ya miundombinu ya barabara jimboni kwake. Hata hivyo, Waitara amesisitiza...
Katika Tanzania, makampuni ya mitandao ya simu kama Vodacom, Tigo, na Airtel hutafuta ardhi kwa ajili ya kuanzisha minara ya mawasiliano ili kufikia wateja zaidi na kuboresha huduma za mtandao.
Kukodisha ardhi kwa makampuni haya kumeleta fursa kwa wamiliki wa ardhi ambao wanaweza kufaidika...
Nimeona hii clip ya Waziri wa Ardhi akiongea na wafanyakazi wa Ardhi wenye tuhuma mbali mbali.
Kinachokosekana hapo kwenye kikao ni kahawa na vitafunio.
Waziri ana chat na watuhumiwa, tutafika?
Hapo ilikusa mtu abebwe masobe msobe ndani ya Defender na ajikute kalalia Segerea...
Wana Jamiiforums mko salama?
Mimi naomba Wakazi wa Chanika Zingiziwa mtusaidie kuhusu suala hili, kwa mwenye kufahamu.
Juzi, nilitembelea Kata ya Zingiziwa, iliyopo Chanika na kuzungumza na wakazi kuhusu uchaguzi.
Nilijulishwa kuwa takriban Wananchi 10,000 wamekataa kujiandikisha na wameapa...
Wakuu habari za majukumu,
Ningie moja kwa Moja kwenye mada, miaka mitano ilopita mzee alikuwa anachimba shimo la choo, shimo lilipo fika futi nane hewa/upepo mkali ukawa unatoka chini ya ardhi, kwa wataalamu naombeni ufafanuzi je inaweza kuwa ni mkondo wa maji? ama ni ges au kunaaina fulani ya...
Msaada ndugu nina mgogoro wa ardhi mahali ambapo bibi yangu alikuwa analima kuanzia miaka ya 80 na sidhani kama aliwahi kuwa na hati ya hilo eneo ila ndio mahali tumekuwa tukipata mazao ya kula kama familia.
Sasa kuna mtu amevamia eneo baada ya bibi kufariki, sasa je nitaweza vipi kuthibitisha...
Ardhi ya urithi ni ardhi ambayo inamilikiwa na mtu kupitia kurithi kutoka kwa wazazi, ndugu, au jamaa kwa njia ya urithi wa kiasili au kisheria. Hii ina maana kwamba umiliki wa ardhi unapita kutoka kizazi kimoja hadi kingine bila kuhitaji ununuzi wa kibiashara.
Mara nyingi, ardhi ya urithi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.