Maafisa wawili wa Iran waliuawa katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran; wote wawili walikuwa askari wa jeshi la Iran, sio Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
Tofauti na IRGC, jeshi la Iran - linalojulikana kama Artesh - kwa ujumla haliogopi wala kuchukiwa na Wairan wengi...
Shambulio la alfajiri ya leo, la jeshi la Israel, tunaambiwa limehusisha ndege 100. Ndege zimeshambulia, na zote zimerudi salama. Ina maana, jeshi la Iran limeshindwa kudungua hata ndege moja ya Israel. Jambo kama hilo la kwenda kumshambulia adui yako kwa ndege, sidhani kama Iran inaweza kuthubu...
Kwanza hakuna ndege ya Israel iloingia kwenye anga la Iran wameishia kutuma ndege mpaka Iraq karibia na mpaka wa Iraq kisha ndege zao kufyatua makombora kuelekea Iran.
Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki.Kwanza kabisa hakuna ndege...
Inasemekana Israel alikua na mpango wa kuishushia mvua ya mabomu Iran siku hizi mbili.
Israel alikua anashea mpango wake huo wa kuishambulia Iran, lakini kwa bahati mbaya/nzuri zimevuja. Inasemekana kuna intelligence agency mmoja chawa upande wa us amezivujisha habari hizo.
Bado haijajulikana...
Iran ina population kubwa ya watu, reserve kubwa ya mafuta, shaba, eneo kubwa lakini wamezidiwa Uchumi na Israel
Israel ni nchi ndogo Sana ki eneo na resources ndogo Sana lakini wamefanikiwa pakubwa kwenye kilimo, high tech, kijeshi.
Uchumi wao ni GDP 550 billion usd. Uchumi wa Iran ni GDP 450...
1. Israel alitumia majini(viumbe vya ajabu) kum-locate Nasrallah (aliyekuwa kiongozi mkuu wa Hizbollah)
Kama hujui "genies" ni viumbe gani, just search kweny Google au angalia movie ya disney ya "Alladin"
2. Brigedia General wa Iran kaishutumu Israel kwa wizi wa mawingu, meteorologist...
Haya mambo hayatokei hivihivi tu, kuna injinia wako nyuma yake wanasuka mipango yao waijuayo wao.
Sisi huku duniani tupotupo tu tunashangilia na ku take sides bila kufanya uchambuzi yakinifu wa "Reason Behind" ya yanayoendelea.
Mwaka 2025 huenda ukawa mgumu sana kwa dunia nzima, tujipange kwa...
Maoni yangu hii vita haitatokea. The fact kwamba wahasimu hawa wawili, wakiwashirikisha Super Power walio upande wao wamefikia hata kuzungumzia silaha za Maangamizi (kunazungumzwa sasa Nuclear), hii inanifanya nikumbuke Maandiko ya Biblia kuwa Mungu hataacha mwanadamu aiharibu dunia beyond...
Wadau hamjamboni nyote?
Kikao cha Waziri Mkuu Benjamin Netanyau na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama yaani IDF, shin bet na mossad kilichoketi muda mfupi uliopita kimeamua kufanya shambulizi dhidi ya Iran badala ya kusubiri kujibu shambulizi kutoka Iran
Taarifa kamili zikipatikana muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.