Inasikitisha Sana Kuona Regime Change Inakwenda Kutokea Israel Badala Ya Iran

Kwani Iran hakuna uchaguzi wa Rais na wabunge tena wa kidemokrasia? Ila mbona walisema ni regime change au ikiwa Iran ni regime ila Israel inakua democracy?

Kingine Israel ni indirect democracy, ndio maana wanapigia kura chama sio mgombea kama mgombea. Ukishapigia chama ndio kinaamua nani awe mbunge (hata kama raia humtaki) na pia kinaamua waziri mkuu (kiongozu wa serikali) bila maamuzi ya raia.
No wonder Netanyahu alipata 20% pekee ya kura ila amekua waziri mkuu kinyume na matakwa ya wananchi wa israel
mkuu huwa naheshimu sana michango yako hapa jf, ulichoandika is too low kwa mtu wa kaliba yako
 
Kesho 27th October Benjamin Netanyahu anakwenda kuachia ngazi...

Alikuwa akiongea sana kuhusu regime change ndani ya Iran lakini yeye ndiye anakwenda kutoka madarakani...

Gadi Eisenkot ndiye anakwenda kuwa waziri mkuu mpya wa Israel...

Ni pigo la aina yake kwa Netanyahu...

Majuzi hapo tarehe 19 October, Israel wamerusha jet fighters na tanker zikapita Syria na Iraq, zilipokaribia kabisa na mpaka wa Iran wakapiga kona na kurudi Israel... Iran iliona jets zote kwenye radar, wakaacha kushambulia...

Netanyahu alichokuwa anataka ni Iran ianze ku shoot, halafu vita ilipuke... Uchaguzi uahirishwe.. ili Netanyahu aendelee kukaa kitini...

Kwa kutambua hilo Iran imetulia ikisubiri regime change ndani ya Israel....

Israel walipoulizwa na US kwanini walirusha jets mpakani mwa Iran, wakajibu walikuwa kwenye mazoezi...

Gadi anamuumbua Netanyahu kwamba anataka kuvuruga uchaguzi kwa kuanzisha vita isiyo na maana... Sasa nasikia Netanyahu na mkuu wa majeshi IDF wana mvutano, Netanyahu anataka aanzishe vita kuvuruga uchaguzi huku mkuu wa majeshi anasita maana wapinzani wanamuambia asijaribu...🤣...

US napo kuna uchaguzi wa midterm hapo November, hivyo vita ingetokea ilikuwa ni pigo kwa Trump, Sasa Trump amemkataza Netanyahu asianzishe vita...

Hali ni mbaya sana kwa Netanyahu maana kwa mujibu wa kura za maoni Netanyahu uwezekano wa kushinda ni mdogo...

Vita ilianza mafuta yapo bei chini, Hirmuz ipo wazi...
Hivi sasa mafuta yapo juu, Hormuz imefungwa na Iran..

Makombora wanayo, IRGC ipo, Uranium wanayo...

Obama ameongea huko Ohio kwenye mkutano wa kampeni kuhusu hio vita , ameongea ukweli ambao pro Israel huwa hawataki kusikia....

Nitunze maneno, Netanyahu safari yake imefika tamati...
Tukutane kesho tukishuhudia Netanyahu anaachia kiti...
Anaondoka huyo jamaa ila huyo anayeingia nasikia ana roho mbaya zaidi ya nyau na anataka kuifuta Gaza na palestina kabisa
 
Kama atapigwa chini, nitafurahi binafsi. Akae pembeni, ije damu mpya na changamoto mpya.
Nipo sekondari namsikiaga huyo babu.
 
Kesho 27th October Benjamin Netanyahu anakwenda kuachia ngazi...

Alikuwa akiongea sana kuhusu regime change ndani ya Iran lakini yeye ndiye anakwenda kutoka madarakani...

Gadi Eisenkot ndiye anakwenda kuwa waziri mkuu mpya wa Israel...

Ni pigo la aina yake kwa Netanyahu...

Majuzi hapo tarehe 19 October, Israel wamerusha jet fighters na tanker zikapita Syria na Iraq, zilipokaribia kabisa na mpaka wa Iran wakapiga kona na kurudi Israel... Iran iliona jets zote kwenye radar, wakaacha kushambulia...

Netanyahu alichokuwa anataka ni Iran ianze ku shoot, halafu vita ilipuke... Uchaguzi uahirishwe.. ili Netanyahu aendelee kukaa kitini...

Kwa kutambua hilo Iran imetulia ikisubiri regime change ndani ya Israel....

Israel walipoulizwa na US kwanini walirusha jets mpakani mwa Iran, wakajibu walikuwa kwenye mazoezi...

