Tehran imejawa na Mashushu wengi wa Israel kiasi kwamba hakuna Siri wala kuaminiana kwa Iran

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,489
Reaction score
5,764
Iran , iran , iran niwaite mara ngapi msikie? Why mnazubaa hivi? Mmeshindwaje kuwathibiti hawa makafir wanaingia na kutoka watakavyo humo kwenu?

Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho? Uchumi wa Iran umeyumba kwa mambo ya kipuuzi tu. Kwani hiyo israel mnashindwqaje ifuta isiwepo tena Duniani?
Screenshot_2026-10-31-05-13-43-102_com.instagram.android~2.jpg
 
Even the biblical Jushua was among the pivotal sleuths in an ancient Israel.
 
Iran , iran , iran niwaite mara ngapi msikie? Why mnazubaa hivi? Mmeshindwaje kuwathibiti hawa makafir wanaingia na kutoka watakavyo humo kwenu?

Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho? Uchumi wa Iran umeyumba kwa mambo ya kipuuzi tu. Kwani hiyo israel mnashindwqaje ifuta isiwepo tena Duniani?
View attachment 3702181
Lkn watoto wa letanyahu wapo marekani wanalindwa na kambi nzima ya jeshi
 
Nenda kaifute hata wewe hakuna shida

Waache waeke site zao ndani ya iran hakuna shida

Maadam tu iran ikiamua kuwapelekea moto inawapelekea basi hakuna shida

Hujui kitu dogo. Iran ni taifa kubwa sana. Israel ni kama kamkoa tu kwa Iran haiwezekani kakafanye ule uharibifu wa kuua viongozi kinyama kama ayatollah alivyouawa kwa kudharirishwa. Iran ilitakiwa nayo imuue Netanyau. Israel imeua viongozi wengi wa Iran na kuharibu vinu vya nyuklia. