cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Unamjua yess mahi, mbona yuko lele lele huko mashughurini, yeye na mkewe ni mwendo wa kurushana roho kwenye vigoma.Mahi huyu mtu kama namjua
😂😂😂😂
Unamjua yess mahi, mbona yuko lele lele huko mashughurini, yeye na mkewe ni mwendo wa kurushana roho kwenye vigoma.Mahi huyu mtu kama namjua
Kudadeki! Wa kwanza kucomment 😂😂😂Mashoga ni binadamu na wana haki binadamu wengine, na sheria za kimataifa zimesema wazi kwenye kanuni na vifungu hivyo, kuna kifungu cha FARAGHA.
Hivyo hawapaswi kunyanyaswa wala kubughuziwa, ni haki yao kutumia miili yao kwa namna wanayoona wao inafaa.
Nafurahi Sherehe ya LGBTQI, imeenda poa km ilivyopangwa, na nikiwa km Katibu Mkuu, pia itikadi, mafunzo na uenezi. Nafurahi taasisi hii kuimarika na kukua kwa kasi ya ajabu chini ya uongozi wangu.
Sherehe zijazo tutafanya mchana, tena sehemu ya wazi, itakua km sio Uwanja wa Taifa, basi Uhuru.
LGBTQI For Life. 🌈🏳️🌈
😂😂😂 niko Winja Winja.Kudadeki! Wa kwanza kucomment 😂😂😂
Sikutegemea wala sikuwhi kudhaniaUnamjua yess mahi, mbona yuko lele lele huko mashughurini, yeye na mkewe ni mwendo wa kurushana roho kwenye vigoma.
😂😂😂😂
Kheeeh mahi uko serious? Goboss mbona mkongwe kwenye tasnia? Alioa baada ya kaka zake kutaka kumpiga shaba, wakamuambia km hataki kuacha upuuzi huo basi wana muua, ndio akaoa na wana mtoto mdogo.Sikutegemea wala sikuwhi kudhania
Hapa kuna siku utajisahau tu!
Nikianza Kuhoji kuhusu Mungu, usiseme nakufuru au nakosea, unaweza toa hoja yako bila kuweka kitu kisichokuwepo wala kuthibizishwa uwepo wake.
Sorry.
Kuhusu nini??Hapa kuna siku utajisahau tu!
Kuhusu nilichobold!Kuhusu nini??
Haya ndio mambo yako, hujawahi kutulia.Kheeeh mahi uko serious? Goboss mbona mkongwe kwenye tasnia? Alioa baada ya kaka zake kutaka kumpiga shaba, wakamuambia km hataki kuacha upuuzi huo basi wana muua, ndio akaoa na wana mtoto mdogo.
Ila haachi heka heka, hata shughuri ya juzi alipewa kipaza sauti kutoa maneno juu ya sherehe ile.
Asianze kutikisa makalio yake, watu hoi ukumbini.
😂😂😂😂
Serious??? Daaah! ghafla nimekuwa kipofu anyway maisha ni yako.Mashoga ni binadamu na wana haki binadamu wengine, na sheria za kimataifa zimesema wazi kwenye kanuni na vifungu hivyo, kuna kifungu cha FARAGHA.
Hivyo hawapaswi kunyanyaswa wala kubughuziwa, ni haki yao kutumia miili yao kwa namna wanayoona wao inafaa.
Nafurahi Sherehe ya LGBTQI, imeenda poa km ilivyopangwa, na nikiwa km Katibu Mkuu, pia itikadi, mafunzo na uenezi. Nafurahi taasisi hii kuimarika na kukua kwa kasi ya ajabu chini ya uongozi wangu.
Sherehe zijazo tutafanya mchana, tena sehemu ya wazi, itakua km sio Uwanja wa Taifa, basi Uhuru.
LGBTQI For Life. 🌈🏳️🌈
Khaaaaa!!! sina la kuongezea aiseee.Kheeeh mahi uko serious? Goboss mbona mkongwe kwenye tasnia? Alioa baada ya kaka zake kutaka kumpiga shaba, wakamuambia km hataki kuacha upuuzi huo basi wana muua, ndio akaoa na wana mtoto mdogo.
