Mashariki ya Kati ni eneo la kijiografia linalojumuisha nchi kama Saudi Arabia, Iran, Iraq, Israel, Jordan, Syria, Lebanon, United Arab Emirates, Qatar na nyinginezo
Vyanzo kutoka Gaza vinasema kuwa Mohammad Al-Bayoukh, ambaye aliuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Israel huko Khan Younis siku mbili zilizopita, alipokea simu kutoka kwa afisa wa shirika la usalama la Israel, Shin Bet, akimwamuru apande juu ya paa la shule inayotoa hifadhi kwa...
Wanadiplomasia wakuu wa nchi tatu za Ulaya watafanya mazungumzo mjini Istanbul na wenzao wa Uturuki, Saudi Arabia, Pakistan na Misri. Mkutano huo utajadili hali nchini Yemen, Ukanda wa Gaza na mzozo nchini Iran.
Nchi saba zinakutana kwa mara ya kwanza chini ya mfumo wa E3 unaoundwa na...
Wengi humu tunashabikia vita. wengi wetu tumeamua kuchagua upande lakini hivi vita vinasiri kubwa sana.mfano vita vya ukraine vinaenda kusababisha mgogoro mkubwa kati ya Ulaya(NATO) na Urusi na kila mtu anauona kabisa muelekeo huo kwa sababu upo wazi kabisa.
Na pia mgogoro wa mashariki ya kati...
Adnan Khashoggi alikuwa bilionea wa Saudi Arabia, mfanyabiashara wa kimataifa na mmoja wa watu mashuhuri zaidi katika biashara ya silaha ya karne ya 20. Alijenga utajiri mkubwa kwa kuwa kiungo kati ya serikali, familia za kifalme, kampuni kubwa za silaha na watu wenye ushawishi duniani. Sehemu...
Hapo jana, kiongozi wa PLC, Rashad al-Alimi ametangaza operation ya kuwakabili wapiganaji wa Houthis ndani ya Yemeni. Hivi karibuni Houthis walifanikiwa kuteka sehemu ya mfereji wa Bab al-Mandeb na maeneo mengine ya kimkakati katika routes za Usafirishaji wa mafuta.
Ikumbukwe pia Houthis...
Mafuta yalipanda bei kwa sababu Iran alifunga mlango wa Hormuz baada ya kushambuliwa na Marekani na Israel
Lakini kwa sasa data zinaonyesha kuwa mafuta yanapata Hormuz pamoja na njia nyingine mbadala, tena kwa wingi kuliko kabla ya vita kuanza.
Je ni kwa nini hayashuki bei hapa kwetu?
Wahouthi wa Yemen wajaribu kushambulia mji wa Makka nchini Saudi Arabia kwa mara ya pili.
Mzozo unaoonekana kati ya mataifa au makundi ya Kiislamu Mashariki ya Kati, hususan uhasama kati ya Saudi Arabia na makundi kama Wahouthi wa Yemen au madhehebu ya Shia, hausababishwi na chuki za kidini...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ametoa onyo kali dhidi ya Iran, akitishia kuchukua hatua kali zaidi iwapo nchi hiyo itajihusisha moja kwa moja na mashambulizi ya makombora kwenye ardhi ya Israel.
Onyo hili linakuja katikati ya kuongezeka kwa mvutano mkali kati ya Israel na kundi la...
Trilateral Mecca Defence Agreement — rasmi zaidi ikiitwa Mecca Joint Defence Agreement — ni mkataba mpya wa ulinzi wa pande tatu uliosainiwa tarehe 7 Agosti 2026 huko Makkah, Saudi Arabia, kati ya:
Saudi Arabia
Türkiye (Turkey)
Pakistan
Mkataba huu umeingia wakati ambapo hali ya usalama...
Iran haikujenga himaya yake ya uwakilishi usiku kucha. Ilitumia miongo kadhaa ikifanya hivyo huku sehemu kubwa ya nchi za Magharibi zikiangalia upande mwingine.
Huku serikali za Magharibi zikizingatia mijadala ya kisiasa na kitamaduni ya ndani, Iran iliwapa silaha Hezbollah, Hamas, Houthi...
Kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu Marekani na Israel zilipozusha mgogoro wa Mashariki ya kati kwa kuishambulia Iran, bei ya mafuta kwenye soko la dunia ilipanda kwa ghafla na kuleta changamoto kwa maisha ya watu wenye mapato ya chini katika nchi mbalimbali duniani. Kati ya nchi zote kubwa duniani...
Wakuu, hali ya usalama duniani inazidi kuwa ya wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za hivi punde kutoka Mashariki ya Kati.
Jeshi la Marekani kupitia Kamandi yake Kuu (CENTCOM) limethibitisha kufanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya maeneo ya kimkakati nchini Iran (ikiwemo Bandar Abbas na...
Kufungwa kwa mfereji wa Hormuz kumeathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa Dunia jambo ambalo limepandisha bei ya Mafuta na gas karibuni ulimwengu kote hususani Tanzania.
Kwa sasa mgogoro huu upo katika hali nzuri ya mapatano ya kufunguliwq upya kwa njia kuu ya Biashara na tayari uchumi wa Dunia...
Persians Hao jamaa wanahistoria ya muda mrefu wa kuwa watetezi wakubwa wa jamii za mashariki YA Kati toka kuanzianzishwa kwa ustaarabu wa kiajemi...
Hawa jamaa waliwaokoa waisrael wa kale waliokua wamechukuliwa utumwani Babel(Iraq YA Leo) na namna walivoushinda ufalme wa belishaza Kwa...
Inajulikana kuwa nchi za Mashariki ya Kati zimejengewa misingi ya Ustaarabu wa kidini tangu enzi na tunapozungumzia dini tunajumuisha Ustawi na utulivu wa Mwanadamu.
Migogoro ya kihistoria hususani inahusisha ardhi ya israel-Palestina imeendelea kuwa nadharia kuu ya Kutoweka kwa Amani katika...
Its simple,
Ni kwa sababu kwao ugaidi umeunganishwa na Mungu, yaani mtu anapigana na watu bila sababu ya msingi kwa niaba ya Mungu wa kufikirika.
Inachekesha sana ila kwao ni "sacred."
Natumaini Infropreneur na Moisemusajiografii watanisaidia katika hili
Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran
Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji...
Nyani akimaliza miti huingia mwilini. Kumekuwepo na ongezeko kubwa la vitendo vya chuki dhidi ya wakristo na ukristo hususan Lebanon na Palestina.
Baada ya kulivunja sanamu la yesu Kristo, juzi myahudi mmoja alionekana akimshambulia mtawa wa kikristo katika jiji la Jerusalem, bila ya kua na...
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegsett ametangaza katika mkutano na wajumbe wa Congress kwamba kujenga upya hifadhi za silaha za Marekani, ambazo zimepungua kufuatia vita na Iran na migogoro mingine ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni, inaweza kuchukua "miezi hadi miaka," kulingana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.