Gadi anamuumbua Netanyahu kwamba anataka kuvuruga uchaguzi kwa kuanzisha vita isiyo na maana... Sasa nasikia Netanyahu na mkuu wa majeshi IDF wana mvutano, Netanyahu anataka aanzishe vita kuvuruga uchaguzi huku mkuu wa majeshi anasita maana wapinzani wanamuambia asijaribu...🤣...

US napo kuna uchaguzi wa midterm hapo November, hivyo vita ingetokea ilikuwa ni pigo kwa Trump, Sasa Trump amemkataza Netanyahu asianzishe vita...

Hali ni mbaya sana kwa Netanyahu maana kwa mujibu wa kura za maoni Netanyahu uwezekano wa kushinda ni mdogo...

Vita ilianza mafuta yapo bei chini, Hirmuz ipo wazi...
Hivi sasa mafuta yapo juu, Hormuz imefungwa na Iran..

Makombora wanayo, IRGC ipo, Uranium wanayo...

Obama ameongea huko Ohio kwenye mkutano wa kampeni kuhusu hio vita , ameongea ukweli ambao pro Israel huwa hawataki kusikia....

Nitunze maneno, Netanyahu safari yake imefika tamati...
Tukutane kesho tukishuhudia Netanyahu anaachia kiti...
InshaAllah, Mwenye-ez-mungu atujaalie uhai na afya njema. Tayari 500 yangu ya bando ninayo.
 
People don't know about the Israeli election system and they think it's just like other elections in other democracies.

The latest Channel 12 opinion poll puts Gadi Eisenkot first with 23 seats, ahead of the Likud with 21, though other pollsters differ. On the pro-Netanyahu Channel 14, Likud is projected to take 30 seats and Eisenkot about 20. In head-to-head matchups about who is better suited to be prime minister, Eisenkot has led Netanyahu by a steady margin.

But coming out as the largest party is not enough to win. A prime minister needs 61 seats to form a government, and no party has ever won that majority alone. So, election night usually settles very little. The real contest is the coalition calculus that follows, which can take days, weeks, and even months.

So it's a different ball game unlike what people think and for that matter the victory hangs in balance between the two vanguard horses.

As for the fate of the terrorists, they will have nothing to smile about when, at last, the winner is declared because either of the candidates are averse to terror.
 
Sema nchi zenye institutions zenye nguvu, zinazojielewa raha sana, natamani nije niishi kwenye nchi kama hizo walau ndaninya miaka yangu hapa duniani.Yaani vyombo vya usalama vinakaa pembeni vinawaacha wananchi wapambane kwa hoja, bila kutekana, then anybody can be a leader, atakutana na vyombo viko dedicated kulinda wananchi na mataifa yao, sisi hapo kuna kakikundi au chama kinachoamini wengine wote hawafai
 
mkuu huwa naheshimu sana michango yako hapa jf, ulichoandika is to low kwa mtu wa kaliba yako
Too low ni kipi?
1. Ni kweli Israel haupigii mgombea kura bali CHAMA, then chama kikipata asilimia kadhaa za kura ndio zinajichagulia wabunge inaowataka hivyo wananchi hawana maamuzi ya jimbo gani anaenda mbunge gani.
According to this system, the voters vote for a list of candidates, and not for a particular person on the list.

2. Ni kweli Netanyahu alipata wabunge 31 pekee kupitia chama chake cha likud sawa na 25% pekee maana yake alikua waziri mkuu bila kupata hata simple majority. Je hiyo ni demokrasia? Mtu anayepata 25% kupewa serikali?
_108866105_israel_hemi_19sept-nc.png.webp

3. Iran pia wana uchaguzi wa wabunge na rais na huwa ni demokrasia? Kwani nimeongea uongo? Uchaguzi wa 2024 Massoud Pezeshkian alishinda kwa 54% tena raundi ya pili na alipigiwa kura na wananchi moja kwa moja sio kupitia bunge.

4. Regime ni nini? A regime is a system of rules, norms, and institutions that governs how political power is acquired, structured, and exercised in a country. Kwahiyo Israel na Iran zote zina regime kwani nimedanganya wapi?

Ningependa majadiliano ya JF yawe facts sio hisia, kama unaona too low ungeonyesha by facts kipi nimedanganya kwenye hoja yangu. Hatuwezi kufanana maoni you can pro israel I can be pro Iran and i still respect your opinions.
 
As for the fate of the terrorists, they will have nothing to smile about when, at last, the winner is declared because either of the candidates are averse to terror.
Ulikua huwezi kumaliza bila propaganda? Ni hivi Netanyahu atatolewa tu whether aje shetani au ibilisi ila Netanyahu is no more.

By the way waarabu wana 14 seats watashinda, kwahiyo upande watakaoingia ndio utashinda uchaguzi na obvious hawawezi ingia upande wa Netanyahu.
 
