ardhi

  1. U

    Jeshi Israel lamnasa kamanda Hezbollah alijificha handakini chini ardhini lenye silaha na mahitaji muhimu, apelekwa Israel kuhojiwa

    Wadau hamjamboni nyote? Shughuli inaendelea huko Lebanon Gaidi anaswa live chini ya ardhi huko Lebanon, apelekwa sehemu maalumu kwa ajili ya mahojiano Mungu ibariki Israel Taarifa zaidi kwa kimombo hapo chini: October 13, 2024 IDF troops capture Hezbollah fighter in underground bunker...
  2. Carlos The Jackal

    Kituko Kingine, Serikali kutumia Mabilioni ya Fedha Et Taifa lianzie kutumia Maji ya chini ya Ardhi

    Heeeeee, hata kama ni Kutengeneza mazingira ya Padiemu , hizi zingine muwe mnatumia akili hata kidogo. Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, Ziwa Victoria Baba laooo, vijiziwa vidogo vidogo , yote hayo Mungu katupa, bado mnapanga kutupiga watanzania ?. Ziwa Victoria linahamisha watu Kwa sababu ya...
  3. K

    DOKEZO Wananchi wa Ponde, kata ya Toangoma tumedhulumiwa Ardhi na Billionea mhindi

    Natuma kwa niaba ya ndugu yangu Mimi mkazi wa Ponde kata ya Toangoma wilaya ya Temeke, naomba kutoa malalamiko kwa viongozi wetu kuna Bilionea muhindi anaitwa KURBAN AHMED KHAKI, anatunyang’anya viwanja vyetu kwa nguvu na kuanza kujenga kwa kigezo wananchi walitakiwa kumlipa 10% ya thamani ya...
  4. zigi 01

    Naombeni ushauri chuo gani kizuri kwa kozi ya ICT

    Naombeni ushauri chuo gani kizuri kwa kozi ya ICT kati ya vyuo hivyo hapo kwa level ya degree!. Chuo kizuri kwa kozi ya ict kati ya must, arusha tech na ardhi
  5. B

    Migogoro wa ardhi Kijiji cha Nyamkonge kata Nyahongo Wilaya Rorya Mkoa Mara

    Mwenyeskiti Kijiji cha nyamkonge kata Nyahongo wilaya rorya kwa kushirikiana na diwani pamoja na mbunge , walihamua kupindisha ramani nakupitisha barabara kwenye makazi ya wananchi kwakutumia mabavu nakufukia mazao Yao nakuwaaribia muundo mbinunkwenye viwanja ivyo. bila kulipwa fidia yoyote ata...
  6. aleesha

    Ardhi ya Zanzibar ( Aricle 1 )

    👉 Ardhi ni nini? 👉 Nani anasitahili kuilinda ardhi ya visiwa vya Zanzibar? 👉 Mmiliki ni nani? 👉 Nani anaweza kumiliki? Kila nchi Duniani ina ardhi yake huenda matumizi ya ardhi katika kila nchi yanaweza kutofautiana kulingana na maamuzi yao. Nchi zote Duniani zinaamini katika ardhi zao na...
  7. Aliko Musa

    Tumia Hizi Njia 2 Kutafuta Na Kumiliki Ardhi Kwa Bei Nafuu Mahali Popote

    Njia mbili kuu za kutafuta na kupata viwanja vinavyouzwa kwa bei nafuu ni kupitia madalali na mtandao wa watu sahihi. Madalali wa ardhi na majengo. Madalali wa ardhi ni watu wenye ujuzi wa masoko ya ardhi na wanaweza kukusaidia kupata viwanja vilivyopo kwenye bei nafuu. Madalali wana uelewa...
  8. Mr Dudumizi

    Mamlaka ya uteuzi iangalie namna ya kuwapa watoto wa mjini wizara kama ujenzi na ardhi wajenge nchi

    Habari zenu wanaJF wenzangu Wakati mungine inabidi tu tuambiane ukweli bila kupepesa macho ili kupata njia ya kulisongesha mbele taifa letu, na kutuepusha na aibu ambayo huwa tunaipata pindi tunapotembelewa na wageni mbali mbali kutoka Ulaya, Asia, Marekani, East Afrika, Africa yenyewe na...
  9. Lord denning

