Marekani inashambulia Iran hivi sasa.
Maeneo ya kurushia makombora huko Bandar Abbas na Qeshm yamelengwa.
Milipuko kadhaa mikubwa imeripotiwa. Mashuhuda katika mji wa Qeshm wameelezea kusikia milipuko mikubwa 5 hadi 6 mfululizo, ikifuatiwa na mitikisiko mikali.
Ni muda mrefu wapambanaji na taifa kubwa kwa sasa duniani limekuwa likisema likiguswa hata unywele litaifuta Israel kabisa kwenye Ramani.
Sasa nadhani huo wakati umefika. Maana Iran imekuwa ikisubiri iguswe inuke kwa muda mrefu sana na haijawahi pata hiyo bahati. Nadhani huo wakati sasa...
Milipuko mitano imeripotiwa katika Kisiwa cha Qeshm nchini Iran, huku wakazi wakisema pia waliona ndege mbili zikipaa angani. Mamlaka za Iran bado hazijatoa maoni yoyote kuhusu taarifa hizo. Milipuko mingine imeripotiwa pia karibu na mji wa Bandar Lengeh, ulio karibu na Mlango-bahari wa Hormuz...
Iran , iran , iran niwaite mara ngapi msikie? Why mnazubaa hivi? Mmeshindwaje kuwathibiti hawa makafir wanaingia na kutoka watakavyo humo kwenu?
Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho? Uchumi wa Iran umeyumba kwa mambo ya kipuuzi...
Marekani: Rais Donald Trump anapanga kuanzisha upya mashambulizi dhidi ya Iran baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula, inaripoti MS NOW. Maafisa watatu wa ngazi ya juu kutoka mataifa ya Kiarabu ya Ghuba, wakizungumza kwa sharti la kutotajwa majina, waliambia chombo hicho cha habari kuwa utawala...
Kesho 27th October Benjamin Netanyahu anakwenda kuachia ngazi...
Alikuwa akiongea sana kuhusu regime change ndani ya Iran lakini yeye ndiye anakwenda kutoka madarakani...
Gadi Eisenkot ndiye anakwenda kuwa waziri mkuu mpya wa Israel...
Ni pigo la aina yake kwa Netanyahu...
Majuzi hapo tarehe...
Mkuu wa majeshi wa Israel, bwana zamir,amemgomea waziri mkuu wa Israel Benjamin netanyahu kuishambulia iran siku moja kabla ya uchaguzi mkuu Israel
Bwana zamir alimtaka netanyahu asaini nyaraka rasmi za amri hiyo Ili atekeleze Ili baadae mkono wa Sheria usimkute
Netanyahu ana Hali ngumu ya...
Msemaji wa jeshi la mapinduzi la Iran (IRGC) limewakumbusha 'maadui' zake kwamba, kuna cable kuu 7 za internet zimekatiza kwenye mlango bahari wa Hormuz
Kwa mujibu wa Google AI, hizi ndiyo cable 7 kuu za internet zinazokatiza mlango huo:
Mange Kimambi anaota ndoto za mchana?
Jana, Mange Kimambi alichapisha video akizungumzia uwezekano wa kuibuka kwa vikundi vya uasi nchini Tanzania kama M23.
Ukweli ni kwamba, suala la majaribio ya kuipindua serikali na changamoto za usalama si geni katika historia ya Tanzania. Hata jeshi...
Hii Dunia haipo fair kabisa. Imagine ulikuwa na uwezo wa kutembea popote upendapo. Kwenda beach, porini, shambani n.k ulikuwa unaweza kaa na watoto wako na wakezo mka enjoy
Anatokea mbwa mmoja kwa wivu na chuki zake anapendekeza unakuwa Hayatollah. Hapo hapo maisha yanabadilika. Unaanza...
Migogoro ya ndani ya kisiasa nchini Iran inazidi kushamiri huku matatizo ya kiuchumi yakiongezeka.
Wafuasi wa msimamo mkali wanaongeza shinikizo dhidi ya serikali ya Iran na kutaka Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araghchi, aondolewe madarakani. Waziri wa Mafuta amejiuzulu, lakini hatua hiyo...
🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️
Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano.
Hali hii inapoongezeka...
1. Sifa za Marekani: Uongo, Kuvunja Ahadi, na Hiana
"Na Marekani leo kila siku tunasikia kuwa yupo katika mazungumzo na Wairani yeye mwenyewe akijidai kama vile hataki kuleta vita anataka kuepusha vita Lakini waani wanasema sisi tunamjua kuwa eh Trump hawezi mtu wa kuaminika".
"Na sisi waislamu...
Pentagon imeiagiza Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) kukamilisha maandalizi ya uwezekano wa kuanza tena kwa operesheni kubwa za kijeshi dhidi ya Iran.
Rais Donald Trump hajafanya uamuzi wa mwisho au kuweka tarehe, lakini mashambulizi yanaweza kutokea kabla ya uchaguzi wa Israeli mwezi Oktoba na...
Pentagon yasema kuna uwezekano wa Marekani kuishambulia Iran.
Mark my word iwapo Marekani itaishambulia upya iran, Sitaki kusikia free Iran.
Hasa team Iran maana mna mdomo sana hadi mnaboa.
Matukio ya kuanzia mwaka 2022-2026 yamebadilisha sana akili za watu wengi duniani. Propaganda na ulaghai vimekuwa vikipwaya kila siku dhidi ya ukweli na uhalisia wa mambo. Kumekubwa na maswali mengi mazito ambayo hata wenye akili wanashindwa kuyatolea majawabu ya moja kwa moja:
Mosi, Israeli na...
Ni miezi inapita Iran ikipigwa na Marekani, inajibu kwa kulenga Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait na Jordan kwa sababu tu kuna kambi za Marekani huko.
Lakini kuna swali moja lina viulizo vingi, Israel ikiwa hapo jirani kabisa na Jordan, kwanini hairushiwi makombora ya wastani kwa idadi kama wenzake...
ghafla
iran
israel
jordan
kambi
karibu
kiislam
kuishambulia
kupitia
kushambulia
kuwait
marekani
marekani na israel
mashambulizi
mpole
n.k
nchi
nchi za kiislam
saudi
saudi arabia
ubabe
waislam
wake
wenzake
wote
Dhidi ya dhana kwamba Iran haishambulii ndani ya mipaka ya Israel, ukweli ni kwamba Iran imeshawahi na kuendelea kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Israel kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani (droni), kama ilivyotokea Aprili 2024 na katika wimbi la mashambulizi ya baadaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.