- Source #1
- View Source #1
- Source #2
- View Source #2
Kupitia majukwaa ya kijamii kuna chapisho linalodai kuwa rais wa sasa wa uganda yoweri kaguta museveni ametoa nukuu kuwa muhoozi kama unataka uraisi 2031 na yeye akake msituni hakuna uraisi wa bure
Nukuu hiyo ya chapisho imesambzwa kupitia mitandao ya kijamii nchini tanzania.
Je ni upi uhalisia wa chapisho hilo linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii?
Nukuu hiyo ya chapisho imesambzwa kupitia mitandao ya kijamii nchini tanzania.
Je ni upi uhalisia wa chapisho hilo linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii?