BAKHRESA acha kutuibia watanzania Sinema zetu tumelipia ila imejaa matangazo, kila baada ya dk 5 matangazo, huu ni wizi. TCRA mko wapi? Basi iwe bure

AirorokiVava

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2026
Posts
258
Reaction score
302
Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2. Hii channel mtu amejipinda amelipia sh 12,000 kwa mwezi. Ni kipindi cha saa 1 moja movie 2, sasa kero kila baada ya dk 5 ni matangazo, hiki kipindi mtazamaji amelipia, kwanini mnadhulumu watazamaji muda wao walioulipia? Ktk dk 30 unakuta dk 10 ni matangazo ukizingatia wanajua ina watazamaji wengi. Bakhresa ukimwangalia ni mtu wa dini ila ni mdhulumaji tu km wengine, kweli tajiri haridhiki, anaona ni sawa kudhulumu hata hawa maskini!
TCRA wamelala, hawaoni huu ni wizi? Basi km mnapitisha matangazo yenu iwe bure km channel zinazorusha taarifa ya habari.
 
Suluhu ni kuachana na huo ubao wa matangazo ya Bakharesa
 
Ndg yangu haitatokea wanadamu tukafanana, kuna wanaoweza kulipia 4000 kila wiki. Acha dharau bwanamdogo
Smart tv umenunua kwa ajili ya nini.Ndio maana ccm inawafanya wajinga kwa ujinga kusema internet ni huduma ya abood kuzima SGRA
 
Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2. Hii channel mtu amejipinda amelipia sh 12,000 kwa mwezi. Ni kipindi cha saa 1 moja movie 2, sasa kero kila baada ya dk 5 ni matangazo, hiki kipindi mtazamaji amelipia, kwanini mnadhulumu watazamaji muda wao walioulipia? Ktk dk 30 unakuta dk 10 ni matangazo ukizingatia wanajua ina watazamaji wengi. Bakhresa ukimwangalia ni mtu wa dini ila ni mdhulumaji tu km wengine, kweli tajiri haridhiki, anaona ni sawa kudhulumu hata hawa maskini!
TCRA wamelala, hawaoni huu ni wizi? Basi km mnapitisha matangazo yenu iwe bure km channel zinazorusha taarifa ya habari.
Labda hao wenye matangazo hayo ndio wadhamini.

Njoo DSTV Mkuu, mambo ni super.
 
Back
Top Bottom