Tunamlaumu Mama Gwajima kukaa kimya bure na kutochukua hatua kali? Huenda hii vita si rahisi kama tunavyofikiri

Mashoga ni binadamu na wana haki binadamu wengine, na sheria za kimataifa zimesema wazi kwenye kanuni na vifungu hivyo, kuna kifungu cha FARAGHA.

Hivyo hawapaswi kunyanyaswa wala kubughuziwa, ni haki yao kutumia miili yao kwa namna wanayoona wao inafaa.

Nafurahi Sherehe ya LGBTQI, imeenda poa km ilivyopangwa, na nikiwa km Katibu Mkuu, pia itikadi, mafunzo na uenezi. Nafurahi taasisi hii kuimarika na kukua kwa kasi ya ajabu chini ya uongozi wangu.

Sherehe zijazo tutafanya mchana, tena sehemu ya wazi, itakua km sio Uwanja wa Taifa, basi Uhuru.

LGBTQI For Life. 🌈🏳️‍🌈
Wew ni katibu wa wanaume wanaodinywa?
 
cocastic upo hivi?
 
ni haki yao kutumia miili yao kwa namna wanayoona wao inafaa.
Najua unalipwa kueneza hizi propaganda.Vua hisia plus mhemko kisha vaa viatu kama mzazi, mwanao wa kiume ni shoga halafu uje useme hapa umefurahi.

Kingine jifunze kuelewa kuwa kila uhuru una mipaka yake.Mungu amempa mwanadamu uhuru kisha akampa mipake yake.Hata wazazi wako walikupa uhuru kisha wakaweka mipaka.

Sasa hivi unajidanganya na huo ujana.Mungu akuweke hai ndani ya miaka kumi ijayo kama utakuwa na huu mtazamo wako huu mbovu.
 
Mwanangu wa kiume kuwa shoga, ikiwa ni maamuzi yake, wala sina shida.

Mipaka hiyo ni Pa1 na kutoingilia Faragha ya mtu binafsi, usijisahaulishe hilo.

Nikianza Kuhoji kuhusu Mungu, usiseme nakufuru au nakosea, unaweza toa hoja yako bila kuweka kitu kisichokuwepo wala kuthibizishwa uwepo wake.

Sorry.
 
Mashoga ni binadamu na wana haki binadamu wengine, na sheria za kimataifa zimesema wazi kwenye kanuni na vifungu hivyo, kuna kifungu cha FARAGHA.

Hivyo hawapaswi kunyanyaswa wala kubughuziwa, ni haki yao kutumia miili yao kwa namna wanayoona wao inafaa.

Nafurahi Sherehe ya LGBTQI, imeenda poa km ilivyopangwa, na nikiwa km Katibu Mkuu, pia itikadi, mafunzo na uenezi. Nafurahi taasisi hii kuimarika na kukua kwa kasi ya ajabu chini ya uongozi wangu.

Sherehe zijazo tutafanya mchana, tena sehemu ya wazi, itakua km sio Uwanja wa Taifa, basi Uhuru.

LGBTQI For Life. 🌈🏳️‍🌈
Huwa nawaambia hapa hamna mtu ila mnamtetea sawa
 
Mwanangu wa kiume kuwa shoga, ikiwa ni maamuzi yake, wala sina shida.

Mipaka hiyo ni Pa1 na kutoingilia Faragha ya mtu binafsi, usijisahaulishe hilo.

Nikianza Kuhoji kuhusu Mungu, usiseme nakufuru au nakosea, unaweza toa hoja yako bila kuweka kitu kisichokuwepo wala kuthibizishwa uwepo wake.

Sorry.
Hua kuna wazo lolote ushawahi liwaza kuhusu uwepo wa shetani?
 
Back
Top Bottom