Ule wakati wa kuifuta Israel umekaribia sasa

Ule wakati wa kuifuta Israel umekaribia sasa

Sodoku Myebusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,319
Reaction score
3,004
Ni muda mrefu wapambanaji na taifa kubwa kwa sasa duniani limekuwa likisema likiguswa hata unywele litaifuta Israel kabisa kwenye Ramani.

Sasa nadhani huo wakati umefika. Maana Iran imekuwa ikisubiri iguswe inuke kwa muda mrefu sana na haijawahi pata hiyo bahati. Nadhani huo wakati sasa unakaribia. Israel haijaacha kuichokoza Iran. Kwa tabia za kibasha. Mwisho wake umekaribia.
 
Mohammad alitamani kuifuta Israel akashindwa!
 
Ni muda mrefu wapambanaji na taifa kubwa kwa sasa duniani limekuwa likisema likiguswa hata unywele litaifuta Israel kabisa kwenye Ramani.

Sasa nadhani huo wakati umefika. Maana Iran imekuwa ikisubiri iguswe inuke kwa muda mrefu sana na haijawahi pata hiyo bahati. Nadhani huo wakati sasa unakaribia. Israel haijaacha kuichokoza Iran. Kwa tabia za kibasha. Inafikia hatua hata kushika makalio ya shetani. Mwisho wake umekaribia.
Iran imepigwa sana na viongozi wake wengi kuuwawa akiwemo kiongozi wao Mkuu Gaidi Ayatollah Ali Khamenei naye aliangamizwa bila huruma mbona hai kuifuta Israel?

Hata sasa hivi Iran anapigwa vizuri tu wala hafurukuti na hata Kama atafurukuta atanyooshwa tu!!
 
Attachments

  • IMG_5698.jpeg
    IMG_5698.jpeg
    256.3 KB · Views: 5
  • 4653847686015833830.mp4
    4.6 MB
  • 5054372060036385771.mp4
    14.1 MB
  • IMG_5031.jpeg
    IMG_5031.jpeg
    83.3 KB · Views: 2
  • IMG_5080.jpeg
    IMG_5080.jpeg
    169.2 KB · Views: 2
  • IMG_5070.jpeg
    IMG_5070.jpeg
    105.7 KB · Views: 3
  • IMG_4908.png
    IMG_4908.png
    890.4 KB · Views: 3
  • IMG_4825.jpeg
    IMG_4825.jpeg
    103.6 KB · Views: 2
  • IMG_3466.jpeg
    IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 3
  • IMG_3479.jpeg
    IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 3
  • IMG_3499.jpeg
    IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 3
  • IMG_3483.jpeg
    IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 3
  • IMG_3406.jpeg
    IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 2
  • IMG_3414.jpeg
    IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 3
  • IMG_3419.jpeg
    IMG_3419.jpeg
    35.8 KB · Views: 2
  • IMG_3405.jpeg
    IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 2
  • IMG_3404.jpeg
    IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 2
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 2
  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 2
  • IMG_3401.jpeg
    IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 3
  • IMG_3284.jpeg
    IMG_3284.jpeg
    93.4 KB · Views: 3
  • IMG_3251.jpeg
    IMG_3251.jpeg
    160.6 KB · Views: 3
  • IMG_3092.jpeg
    IMG_3092.jpeg
    145 KB · Views: 3
  • IMG_3076.jpeg
    IMG_3076.jpeg
    134.7 KB · Views: 3
  • IMG_3050.jpeg
    IMG_3050.jpeg
    150.1 KB · Views: 3
Iran imepigwa sana na viongozi wake wengi kuuwawa akiwemo kiongozi wao Mkuu Gaidi Ayatollah Ali Khamenei naye aliangamizwa bila huruma mbona hai kuifuta Israel?

Hata sasa hivi Iran anapigwa vizuri tu wala hafurukuti na hata Kama atafurukuta atanyooshwa tu!!

Sasa subiri Iran itakavyolipiza kisasi.
 
Back
Top Bottom