Tunamlaumu Mama Gwajima kukaa kimya bure na kutochukua hatua kali? Huenda hii vita si rahisi kama tunavyofikiri

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Kuna jambo ambalo nafikiri tunapaswa kulitafakari. NGOs nyingi zinazofanya kazi za usawa wa kijinsia, afya ya uzazi na haki za binadamu zinafanya kazi chini ya usimamizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.

Baadhi ya mashirika haya hupokea ufadhili mkubwa kutoka kwa wafadhili wa kimataifa, wakiwemo wa nchi za Magharibi. Swali ni je, katika mikataba na masharti ya ufadhili huo kuna vipengele vinavyohusiana na ajenda za LGBTQ+?

Huenda mwanzoni Mama Gwajima alipoingia wizara alikuwa na msimamo mkali, lakini kadiri alivyozidi kuifahamu mifumo ya ufadhili, mikataba na mahusiano ya kimataifa, aligundua kuwa si kila jambo linaweza kubadilishwa kwa matamko ya kisiasa.

Inawezekana kabisa kuna vita ya kimfumo ambayo wananchi wengi hawaioni
 
Mashoga ni binadamu na wana haki binadamu wengine, na sheria za kimataifa zimesema wazi kwenye kanuni na vifungu hivyo, kuna kifungu cha FARAGHA.

Hivyo hawapaswi kunyanyaswa wala kubughuziwa, ni haki yao kutumia miili yao kwa namna wanayoona wao inafaa.

Nafurahi Sherehe ya LGBTQI, imeenda poa km ilivyopangwa, na nikiwa km Katibu Mkuu, pia itikadi, mafunzo na uenezi. Nafurahi taasisi hii kuimarika na kukua kwa kasi ya ajabu chini ya uongozi wangu.

Sherehe zijazo tutafanya mchana, tena sehemu ya wazi, itakua km sio Uwanja wa Taifa, basi Uhuru.

LGBTQI For Life. 🌈🏳️‍🌈
 
Hakuna shirika linalo support LGBTQ au ku promote,

Hayo mashirika yanachokifanya ni kuwapa elimu maana lgbtq ni kundi hatarishi klunapokuja swala la magonjwa specifically HIV

Hawa watu wakiachwa wasipopewa elimu maambukizi yanaongezeka kwenye jamii sababu hao wanaowatia mashoga ndio wanarudi kufanya mapenzi na wake zao nyumbani, na girlfriend zenu mitaani hivyo maambukizi yanaongezeka mtaani

Hiyo support mnayosema ni katika kupunguza maambukizi ili yasikufikie wewe, mpenzi wako au mchepuko

Kingine wazungu au mashirika hayajawahi kumshawishi mtu awe shoga, kila mtu amekua shoga mwenyewe kwa sababu zake hakuna shirika linalowaita vijana na kuwaambia haya nenda kafirwe na wanaume,

Wao sometimes wanachofanya pia ni kupinga violence kwa sababu kwa mtu yeyote mwenye akili violence haijawahi kufanya kazi ndio maana tunapinga utekaji na uuaji

Acheni propaganda za wazungu wakati waafrika wanakulana kabla hata wazungu hawajaja africa
 
Upuuzi mtupu
 
Atokee kiongozi kichaa aunde task force kuunyamazisha huu upuuzi.

Wasambazwe snipers mikoa yote mikubwa akionekana m$enge anajipitisha hovyo hovyo matako juu anakula chuma ya kichwa wakifa kumi wanaobaki watakuwa wanafirana sirini kama ilivyokuwa zamani tofauti na hivyo hakuna kitu kinafanyika.
 
Kuna mashirika mawili yako Njombe yanajulikana vizuri ila hayaguswi mzeee
 
Mashoga ni binadamu na wana haki binadamu wengine, na sheria za kimataifa zimesema wazi kwenye kanuni na vifungu hivyo, kuna kifungu cha FARAGHA.

