bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa aliangaliaga zile videos zinazo trend za kibao kata na baikoko akadhania ni mambo ya kawaida na ya bure bure Tanzania 😁

    Amejionea mwenywe tunayopitia, kaomba poo😁
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tunamlaumu Mama Gwajima kukaa kimya bure na kutochukua hatua kali? Huenda hii vita si rahisi kama tunavyofikiri

    Kuna jambo ambalo nafikiri tunapaswa kulitafakari. NGOs nyingi zinazofanya kazi za usawa wa kijinsia, afya ya uzazi na haki za binadamu zinafanya kazi chini ya usimamizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu. Baadhi ya mashirika haya hupokea ufadhili mkubwa kutoka...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ili la Anger linaumiza, je wako wangapi? 29/10/2025, ebu ingia the chanzo yaani nimejikuta nalia,ila machozi yangu hayajadodondoka bure.

    Baada ya tarehe 29/10/2026, kupita Kuna clip mbili zinasambaa kwa kasi, ya kwanza ni ya Bwana mmoja akilalamika mwanae kuuwa tarehe 29/10/2025,analalamika kutokupewa mwili wa mwanae ambaye alimkuta mochwari na baada ya siku kadhaa hakumkuta mwanae hata hapo mochwari maswali yake U wapi mwili...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Nimechukua maji ya baraka bure kanisa Katoliki. Mwamposa maji yake ni 1000/- kwa lita.

    Mmepewa bure toeni bure. Kwanini mtume Mwamposa auze maji yake? Au anayawekea Chloroquine kuua vijidudu vya Malaria 2 na mapepo wengine wachafu?
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii nchi imepitia mengi sana, kuna wakati wasabato walivamia airport ili wapande ndege bure ili wakaende kuhubiri kwenye mataifa ya nje

    This was 2008.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wapo Wapi Machawa wa Awamu ya Tano? Tahadhari na Somo la Bure kwa Machawa wa Awamu ya Sita

    Katika ulimwengu wa siasa za Tanzania, dhana ya kusifu, kuabudu na kulinda viongozi kwa macho makavu haijaanza leo. Hata hivyo, utamaduni huu ulifikia kilele chake cha kimkakati wakati wa Serikali ya Awamu ya Tano chini ya hayati Rais John Pombe Magufuli, na sasa unaendelea kwa kasi ya ajabu...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wagonjwa Karibu 89,000 Watibiwa Bure Mombasa Ndani ya Siku 19, Huduma Zaongezwa Hadi Novemba

    Serikali ya Kaunti ya Mombasa imeongeza muda wa mpango wa matibabu ya bure hadi Novemba 2026, baada ya wagonjwa 88,956 kupata huduma katika hospitali za umma ndani ya siku 19 pekee. Gavana Abdulswamad Shariff Nassir alitangaza uamuzi huo Jumanne, Oktoba 20, akisema idadi kubwa ya wananchi...
  8. haszu

    JamiiForums Tanzania Ngozi wanayoihangaikia kinadada kwa vipodozi, mimi Mungu kanipa bure

    Mwanaume kua na ngozi nzuri sio kosa hata kidgo, infact, mwanaume kua na ngozi laini inasaidia hata ukimshika mwenza wako, sio unamshika kama vile anakwanguliwa na msasa. Am so proud of my skin kwakweli, situmii vipodozi ila nime glow. Vijana, tunzeni ngozi, Kuwa na ngozi nzuri hakuondo...
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Licha ya kwamba vijana wanaaswa kulinda migongo yao, wengi wao wanainadi migongo yao kwa bei sawa na bure.

    Hali ni mbaàaaaayaaa
  10. Wauzaji wa Container Tz

    JamiiForums Tanzania Wajomba zako, ndugu hawajakunyima connection, hizo lawama ni za bure, kumbuka hawana kampuni, kiwanda wala biashara yoyote iliyosimama

    Wajomba zako , ndugu n.k hawajakunyima connection hizo lawama ni za bure , kumbuka hawana kampuni ,kiwanda wala biashara iliyosimama. Mara nyingi vijana, wanalaumu sana ndugu , wajomba n.k Ila ukifatilia MTU anayelaumiwa ni MTU asiye na potential hana uwezo wa kushawishi maamuzi yoyote. Hana...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ni upuuzi mtupu, hakuna El Nino. Mnavunja nyumba za watu bure