As for the fate of the terrorists, they will have nothing to smile about when, at last, the winner is declared because either of the candidates are averse to terror.
Ulikua huwezi kumaliza bila propaganda? Ni hivi Netanyahu atatolewa tu whether aje shetani au ibilisi ila Netanyahu is no more.

By the way waarabu wana 14 seats watashinda, kwahiyo upande watakaoingia ndio utashinda uchaguzi na obvious hawawezi ingia upande wa Netanyahu.
 
Kesho 27th October Benjamin Netanyahu anakwenda kuachia ngazi...

Alikuwa akiongea sana kuhusu regime change ndani ya Iran lakini yeye ndiye anakwenda kutoka madarakani...

Gadi Eisenkot ndiye anakwenda kuwa waziri mkuu mpya wa Israel...

Ni pigo la aina yake kwa Netanyahu...

Majuzi hapo tarehe 19 October, Israel wamerusha jet fighters na tanker zikapita Syria na Iraq, zilipokaribia kabisa na mpaka wa Iran wakapiga kona na kurudi Israel... Iran iliona jets zote kwenye radar, wakaacha kushambulia...

Netanyahu alichokuwa anataka ni Iran ianze ku shoot, halafu vita ilipuke... Uchaguzi uahirishwe.. ili Netanyahu aendelee kukaa kitini...

Kwa kutambua hilo Iran imetulia ikisubiri regime change ndani ya Israel....

Israel walipoulizwa na US kwanini walirusha jets mpakani mwa Iran, wakajibu walikuwa kwenye mazoezi...

Gadi anamuumbua Netanyahu kwamba anataka kuvuruga uchaguzi kwa kuanzisha vita isiyo na maana... Sasa nasikia Netanyahu na mkuu wa majeshi IDF wana mvutano, Netanyahu anataka aanzishe vita kuvuruga uchaguzi huku mkuu wa majeshi anasita maana wapinzani wanamuambia asijaribu...🤣...

US napo kuna uchaguzi wa midterm hapo November, hivyo vita ingetokea ilikuwa ni pigo kwa Trump, Sasa Trump amemkataza Netanyahu asianzishe vita...

Hali ni mbaya sana kwa Netanyahu maana kwa mujibu wa kura za maoni Netanyahu uwezekano wa kushinda ni mdogo...

Vita ilianza mafuta yapo bei chini, Hirmuz ipo wazi...
Hivi sasa mafuta yapo juu, Hormuz imefungwa na Iran..

Makombora wanayo, IRGC ipo, Uranium wanayo...

Obama ameongea huko Ohio kwenye mkutano wa kampeni kuhusu hio vita , ameongea ukweli ambao pro Israel huwa hawataki kusikia....

Nitunze maneno, Netanyahu safari yake imefika tamati...
Tukutane kesho tukishuhudia Netanyahu anaachia kiti...
Itapendeza sana.
 
People don't know about the Israeli election system and they think it's just like other elections in other democracies.

The latest Channel 12 opinion poll puts Gadi Eisenkot first with 23 seats, ahead of the Likud with 21, though other pollsters differ. On the pro-Netanyahu Channel 14, Likud is projected to take 30 seats and Eisenkot about 20. In head-to-head matchups about who is better suited to be prime minister, Eisenkot has led Netanyahu by a steady margin.

But coming out as the largest party is not enough to win. A prime minister needs 61 seats to form a government, and no party has ever won that majority alone. So, election night usually settles very little. The real contest is the coalition calculus that follows, which can take days, weeks, and even months.

So it's a different ball game unlike what people think and for that matter the victory hangs in balance between the two vanguard horses.

As for the fate of the terrorists, they will have nothing to smile about when, at last, the winner is declared because either of the candidates are averse to terror.
Kwa namna Netanyahu anavyotaka kuanzisha vita kipindi hiki cha kampeni ni uhalisia kwamba yeye mwenyewe anaelewa nini kinafuata...

Tusubiri..
 
It looks like they're gonna oust Netanyahu...

The madman, son of a madwoman, is now in hot water with the Israeli army and the Israeli public itself.

The story is that Israel has Knesset elections on October 27, 2026, and Netanyahu is on the brink of defeat according to polls, with the opposition led by Gadi Eisenkot (former Chief of Staff of the army) leading him by a narrow margin.

Netanyahu feels like he might lose his position.

So he decided to play the Iran card again: He went out and told people "Iran is a danger, and I'm the only one who can protect you," and he posted pictures of Tel Aviv with a nuclear bomb explosion in it, as a nod to the danger of Iran's nuclear weapon, and he started talking about escalating with Iran once more and positioning himself as the sole security man who can save the Israeli people from ruin.

The shocker two days before the elections: Israel's Channel 12 revealed a bombshell report that Netanyahu issued an order to Chief of Staff Eyal Zamir to carry out a military strike against Iran before the elections.

The second shocker: Zamir refused the order, and said: We need to discuss it first, and know exactly what the repercussions are, and have full legal approval signed by all the political leadership.