Hivyo hawapaswi kunyanyaswa wala kubughuziwa, ni haki yao kutumia miili yao kwa namna wanayoona wao inafaa.

Nafurahi Sherehe ya LGBTQI, imeenda poa km ilivyopangwa, na nikiwa km Katibu Mkuu, pia itikadi, mafunzo na uenezi. Nafurahi taasisi hii kuimarika na kukua kwa kasi ya ajabu chini ya uongozi wangu.

Sherehe zijazo tutafanya mchana, tena sehemu ya wazi, itakua km sio Uwanja wa Taifa, basi Uhuru.

LGBTQI For Life. 🌈🏳️‍🌈
asiione dudubaya a.k.a Mamba😆😆😆
 
Atokee kiongozi kichaa aunde task force kuunyamazisha huu upuuzi.

Wasambazwe snipers mikoa yote mikubwa akionekana m$enge anajipitisha hovyo hovyo matako juu anakula chuma ya kichwa wakifa kumi wanaobaki watakuwa wanafirana sirini kama ilivyokuwa zamani tofauti na hivyo hakuna kitu kinafanyika.
Na wewe mzinzi mbobevu na ukazaa mtoto haramu, snipers wasambazwe kote nchini kupiga vyuma waasherati na wazinzi ndio wanaozalisha watoto wa mitaani.

Unaonaje hapo? 😂😂😂😂😂
 
Mashoga ni binadamu na wana haki binadamu wengine, na sheria za kimataifa zimesema wazi kwenye kanuni na vifungu hivyo, kuna kifungu cha FARAGHA.

Hivyo hawapaswi kunyanyaswa wala kubughuziwa, ni haki yao kutumia miili yao kwa namna wanayoona wao inafaa.

Nafurahi Sherehe ya LGBTQI, imeenda poa km ilivyopangwa, na nikiwa km Katibu Mkuu, pia itikadi, mafunzo na uenezi. Nafurahi taasisi hii kuimarika na kukua kwa kasi ya ajabu chini ya uongozi wangu.

Sherehe zijazo tutafanya mchana, tena sehemu ya wazi, itakua km sio Uwanja wa Taifa, basi Uhuru.

LGBTQI For Life. 🌈🏳️‍🌈

Kumbe seng Lina makend.msiba huu
 
Hakuna shirika linalo support LGBTQ au ku promote,

Hayo mashirika yanachokifanya ni kuwapa elimu maana lgbtq ni kundi hatarishi klunapokuja swala la magonjwa specifically HIV

Hawa watu wakiachwa wasipopewa elimu maambukizi yanaongezeka kwenye jamii sababu hao wanaowatia mashoga ndio wanarudi kufanya mapenzi na wake zao nyumbani, na girlfriend zenu mitaani hivyo maambukizi yanaongezeka mtaani

Hiyo support mnayosema ni katika kupunguza maambukizi ili yasikufikie wewe, mpenzi wako au mchepuko

Kingine wazungu au mashirika hayajawahi kumshawishi mtu awe shoga, kila mtu amekua shoga mwenyewe kwa sababu zake hakuna shirika linalowaita vijana na kuwaambia haya nenda kafirwe na wanaume,

Wao sometimes wanachofanya pia ni kupinga violence kwa sababu kwa mtu yeyote mwenye akili violence haijawahi kufanya kazi ndio maana tunapinga utekaji na uuaji

Acheni propaganda za wazungu wakati waafrika wanakulana kabla hata wazungu hawajaja africa

Mtetezi😃😃
 
Na wewe mzinzi mbobevu na ukazaa mtoto haramu, snipers wasambazwe kote nchini kupiga vyuma waasherati na wazinzi ndio wanaozalisha watoto wa mitaani.

Unaonaje hapo? 😂😂😂😂😂
Mwanaume kupiga pumbu wewe siyo kupigwa pumbu,hata leo ikatangazwa kiama cha wazinzi na wa$enge atakaemdungua mzinzi akamuacha msenge huyo itabidi tujiulize mara mbili mbili.
 
Back
Top Bottom