    El Nino iko wapi? Mnavunja vibanda vya wabebwa kwenye malori kujaza uwanja, leo mmewageuka. Wanalalamika hawjalipwa fidia.
  12. Ja Mara

    JamiiForums Tanzania KUNA WATU HAWAJUI KUWA WANAWEZA KUPATA MFUMO WA KUSIMAMIA BIASHARA BURE KABISA! 😳

    KUNA WATU HAWAJUI KUWA WANAWEZA KUPATA MFUMO WA KUSIMAMIA BIASHARA BURE KABISA! 😳 Rafiki yangu mmoja siku moja aliniambia anatafuta mfumo wa kusimamia biashara yake, lakini mifumo aliyokuwa anaiona ilikuwa ya kulipia na bei zake zilikuwa ghali sana kwake. Nikamuuliza, “Kaka, unafanya biashara...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mwaka jana nanenane watu waligawiwa gesi bure Leo gesi ilivyo panda ndio malipo ya gesi ya bure msishangae

    Watanganyika kama tutaendelea kukubali kutumiwa kila uchaguzi kwenye ujinga wa MaCCM basi yataendelea kubaki madarakani kwa mda mrefu. Tuyakatae maCCM na mambo yake yote na Hongo zake zote shetani CCM hana rafiki
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ai IMEDONDOSHA BOMU LA NUCLEAR! 💣🔥 Mtu mmoja atumia Ai kutengeneza mbadala wa software za Adobe bure - Photoshop, Premiere Pro, Illustrator, n.k.

    Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma. Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
  15. A

    JamiiForums Tanzania BAKHRESA acha kutuibia watanzania Sinema zetu tumelipia ila imejaa matangazo, kila baada ya dk 5 matangazo, huu ni wizi. TCRA mko wapi? Basi iwe bure

    Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2. Hii channel mtu amejipinda amelipia sh 12,000 kwa mwezi. Ni kipindi cha saa 1 moja...
  16. tovuti website

    JamiiForums Tanzania Mwanza,Geita,Shinyanga,Kahama na Tabora-Tumewafikia kwa Huduma ya Website BURE kwa mwaka wa kwanza

    Je wewe ni mfanya biashara kutoka katika maeneo hayo? Je unatamani kupeleka biashara yako mtandaoni? Sasa unaweza kupata tovuti/website kwa ajili yako kutoka kwetu.Kama uko tayari tafadhali wasiliana nasi kwa kututajia Mkoa wako na aina ya biashara unayofanya.Utapata Huduma Hii Bure kwa Mwaka...
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Muhoozi kama unataka Urais 2031 na yeye akake msituni hakuna uraisi wa bure

    Kupitia majukwaa ya kijamii kuna chapisho linalodai kuwa rais wa sasa wa uganda yoweri kaguta museveni ametoa nukuu kuwa muhoozi kama unataka uraisi 2031 na yeye akake msituni hakuna uraisi wa bure Nukuu hiyo ya chapisho imesambzwa kupitia mitandao ya kijamii nchini tanzania. Je ni upi uhalisia...
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Jihadhari, utakufa mapema bure kwa sababu ya uchungu ulio nao!

    Watu wengi wamejaa uchungu kwa sababu ya mambo yanayotokea huku na kule duniani. Kuna mtu ana uchungu kwa sababu ya madeni, kukosa kazi, biashara kufilisika au maisha kuwa magumu. Mwingine ana uchungu kwa sababu ya kuachwa na mke/mume, au kusalitiwa, kukataliwa au kufiwa na mtu anayempenda...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ofisi za serikali zinaweka namba ambazo hazipatikani, Nilishasema tangu zamani Miafrika inashida fulani sio bure

    Yani ukikaa Afrika kila kitu ni kero, halafu mtasema hawa ni watu watu wa kawaida kweli? Shithole Ofisi za serikali namba hazipatikani, zinazopatikana hazipokwlewi mfano namba moja ni NIDA mkurugenzi yupo na analipwa mshahara kila mwezi? mbona ofisi za private na taasisi za private namba...
  20. bless on

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu: watu wanacheza mziki mpaka wanakufa

    Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza kwa kasi kubwa huku akivuja jasho. Baadaye jirani wa pili anajiunga naye, wa tatu, na ndani ya siku...
Back
Top Bottom