israel

  1. C

    JamiiForums Tanzania Marekani imetangaza kusitisha ufadhili wa Dolla Billion 4 kwa Israel

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema amefikia makubaliano na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ya kusitisha ufadhili wa dola bilioni 4 kwa Israel kuanzia mwishoni mwa mwaka huu. Akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Fox and Friends kinachorushwa na kituo cha televisheni cha...
  2. 100 others

    JamiiForums Tanzania Duniani kote nadhani Israel ndio nchi yenye watu/wananchi wenye uelewa mdogo zaidi

    Wananchi wengi wa Israel hawana tofauti na wafuasi wa yale makanisa ya kiroho. Ambapo mchungaji ananunua kitambaa cha Tsh 500 au maji , au hata tunda, anauza kwa faida ya mara 10 ama 20 kwa kigezo ameombea hio bidhaa.... Wananchi wa Israel wanadanganywa na wanasiasa kama Netanyahu na genge...
  3. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Ule wakati wa kuifuta Israel umekaribia sasa

    Ni muda mrefu wapambanaji na taifa kubwa kwa sasa duniani limekuwa likisema likiguswa hata unywele litaifuta Israel kabisa kwenye Ramani. Sasa nadhani huo wakati umefika. Maana Iran imekuwa ikisubiri iguswe inuke kwa muda mrefu sana na haijawahi pata hiyo bahati. Nadhani huo wakati sasa...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waarabu huko Israel wapunguza kuuana baada ya wanajeshi wa Israel kuingilia kati kuwanusuru!!

    Kamishna wa Polisi wa Israeli Danny Levy alitangaza kupungua kwa takriban 14% kwa mauaji ndani ya jamii ya Kiarabu tangu mwanzo wa 2026 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana. Takwimu hizo ziliwasilishwa wakati wa mkutano uliohudhuriwa na makamanda wakuu wa polisi na maafisa. Levy...
  5. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tehran imejawa na Mashushu wengi wa Israel kiasi kwamba hakuna Siri wala kuaminiana kwa Iran

    Iran , iran , iran niwaite mara ngapi msikie? Why mnazubaa hivi? Mmeshindwaje kuwathibiti hawa makafir wanaingia na kutoka watakavyo humo kwenu? Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho? Uchumi wa Iran umeyumba kwa mambo ya kipuuzi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mkwamo wa Kisiasa Israel: Netanyahu Apoteza Wingi wa Viti, Waarabu Washika Hatamu kama 'Kingmakers'

    Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
  7. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa rubani aliejuruhiwa vibaya na gaidi alietaka kuangusha ndege iliokuwa inaelekea Israel

    Unamfanyia mtu haya yote ili tu ukakimbilie mito ya pombe ya kufikirika.
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wayahudi watamchagua Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu?

    Hizi ni baadhi tu ya sababu zinazonifanya nimchague Benjamin Netanyahu: 1. Alirejesha mateka wote. 2. Alimwangamiza Nasrallah. 3. Alimwangamiza Yahya Sinwar. 4. Alimwangamiza Ismail Haniyeh. 5. Alimwangamiza Mohammed Deif. 6. Alivunja muundo wa uongozi wa Hamas na Ali waangamizwa maelfu ya...
  9. 100 others

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Sana Kuona Regime Change Inakwenda Kutokea Israel Badala Ya Iran

    Kesho 27th October Benjamin Netanyahu anakwenda kuachia ngazi... Alikuwa akiongea sana kuhusu regime change ndani ya Iran lakini yeye ndiye anakwenda kutoka madarakani... Gadi Eisenkot ndiye anakwenda kuwa waziri mkuu mpya wa Israel... Ni pigo la aina yake kwa Netanyahu... Majuzi hapo tarehe...
  10. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi Israel amgomea netanyahu kuishambulia iran

    Mkuu wa majeshi wa Israel, bwana zamir,amemgomea waziri mkuu wa Israel Benjamin netanyahu kuishambulia iran siku moja kabla ya uchaguzi mkuu Israel Bwana zamir alimtaka netanyahu asaini nyaraka rasmi za amri hiyo Ili atekeleze Ili baadae mkono wa Sheria usimkute Netanyahu ana Hali ngumu ya...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Askari 2 wa Israel wauwawa huko Judea & samaria!!

    Waisraeli 2 wamefariki kutokana na majeraha yao kufuatia shambulio la kigaidi katika Makutano ya Judea kwenye Njia ya 35, karibu na Hebron, huko Judea na Samaria (Ukingo wa Magharibi) huku wengine 3 wakijeruhiwa, akiwemo 1 aliyejeruhiwa kwa kiasi na 2 aliyejeruhiwa kidogo. Magaidi wawili wa...
  12. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania Wakuu leo nimepishana na ISRAEL mtoa roho

    Iko hivi, kuna jirani yangu hapa ni mbahili kichizi yaani mpaka zama hizi bado anatumia litivii la chogo (bonge la tv). sasa leo bwana likamgomea kuwaka, baada ya kufikiria akakumbuka kua mimi jirani yake nimesomea umeme mpaka chuo kikuu ikabidi anishirikishe. Mimi sijawahi kufungua hata remote...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz anampa onyo kali kiongozi wa Hamas: Al-Hayya

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz anampa onyo kali kiongozi wa Hamas: Tuliwaangamiza viongozi wa Hamas huko Gaza, na sasa ni zamu ya Al-Hayya kumwangamiza!! Hamas ikijibu vitisho vya Waziri wa Ulinzi Israel Katz vya kumwangamiza Khalil al-Hayya, mkuu wa ofisi yake ya kisiasa: Vitisho...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kuhofia Ummah wa Waislam Saudi Arabia yakataa kusaidiwa na Israel kuwapiga Houthis

    Saudi Arabia imekataa ombi la Israel la kutaka kujiunga kwenye vita Yao dhidi ya Houthis Kukataa huko kwa Saudi Arabia ni sababu imeona sio jambo la busara kuungana nao
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Israel na Muongozo wa Hannibal Hakuna Kuchukua Mateka Awe Nduguyo au Adui

    https://youtu.be/c4EGGCQOP8Y?si=OQ9CRNg2tPDHN3qb
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
  18. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Mossad na Israel kwa ujumla

    1.raia wa Israel wanapotalii nchi za ugenini Hususani huku Afrika wahakikishe wasiwe kwenye makundi makubwa kuepuka shambulio la kigaidi. Wasiweke nguvu tu kwenye nchi za Ulaya,uarabuni au Asia katika kujilinda wakasahau na huku Afrika. Serikali ya Israel isijiamini sana kwamba serikali za nchi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Iran wanatuangusha, wanashindwaje kuwajibu Marekani kwa kuishambulia nchi ndogo Israel kama wanavyofanya kwa Saudi, Kuwait, Jordan, Bahrain, n.k.

    Ni miezi inapita Iran ikipigwa na Marekani, inajibu kwa kulenga Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait na Jordan kwa sababu tu kuna kambi za Marekani huko. Lakini kuna swali moja lina viulizo vingi, Israel ikiwa hapo jirani kabisa na Jordan, kwanini hairushiwi makombora ya wastani kwa idadi kama wenzake...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu baada ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 nchini Israel.

    Mkuu wa Majeshi ya Israel, LTG Eyal Zamir, kuhusu kuadhimisha miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7: Vikosi na makamanda wa IDF, katika huduma ya lazima na katika akiba, wafanyakazi wa kiraia wa IDF. Mnamo Oktoba 7, siku ya Simchat Torah 5784, mipaka yetu ilivunjwa katika shambulio la umwagaji damu...
Back
Top Bottom