Tukio la kigaidi ya ndege fly Dubai ilikuwa vita ya miungu miwili.

Tukio la kigaidi ya ndege fly Dubai ilikuwa vita ya miungu miwili.

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Watu Tik tok wanachekesha sana. Wanadai lile tukio la kigaidi la Fly Dubei kati ya marubani wawili raia wa Omani na India ilikuwa vita kali kati ya miungu wawili maarufu Krishna na Allah. Hatimae Krishna akaibuka mshindi baada ya Mungu wa kweli Yahweh kuingilia kati na kutuliza huo mpambano na kuokoa wateule waliokuwa abiria.
 
Ni banter tu za kwenye social media japo watu wafurahi nakupunguza stress
 
Back
Top Bottom