Rudia kuandika mbona umefutaHuyo Eisenkot si ndo anamtuhumu Netanyahu kuwa ni Pro Iran, pro Hamas, nk, na ndo sababu anawalea? Sasa ngoja mruke majivu mtue juu ya moto Og
Rudia kuandika mbona umefutaHuyo Eisenkot si ndo anamtuhumu Netanyahu kuwa ni Pro Iran, pro Hamas, nk, na ndo sababu anawalea? Sasa ngoja mruke majivu mtue juu ya moto Og
Ndio tatizo la kukaa vijiweni na kuamini kila kinachoongelewa halafu unajiona umetoa point
Ni wapi umesoma hivyo ? zaidi ya kusikia vijiweni
Yule na trump akili zao zinafanana ni waovu zaidi ya mashetani yupo tayari hata waisrael wafe ili yeye abaki kwenye kiti, maku kweli yuleYule atafanya kila kitu ili ashinde,anajua akishindwa anaenda mahakaman.
Ujitekenya ukiwa wapiKufanya hayo haihitaji uwe una roho mbaya, inahitaji uwezo...
Uwezo wa Israel ni mdogo.. Na akijidanganya Israel itawaka moto...
Mmatumbi wa Kilwa kivinje huo ufisadi wa Netanyahu unakuhusu nini?Aliyesababisha mauaji ya Oct 7 ni Netanyahu mwenyewe, husikilizi Eisenkot anavyomkosoa?
Punguza mahaba... Netanyahu ana kesi ya ufisadi...
Kosa la Iran ni lipi? Siku hizi ukivamiwa pia una kosa?..regime change inatakiwa Israel, Iran, na Marekani.
..watawala wa nchi zote tatu ndio chanzo cha vita iliyotokea.
..wote wanapaswa kuwajibishwa.
Hichi kilichoandikwa hapa sio ulichosema wewe lakini.
Zinaweza, kumbuka vyama vya kiarabu vimeshinda viti 14-18 hivyo vitaamua nani atakuwa waziri mkuu!!So unamaanisha akiondolewa netangahu sera za Israel dhidi ya Iran zitabadilika?
Ila ndio ameanguka uchaguzi, hana mandate ya wananchi. Na hao waarabu wana viti 16 so obvious wataingia upande wa Gadi na ndio bye bye kwa Netanyahu. Ajiandae kwenda jela tu maana kesi yake ya ufisadi itaanza sikilizwa kwa mfululizosiasa za israel,zinaruhusu vyama kuungana kuform a go ernment baada yà uchaguzi,hivyo hata Netamyahu likud ikifail,wanaweza ungana na vyama viwili vitatu kuunda serikal
Kosa la Iran ni lipi? Siku hizi ukivamiwa pia una kosa?
Acha kujipa umuhimu kwa yasiyokuhusu,sasa mtu kama wewe ukimchukia inasaidia nini?una impact gani kwake yani?Sema jamaa ana damu nyingi za watu.
Kinachofanya nimchukie ni kuua watoto pamoja na raia ambao ni unarmed wasiokuwa na threat yeyote.
The rest kwenye mapigano yao na wanajeshi, hilo watajuana wenyewe.
Wewe umeclaim wanahitaji regime change huko juu, kwamba uvamiwe, watu waue RAIA wako halafu solution iwe regime change?..Wamarekani na Waisrael wanaamini Iran amewakosea.
..Iran nao wanaona Marekani na Israel wana makosa.
..Hoja yangu sio nani yuko sahihi na nani ni mkosaji.
..Ninachopendelea mimi ni vita na uhasama wao ufikie kikomo.
Iran chanzo cha vita kwa mujibu upi mzee ????..regime change inatakiwa Israel, Iran, na Marekani.
..watawala wa nchi zote tatu ndio chanzo cha vita iliyotokea.
..wote wanapaswa kuwajibishwa.
Huoni walikua wanakatza waarabu kupiga kura? Bado hakuna demokrasia ya kueleweka. Mtu ana wabunge 25 ila bado anataka kuwa kiongozi wa serikali kwa 20% pekee ya kura za wananchi.Naona demokrasia kazini watu duniani kote wanafuatilia sana uchaguzi wa Israel na ule wa katikati ya muhula nchini Marekani.
Sasa hizo nchi zingekuwa zinaendeshwa kiimla kama Russia au China sijui watu sasa hivi wangekuwa na nini cha kusema.