And the army was afraid that this operation would ignite a full-scale war with Iran at a super critical time right before the elections, and even more than that, the army suspected the motive—was it really national security interests? Or just to boost Netanyahu's stocks in the elections?

When the news broke, the internal situation exploded:

1 - Chief of Staff Eyal Zamir and numerous military leaders announced their refusal to work without a clear plan and without full approval.

2 - Opposition figures like Eisenkot accused him of gambling with the state's security just to win the elections or delay them, and that he's willing to lose lives just to stay in the chair.

Eisenkot said in a sharply worded speech: I warn Netanyahu: Do not dare put your political interests above the state's security.

3 - Avigdor Lieberman (leader of the Yisrael Beitenu party): Filed a lawsuit against Netanyahu in court, and described what he's doing as treason and selling out the state's security just to win or delay the elections.

4 - Yair Lapid, one of the opposition leaders, said: Netanyahu wants escalation and confrontation with Iran only to delay the elections; the man has veered off course—we're duty-bound to send him home.

5 - Defense Minister Katz and his close team want to calm things down, especially since this wave against Netanyahu is huge: So they had to deny the report and say there are no disagreements so no one panics and the situation doesn't turn against them.

The bottom line in Israel is that the army there went with one word: "We ain't starting a war for elections."

Netanyahu thought he'd ignite a war with Iran before the vote so people would pick him or the state would delay or cancel the elections—a sleazy move from a dumb human at an exposed timing, and the army there along with the political leadership cut him off and told him: Security ain't a game.

The wild part is that Netanyahu's pulled this before multiple times and always escalated with talk and lobbed threats left and right before every election, and every time the Israeli public and opposition fall for the trick and he wins, which shows that Israeli awareness internally is super low and easy to fool with words.

But this time it didn't slide by like before, 'cause it was blatant even for the blind—not a sneaky sleazy move like the past ones...
 
Imekuaje hadi sasa au POLLS hazijaanza kuhesabiwa?
Tanzania tulitumia siku 2 kuhesabu kura milioni 31+ wao wanakwama wapi?
 
Kesho 27th October Benjamin Netanyahu anakwenda kuachia ngazi...

Alikuwa akiongea sana kuhusu regime change ndani ya Iran lakini yeye ndiye anakwenda kutoka madarakani...

Gadi Eisenkot ndiye anakwenda kuwa waziri mkuu mpya wa Israel...

Ni pigo la aina yake kwa Netanyahu...

Majuzi hapo tarehe 19 October, Israel wamerusha jet fighters na tanker zikapita Syria na Iraq, zilipokaribia kabisa na mpaka wa Iran wakapiga kona na kurudi Israel... Iran iliona jets zote kwenye radar, wakaacha kushambulia...

Netanyahu alichokuwa anataka ni Iran ianze ku shoot, halafu vita ilipuke... Uchaguzi uahirishwe.. ili Netanyahu aendelee kukaa kitini...

Kwa kutambua hilo Iran imetulia ikisubiri regime change ndani ya Israel....

Israel walipoulizwa na US kwanini walirusha jets mpakani mwa Iran, wakajibu walikuwa kwenye mazoezi...

Gadi anamuumbua Netanyahu kwamba anataka kuvuruga uchaguzi kwa kuanzisha vita isiyo na maana... Sasa nasikia Netanyahu na mkuu wa majeshi IDF wana mvutano, Netanyahu anataka aanzishe vita kuvuruga uchaguzi huku mkuu wa majeshi anasita maana wapinzani wanamuambia asijaribu...🤣...

US napo kuna uchaguzi wa midterm hapo November, hivyo vita ingetokea ilikuwa ni pigo kwa Trump, Sasa Trump amemkataza Netanyahu asianzishe vita...

Hali ni mbaya sana kwa Netanyahu maana kwa mujibu wa kura za maoni Netanyahu uwezekano wa kushinda ni mdogo...

Vita ilianza mafuta yapo bei chini, Hirmuz ipo wazi...
Hivi sasa mafuta yapo juu, Hormuz imefungwa na Iran..

Makombora wanayo, IRGC ipo, Uranium wanayo...

Obama ameongea huko Ohio kwenye mkutano wa kampeni kuhusu hio vita , ameongea ukweli ambao pro Israel huwa hawataki kusikia....

Nitunze maneno, Netanyahu safari yake imefika tamati...
Tukutane kesho tukishuhudia Netanyahu anaachia kiti...
Ndoto za w Mwendawazimu hizo!!!! Chuki dhidi ya Netanyahu zitawatokea kwenye makalio yenu!!!
Sioni sababu ya Mwamba Netanyahu kushindwa maana ameifanyia mambo makubwa Israel hasa baada ya mauaji ya Oct 07,2023!,
 
Back
Top Bottom