Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023.
Wakili Msomi Fulgence Masawe ameeleza Umri wenye migogoro mingi zaidi ya Ardhi ni miaka 45 hadi 54. Katika kesi za ardhi 66% ni Wanaume lakini...
Karibu siku 5 zilizopita limeibuka sakakata la kitapeli kutokana na wajihi wa mlalamikaji Ndg Marijani Msofe aka Papa Musofe chuma cha reli hakiingii kutu.
Papa Msofe anadai anamiliki ardhi yapata miaka 7 hajawai kwenda wala serikali ya mtaa haimtambui kama ni mmiliki na ardhi hiyo karibu...
Mwenyekiti Ngome ya Vijana- ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema "Serikali iwatumie vijana wengi wahitimu ambao ni Surveyors, Town planners. Wapo mtaani hawana kazi Serikali iwape majukumu hawa vijana waipime ardhi nchi nzima bure bila kudai fedha kwa Wananchi.
"Serikali itapata faida nyingi...
Peace, (Mods naomba msibadili tittle ya uzi huu pia nitashukuru kama hamta uunganisa. Asante)
Wakuu, (hasa vijana) ardhi bado zipo nyingi sana maeneo tofauti na za kila aina, unapotaka kununua ardhi KAMWE usinunue ardhi yenye makaburi. Wenye makaburi wana haki na kwa hakika watakuja...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi na wataalamu wa Idara ya Maendeleo ya Makazi pamoja na Idara ya Upimaji na Ramani Agosti 13, 2024 ambacho kimefanyika Makao Makuu ya Wizara Mtumba jijini Dodoma.
Soma Pia:
Waziri Ndejembi ataka uadilifu na...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta...
Vitendo vya utapeli vinavyofanywa na kampuni ya KMM LAND USE CONSULTING CO.LTD, yenye namba ya usajili 0359-T0218, iliyo na ofisi Sinza - Dar es Salaam. Kampuni hii ilipewa kibali cha upimaji katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, lakini imeshindwa kutoa huduma kwa wananchi kwa mujibu wa...
Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.
Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,
Maisha ya hapa yanawavutia mno.
Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.
Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.
Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuongeza uadilifu na kutenda haki katika utekelezaji wa majukumu yao sambamba na kuongeza kasi katika utendaji kazi.
Mhe. Ndejembi namesema, suala la ardhi ni gumu na linahitaji...
Ukifungua kesi ya ardhi ambayo kiwanja kimesajiliwa au kina hati, unatakiwa kumshtaki pia na Msajili wa hati (Registrar of titles). Kushindwa kumuunganisha au kumshtaki Msajili kwenye kesi ambayo ardhi ina hati ni kumnyima haki ya kusikilizwa. Na hukumu yoyote itakayotolewa kwenye hiyo kesi bila...
Professa wa sheria Issa Shivji wa Tanzania anayeheshimiwa duniani na aliyefundisha na kutafiti na kuandika vitabu vingi vya masuala ya ardhi anawakumbusha Watanzania: nchi inauzwa kwa kasi na "Wamawakala wapya wa mabeberu." ambao anasema sifa zao ni "Watawala hawaoni mbali. Siasa zao ni za...
Kati ya wizara inayonikosha kwa mama samia n wizara ya ardhi
Hii wizara ilijawa na wahunj kila anaeingia anataka kujaza na ardhi mkononi mwake na kusahau majukumu yaliomteua
Kati ya wizara bora mama amefanya uteuzi n wizara ya ardhi
Mdogo wetu kiumri jerey silaa kwanza una shida ana ingilika...
Wabari wa jambi kuna kitu nimekuwa nakiwaza naona kinanipa utata aidha mnisaidie kunielekeza
1. Je tanesco wanatoza kodi ya JENGO AU ARDHI?
1.1. kama ni ardhi kwanini mtu mwenye eneo lake anafuga kuku au mbuzi au analima ila anatumia umeme wa solar au hatumii umeme kabisa au mshumaa hapigwi...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya Wananchi wapatao 246 na muwekezaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage katika eneo la Kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi hao wanadai kutolipwa malipo...
Kama una command ya kiingereza soma. Utaona kuwa people are smart! Pamoja na kuwa ni utapeli, lakini ulivyokuwa planned , Alex yuko smart.
All in all, Court of Appeal imempiga chini na damages, costs juu!
THE STORY OF CHANGE
Kutokana na ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania bara kutoka milioni 33.5 sensa ya mwaka 2002 hadi milioni 44.92 sensa ya mwaka 2012, na kufikia milioni 59.851 sensa ya mwaka 2022, kumekuwa na ukuaji mkubwa wa miji na ongezeko la mahitaji ya ardhi kutokana na upatikanaji...
Wizara ya ardhi ni miongoni mwa sekta nyeti sana ambayo mtu yeyote anayepewa nafasi ya kuiongoza wizara hii hapaswi kucheza nayo hata kidogo mathalani viongozi wa vijiji na watendaji wote katika mipaka yao wanapaswa kutambua madhara ambayo yanaweza kujitokeza endapo hawatatilia mkazo juu ya...
Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.