Marekani yaishambulia Iran kijeshi na kuweka vikwazo vipya vya mafuta, hali yachafuka Mashariki ya Kati

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,397
Reaction score
12,415
Wakuu, hali ya usalama duniani inazidi kuwa ya wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za hivi punde kutoka Mashariki ya Kati.
Jeshi la Marekani kupitia Kamandi yake Kuu (CENTCOM) limethibitisha kufanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya maeneo ya kimkakati nchini Iran (ikiwemo Bandar Abbas na Kisiwa cha Qeshm). Mashambulizi haya yamekuja kama kisasi baada ya meli tatu za kibiashara kushambuliwa kwenye Mlango-bahari wa Hormuz.
Mambo makubwa yaliyojiri hadi sasa:

1. Shabaha ya Mabomu: Marekani imepiga mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran, kambi za drones, na vituo vya makombora.

2. Vikwazo vya Mafuta: Serikali ya Donald Trump imefuta rasmi vibali vyote vilivyokuwa vikiiruhusu Iran kuuza mafuta na bidhaa za petroli, hatua inayolenga kuichongea kiuchumi.

3. Muda wa Shambulio: Tukio hili limetokea wakati Iran ikiwa bado kwenye maombolezo makubwa ya kifo cha Kiongozi wao Mkuu, Ayatollah Ali Khamenei.

4. Kuvunjika kwa Makubaliano: Hali hii imeharibu kabisa makubaliano ya amani (MoU) yaliyosainiwa mwezi uliopita (Juni 17) kati ya Trump na Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian.

Vyombo vikubwa vya habari kama Reuters, BBC, na Al Jazeera vimethibitisha kuwa tayari bei ya mafuta duniani imeanza kuonyesha mabadiliko sokoni kutokana na hofu ya kufungwa kwa njia kuu ya mafuta ya Hormuz.

Chanzo: Reuters / Al Jazeera / NDTV Profit (Julai 8, 2026)
 
Kumekucha....
 
Natamani sana bei ya mafuta isitulie Middle East,.ili Tanzania itumie hela nyingi kuagiza tupate ukombozi haraka
 
Since Iran ifanikiwe kudhibiti uvamizi wa nchi 8, yani USA, Israel, Qatar, Jordan, Saudia, Bahrain nk. Huku ikifanikiwa pia kupigana nazo kwa muda wa siku 40 usiku na mchana bila kulalamika kuishiwa silaha. Basi hakuna kitachoitisha tena nchi hiyo yenye nguvu za ajabu ( licha ya vikwazo vya miaka 50 ) na isiyotegemea msaada wa silaha na wanajeshi kutoka nchi nyingine ( kama Israel inavyoitegemea Marekani na West Countries ) kuisitiri kupigana na adui zake.

Hapo Marekani anajaribu kufurukuta furukuta ili isionekane imeangukia pua kwenye vita. Lakini kiuhalisia hata ije Dunia nzima kamwe haiwezi kuiangusha Iran, au hata kuthubutu kufungua njia ya Streit Hormuz.

Muda sio mrefu tutaona ni nani atakaelazimisha au kuomba tena mazungumzo.

Iran huwa haichekeshi wala kuleta siasa.
 
kuna KIONGOZI mmoja wa IRANI wakati wa kuuga mwili alinukukiwa akisema kuba kiashiria cha mashambulizi lakini akaitaja ISRAEL ila alisema wana jibu kali

ndhani walinua na walijiandaa kuwa wakati wa maombolezo lazima kutakuwa na shambukioa ndio mana kama waliamua kujipanga
nadhani ngoja kwanza wamalize kumzika AYATOLLAH then kinuke kwa vibonde vyake U. A. E nk

ila kuna waandishi wa mchongo wa bongo wakiongozwa na yule anajiita ZUNGU MGALILAYA nawaonaga FACEBOOK wakipost wapo IRAN kufatilia MAZIKO ya ayatollah nadhani now huko walipo MAVI yanawagonga chupi wakisikia milindimo ya mabomu
 
Back
Top Bottom