100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kesho 27th October Benjamin Netanyahu anakwenda kuachia ngazi...
Alikuwa akiongea sana kuhusu regime change ndani ya Iran lakini yeye ndiye anakwenda kutoka madarakani...
Gadi Eisenkot ndiye anakwenda kuwa waziri mkuu mpya wa Israel...
Ni pigo la aina yake kwa Netanyahu...
Majuzi hapo tarehe 19 October, Israel wamerusha jet fighters na tanker zikapita Syria na Iraq, zilipokaribia kabisa na mpaka wa Iran wakapiga kona na kurudi Israel... Iran iliona jets zote kwenye radar, wakaacha kushambulia...
Netanyahu alichokuwa anataka ni Iran ianze ku shoot, halafu vita ilipuke... Uchaguzi uahirishwe.. ili Netanyahu aendelee kukaa kitini...
Kwa kutambua hilo Iran imetulia ikisubiri regime change ndani ya Israel....
Israel walipoulizwa na US kwanini walirusha jets mpakani mwa Iran, wakajibu walikuwa kwenye mazoezi...
Gadi anamuumbua Netanyahu kwamba anataka kuvuruga uchaguzi kwa kuanzisha vita isiyo na maana... Sasa nasikia Netanyahu na mkuu wa majeshi IDF wana mvutano, Netanyahu anataka aanzishe vita kuvuruga uchaguzi huku mkuu wa majeshi anasita maana wapinzani wanamuambia asijaribu...🤣...
US napo kuna uchaguzi wa midterm hapo November, hivyo vita ingetokea ilikuwa ni pigo kwa Trump, Sasa Trump amemkataza Netanyahu asianzishe vita...
Hali ni mbaya sana kwa Netanyahu maana kwa mujibu wa kura za maoni Netanyahu uwezekano wa kushinda ni mdogo...
Vita ilianza mafuta yapo bei chini, Hirmuz ipo wazi...
Hivi sasa mafuta yapo juu, Hormuz imefungwa na Iran..
Makombora wanayo, IRGC ipo, Uranium wanayo...
Obama ameongea huko Ohio kwenye mkutano wa kampeni kuhusu hio vita , ameongea ukweli ambao pro Israel huwa hawataki kusikia....
Nitunze maneno, Netanyahu safari yake imefika tamati...
Tukutane kesho tukishuhudia Netanyahu anaachia kiti...