Ila haachi heka heka, hata shughuri ya juzi alipewa kipaza sauti kutoa maneno juu ya sherehe ile.
Asianze kutikisa makalio yake, watu hoi ukumbini.
😂😂😂😂
We umeandika upuuzi km mapuuzi mengine. Serikali yetu haina kugugumizi ktk hayo mambo ya kishenzi, Dorothy hakuna kilichomkwamisha anafanya km sk zote.Kuna jambo ambalo nafikiri tunapaswa kulitafakari. NGOs nyingi zinazofanya kazi za usawa wa kijinsia, afya ya uzazi na haki za binadamu zinafanya kazi chini ya usimamizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.
Baadhi ya mashirika haya hupokea ufadhili mkubwa kutoka kwa wafadhili wa kimataifa, wakiwemo wa nchi za Magharibi. Swali ni je, katika mikataba na masharti ya ufadhili huo kuna vipengele vinavyohusiana na ajenda za LGBTQ+?
Huenda mwanzoni Mama Gwajima alipoingia wizara alikuwa na msimamo mkali, lakini kadiri alivyozidi kuifahamu mifumo ya ufadhili, mikataba na mahusiano ya kimataifa, aligundua kuwa si kila jambo linaweza kubadilishwa kwa matamko ya kisiasa.
Inawezekana kabisa kuna vita ya kimfumo ambayo wananchi wengi hawaioni
Nashindwa kuwaelewa,...nashindwa kuwaelewaaMashoga ni binadamu na wana haki binadamu wengine, na sheria za kimataifa zimesema wazi kwenye kanuni na vifungu hivyo, kuna kifungu cha FARAGHA.
Hivyo hawapaswi kunyanyaswa wala kubughuziwa, ni haki yao kutumia miili yao kwa namna wanayoona wao inafaa.
Nafurahi Sherehe ya LGBTQI, imeenda poa km ilivyopangwa, na nikiwa km Katibu Mkuu, pia itikadi, mafunzo na uenezi. Nafurahi taasisi hii kuimarika na kukua kwa kasi ya ajabu chini ya uongozi wangu.
Sherehe zijazo tutafanya mchana, tena sehemu ya wazi, itakua km sio Uwanja wa Taifa, basi Uhuru.
LGBTQI For Life. 🌈🏳️🌈
Nikusaidie ujinga?Ungeandika kwa herufi kubwa, na unge bold kabisa, ahsante kwa kunisaidia kujibu.
👏👏👏
Ni wa kusaidiwa hawa!Unaonewa huruma jaribu kujtathmini pia
Na hata ukiwaona wamekonda hawana afyaNi wa kusaidiwa hawa!
Usimuone hapa anajifanya shujaa kujichekesha chekesha nyuma ya keyboard ana maumivu makali,kuna HIV,kuna anal cancer throat cancer vyote hivi vinamnyemelea,kuna kutembea anatokwa mavi yaani ni full stress hao watu.
Kuna jambo ambalo nafikiri tunapaswa kulitafakari. NGOs nyingi zinazofanya kazi za usawa wa kijinsia, afya ya uzazi na haki za binadamu zinafanya kazi chini ya usimamizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.
Baadhi ya mashirika haya hupokea ufadhili mkubwa kutoka kwa wafadhili wa kimataifa, wakiwemo wa nchi za Magharibi. Swali ni je, katika mikataba na masharti ya ufadhili huo kuna vipengele vinavyohusiana na ajenda za LGBTQ+?
Huenda mwanzoni Mama Gwajima alipoingia wizara alikuwa na msimamo mkali, lakini kadiri alivyozidi kuifahamu mifumo ya ufadhili, mikataba na mahusiano ya kimataifa, aligundua kuwa si kila jambo linaweza kubadilishwa kwa matamko ya kisiasa.
Inawezekana kabisa kuna vita ya kimfumo ambayo wananchi wengi hawaioni
Siwezi kutulia kabisa, ahsante kwa masahihisho Mpare. Barikwa 🙏Haya ndio mambo yako, hujawahi kutulia.
Shughuri❌️
Shughuli✅️