Kwa nini mafuta hayashuki bei? Data zinaonyesha mafuta yanatoka mashariki ya kati kwa wingi kuliko hata kabla ya vita

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
9,504
Reaction score
20,293
Mafuta yalipanda bei kwa sababu Iran alifunga mlango wa Hormuz baada ya kushambuliwa na Marekani na Israel
Lakini kwa sasa data zinaonyesha kuwa mafuta yanapata Hormuz pamoja na njia nyingine mbadala, tena kwa wingi kuliko kabla ya vita kuanza.
Je ni kwa nini hayashuki bei hapa kwetu?
Screenshot_20261005-113108~2.png
 
Mafuta yalipanda bei kwa sababu Iran alifunga mlango wa Hormuz baada ya kushambuliwa na Marekani na Israel
Lakini kwa sasa data zinaonyesha kuwa mafuta yanapata Hormuz pamoja na njia nyingine mbadala, tena kwa wingi kuliko kabla ya vita kuanza.
Je ni kwa nini hayashuki bei hapa kwetu?View attachment 3684159
Cartels
 
Ngoja tuone kesho wanatangaza. Kutoka 3,800/= petrol, tutegemee angalau 3,300/= kupunguza maumivu.
 
Mafuta yalipanda bei kwa sababu Iran alifunga mlango wa Hormuz baada ya kushambuliwa na Marekani na Israel
Lakini kwa sasa data zinaonyesha kuwa mafuta yanapata Hormuz pamoja na njia nyingine mbadala, tena kwa wingi kuliko kabla ya vita kuanza.
Je ni kwa nini hayashuki bei hapa kwetu?View attachment 3684159
huenda hayo ni mafuta yanayozalishwa kwa data za mitandaoni gentleman,
lakini sio mafuta halisi hapo yanapozalishwa na kuuzwa sokoni kwa walaji 🐒
 
Huwaga Bei kupungua ni kamzozo ila kwenye kupandisha Bei ni chap chap, hao middleman ndiyo kamzozo ikihusisha na misururu ya Kodi uchwara basi hata yakipungua haiwezi pungua zaidi ya 100 wakati kwenye kupanda hadi zaidi ya 900 kuelekea 1000
 
Hao wafanyabiashara ya mafuta ndio walimchangia samuya mabilioni ya pesa za kampeni, so serikali yake imewekwa mfukoni hana cha kuwafanya!
Jiwe alikataa ujinga huo!.
 
Back
Top Bottom