Mimi ni mfanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu (Simiyu RRH), niliajiriwa miaka kadhaa iliyopita. Kwa muda ambao nimefanya kazi katika hospitali hii, nimekuwa nikishuhudia changamoto nyingi, ikiwemo tuhuma za wizi na upotevu wa mali na fedha za hospitali.
Pia soma ~ RC Mtanda awapa...
Anonymous
Thread
changamoto
hospitali
hospitali ya rufaa
mrefu
muda
muda mrefu
rufaa
simiyu
vizuri
wizi
Mmoja alikuwa SIIARA na jamaa dalali loya, ambaye aliacha kazi za mahakamani. Dalali alikuwa mbeba kofia kabla ya mwingine kuwa mjengoni, halafu akawa topu wa kambi la masipoti na uzushi.
Sasa si wakampiga mtasha fala eka 50 pale kuvuka daraja la mabosi wa wanyama porini A JIJI, akaachiwa...
Nimeishi mikoa zaidi ya 8 hapa Bongo ila hakuna mkoa ulijua kuninyoosha kama Mbeya.
Nakumbuka mara yangu ya kwanza kabisa kufika 2018 iyo nilikaa Lodge kama wiki hivi nikitafuta Chumba cha kuishi nikabahatika kupata maeneo ya Checkpoint-Forest ya Zamani huwezi amini baada ya wiki tu nikaibiwa...
Ukimaliza kufanya Wiring, ili upate mita ya Tanesco,unatakiwa utumie wakala( Mkandarasi ) ili kuingiza maombi yako kwenye mfumo!
Wizi hawa Wakandarasi au Mawakala wanachaji kiasi chochote cha pesa,hawatoi risiti yoyote kwa mteja! Huu ni wizi na Tanesco wanaelewa kuwa Wakandarasi wanaumiza...
Habari wadau,
Uzi wa leo tunashona sekta ya afya hapa nchini malawi.
Wengi mnatambua kuwa kuna mfumo huu wa taasisi za afya za malawi.
Ambapo unapofika hospital inaenda kwa mlolongo ufuatao;
1. Unasajiliwa ambapo baadhi ya hospitali za serikali ya malawi hukichaji mpaka zaidi ya 10,000
2...
Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2. Hii channel mtu amejipinda amelipia sh 12,000 kwa mwezi. Ni kipindi cha saa 1 moja...
Sehemu wanazouza kuku hasa wa kienyeji ukiagiza kuku nusu wa kuchoma au kukaanga hutakaa upewe firigisi, maini au hata shingo. Lakini pia sehemu nyingi mijini ukiagiza hata kuku mzima hupewi na firigisi zake pamoja na maini yake.
Huu ni wizi mkubwa kinyume na dini kabisa. Leteni firigisi...
Habari wana jamii.
Kuna taarifa imepostiwa mtandaoni ikieleza kukamatwa kwa wezi (wahalifu) ambao wanafanya kazi ya kuchakachua mitungi ya gesi za kupikia (LPG) jijini Dar-es-salaam.
Taarifa hiyo inadai kuwa watu hao huwa wanafanya kazi ya kupunguza kilo za gesi kutoka kwenye mitungi iliyojaa...
Kero ya wizi wa mita za maji Iringa mjini.
Siku za hivi karibuni kumejitokeza na wimbi la wizi wa mita za maji. Wizi huo umekithiri kiasi kwamba ukibiwa mita leo, na kesho ukienda ku report utapewa control number ulipie shilingi laki moja kama malipo ya kufungiwa mita mpya halafu ukifungiwa...
Anonymous
Thread
ingilia kati
iringa
kati
maji
mita
waziri
waziri wa maji
wizi
Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026, badala ya Oktoba 21 na 22.
Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili, uliokuwa umepangwa kufanyika Novemba 17 na 18, sasa utafanyika Oktoba 7 na 8, 2026.
Kwa...
Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo?
Kwa kuwa tukio la...
Anonymous
Thread
baada
bila
gari
katika
kuibiwa
leseni
madeni
magari
mfumo
mjini
mtu
naomba
wadau
wiziwizi wa magari
Kichwa cha habari kiko wazi. Kwanini Mungu ambaye haonekani wala hana uhitaji asanye sadaka? Tuzinduke.
Nawasilisha. Kama wahusika hawaibi wala kula sadaka, huu utajiri wanaupata wapi na lini? Kwanini wanapenda sana kuweka matajiri hata wanaopingana na itikadi zao mbele? Kwanini wengi wamo...
Mdau kutoka Arusha naomba kufichua vitendo vya wizi na uharibifu wa miundombinu vinavyoendelea katika maeneo mbalimbali ya pembezoni mwa barabara, hususan barabara zinazoendelea kufanyiwa marekebisho na nyingine ambazo bado hazijafanyiwa ukarabati.
Kumekuwa na watu wanaoharibu miundombinu ya...
Naandika uzi huu kufikisha kwa CEO na Uongozi wa Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) baadhi ya kero zinazowakabili wananchi na wasafiri wanapotumia huduma za stendi hiyo.
Sisi kama wananchi hatupingi kulipa TSh 300 za kiingilio, kwa kuwa tunaelewa kuwa tozo hiyo inalenga kuchangia...
Anonymous
Thread
bus
bus terminal
kero
magufuli
magufuli bus terminal
unyonyaji
vyoo
wizi
Habari zenu Wana-Jukwaa,
Lengo langu la kuandika uzi huu ni kutoa ushauri na wito kwa Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu namna linavyotumia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
Kazi kubwa na ya msingi ya TANESCO ni kuhakikisha Watanzania wanapata nishati ya umeme kwa usalama na...
Anonymous
Thread
kuelimisha
kuhusu
majanga
pongezi
tanesco
tumieni
umeme
umma
wizi
Very sad, mtu kaenda kanisani kumfuata Yesu, wewe kiongozi wa kanisa kutwa nzima ni kumsakama tu binti yangu ili ulale naye.
Msichana kakukataa umeanza kumsambaza eti ni mwizi, hii sio sawa, nataka sheria ichukie mkondo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.