Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.
Wanaume tunapitia vitu vingi Sana kwenye maisha.
Utafutaji wa Hela.
Changamoto za ndoa ndani ya nyumba.
Kudharauliwa na baadhi ya wanaume wenzetu waliotuzidi kipato.
Kudharauliwa na wake zetu sababu ya tamaa za nje au wanawake waliotuzidi kipato au sababu ya urembo wao alafu sisi ni apeche...
Nashangaa kuona watu wanashangaa kana kwamba vurugu za kisiasa, mauaji na matumizi ya nguvu dhidi ya raia ni vitu ambavyo havijawahi kutokea duniani.
Hebu tuangalie historia kidogo.
Kuanzia falme za kale za China, wafalme wa Ulaya, vita vya kikoloni, mapinduzi, vita vya dunia hadi migogoro ya...
Kuna jambo ambalo nafikiri tunapaswa kulitafakari. NGOs nyingi zinazofanya kazi za usawa wa kijinsia, afya ya uzazi na haki za binadamu zinafanya kazi chini ya usimamizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.
Baadhi ya mashirika haya hupokea ufadhili mkubwa kutoka...
Ndugu zangu Watanzania,
Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge.
Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
Ni dhahiri kwamba sasa Heche anatafuta njia za kuihamishia chadema ukanda wa kati Singida kupitia Mangekimambi, anataka aondoe dhana iliyojengeka Toka zamani kuwa Chadema ni Chama cha ukanda wa kasikazini kutokana na waasisi wao kutoka ukanda huo.
Niseme tu ukisha kuwa chadema tu tayari upo...
Katika mitandao kuna huu ujumbe unasambaa na Jeshi linasema si taarifa sahihi.
Sio kila fake news ni ya kupinga, zingine ziko kimkakati sana, JWTZ kukana hii taarifa kwa kutokukaa kimya ni kuruhusu rasmi vijana wajilinde wenyewe hata kwa kutafuta Silaha.
Hii habari jeshi limekanusha kwa nguvu...
..Kuna jitihada za kuwatambua Waafrika / Watanganyika waliopigana ktk Vita Kuu ya Pili, na wale waliopoteza maisha yao.
..Hapa chini kuna majina ya Watanganyika waliopoteza maisha yao ktk vita hiyo...
MOSHI, TANZANIA — Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Moshi, imetoa hukumu iliyohitimisha mnyukano wa kisheria na kisiasa kati ya wanasiasa wa siku nyingi nchini, Joseph Roman Selasini na James Francis Mbatia.
Hukumu hiyo, iliyotolewa tarehe 13 Oktoba 2026 na Mheshimiwa Jaji S. H...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ni mtu na kiongozi Shujaa, Hodari wa Vita ,Mtu Mzuri ,Anenaye kwa Busara na Ambaye Mungu Yupo Pamoja naye .
Ni kiongozi ambaye amekamilika katika kila idara . Ni...
Moja kwa moja......
Mji wa Gaza ulikuwa mzuri sana , makosa na ujinga wa Hamas kuingia mkenge kufanya shambulio la kikatili kukazaa Unyama mkubwa zaidi katika zama hizi chini ya IDF
1.
2.
3.
4.
#UziUnaendelea
Picha ya pambano la kijiografia kati ya Marekani na Uchina
Wakuu, salamu!
Leo nimeamua kuhama kidogo kwenye yale mazoea yetu ya kila siku ya kufanya tathmini za siasa za ndani za vyama na majina ya wanasiasa hapa Tanzania. Badala destiny yetu tusogeze darubini mbele zaidi na tuangalie siasa...
Watu Tik tok wanachekesha sana. Wanadai lile tukio la kigaidi la Fly Dubei kati ya marubani wawili raia wa Omani na India ilikuwa vita kali kati ya miungu wawili maarufu Krishna na Allah. Hatimae Krishna akaibuka mshindi baada ya Mungu wa kweli Yahweh kuingilia kati na kutuliza huo mpambano na...
Mafuta yalipanda bei kwa sababu Iran alifunga mlango wa Hormuz baada ya kushambuliwa na Marekani na Israel
Lakini kwa sasa data zinaonyesha kuwa mafuta yanapata Hormuz pamoja na njia nyingine mbadala, tena kwa wingi kuliko kabla ya vita kuanza.
Je ni kwa nini hayashuki bei hapa kwetu?
HABARI Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, amewasili katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, akisema Rais Volodymyr Zelenskiy anaweza kutegemea uungwaji mkono wa Ujerumani, huku mashambulizi ya Urusi yakizidi.
Merz, pamoja na wakuu wa kampuni kadhaa za ulinzi, amesema mashine ya vita ya Urusi...
Kwenye vita ya pili ya dunia, mizinga ndiyo silaha iliyoua watu wengi kuliko silaha yoyote.
Kwenye vita ya Ukraine na Russia asilimia 70-80 ya vifo na majeruhi yanatokana drones, tena zile drone ndogo ndogo za kuwinda watu zinazoitwa FPV(First Person View).
Mwaka huu pekee Ukraine wanatarajia...
Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi.
Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ...
Kwa mara ya kwanza katika historia CCM itaelekea katika uchaguzi wa urais mwaka 2030 bila kuwa na mgombea yeyote maarufu, mwenye ushawawishi au anayeweza kubebwa au kujificha chini ya kanuni za utamaduni wa chama wa "muendelezo" wa Rais aliye madarakani.
Hii inaweza kuwa fursa kubwa sana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.