    Tuvunje Wizara ya Ardhi na Tamisemi tuwape Wazungu

    Kielelezo cha kufeli kwa Mtanzania au kufeli wa Serikali ya Tanzania ni kwenye Wizara mbili 1. Wizara ya Ardhi 2. Wizara ya Tamisemi. Kila nikienda majiji makubwa kuanzia Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Arusha na hadi Dodoma nasikitika kwa kuona Nchi hii imefeli kwa sehemu kubwa sana kwenye...
  10. W

    RC Tanga: Wawekezaji wasiolipa fidia wanyang’anywe ardhi

    Mkuu wa Mkoa amesema ana taarifa za baadhi ya wilaya kuwa na wawekezaji waliotakiwa kulipa fidia Sh400 milioni kwa wananchi takribani, lakini wameshindwa kulipa huku wakiendelea kushika ardhi ya wananchi. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Buriani amewaagiza wakuu wa wilaya kuhakikisha...
  11. Aliko Musa

    Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo

    Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo Katika safari ya uwekezaji kwenye majengo, kuwa na Mastermind Group ni muhimu sana kwa sababu ya faida nyingi ambazo kundi hili linaweza kuleta. Mastermind Group ni kundi la watu wenye malengo...
  12. R

    Taratibu za kubadilisha matumizi ya ardhi

    Mwenye kufahamu process za kubadiri matumizi ya ardhi anielimidhe please. Unapitia hatua zipi/
  13. Roving Journalist

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yakagua Miradi ya ujenzi Kituo cha Utalii na Kituo cha Utafiti

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Timotheo Mnzava (Mb) imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya shilingi...
  14. 5523

    Jeshi la Ukraine lasonga mbele kunyakua ardhi ya Urusi Kursk region

    Vita sasa inaingia kwenye sura mpya Ukraine anasonga mbele kujinyakulia maeneo ndani ya urusi, 1300km square kilometers
  15. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya Ardhi yahitimisha mafunzo ya viashiria hatarishi vitakavyosaidia katika utekelezaji wa majukumu

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imehitimisha mafunzo ya siku tatu kwa watumishi wa wizara hiyo kuhusiana na viashiria hatarishi. Mafunzi hayo yamefanyika jijini Dodoma yakihusisha Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Waratibu wanaosimamia masuala ya viashiria hatarishi kwenye...
  16. Aliko Musa

    Sehemu 10 Unazoweza Kupata Maarifa Sahihi Kuhusu Kutengeneza Fedha Kwenye Ardhi Na Majengo

    Kabla ya kuwekeza fedha zako kwenye ardhi na majengo, ni muhimu kupata maarifa sahihi kwa sababu kadhaa. Kwanza, maarifa haya yatakusaidia kuelewa hali halisi ya soko la ardhi na majengo, ikiwa ni pamoja na bei, mahitaji, na mitindo ya uwekezaji inayofaa. Bila uelewa huu, unaweza kupoteza...
  17. D

    Huyu Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Ubungo, ana tatizo somewhere!

    Nimemshuhudia mara kadhaa, akitunushiniasha misuli na mawakili na hata kuwatamkia maneno yasiyo ya kistaarbu mbele ya wateja wao. Najiuluza, kama Kuna tatizo mahala, hakuna namna nyingine ya kueleweshana badala ya kufokeana na kuoneshana umwamba mbele ya lay persons? Kama sio frustrations...
  18. JanguKamaJangu

    DC Kiteto aenda kusikiliza Wananchi wa Ndaleta kuhusu mgogoro wa Ardhi, Wenyeji wailalamikia Halmashauri

    Wananchi wa Kijiji cha Ndaleta Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wameilalamikia Halmashauri ya Wilaya hiyo wakidai imehusika kuhujumu Wananchi kwa kiwango kikubwa katika masuala ya mgogoro wa ardhi yanayoendelea. Wameeleza kuwa wamefikisha malalamiko yao mara nyingi kuhusu mgogoro wa ardhi lakini...
  19. Z

    FATMA KARUME: Netanyahu alitumia tactic hii ya kuwanyima Wapalestina huduma za kijamii ili wahame GAZA na Waisraeli wachukuwe ardhi yao

    Ni kweli serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia ilitumia mbinu inayofanana na ya Netanyahu wa Israel kuwaondoa Massai Ngorongoro?
  20. S

    Mpaka sasa serikali imeshindwa kukanusha madai kuwa inawaondoa Wamasai ili ardhi yao apewe Mwarabu

    Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu? Binafsi naamini wanashindwa kukanusha kwasababu wanajua muda utawaumbua. CCM must go!
Back
Top Bottom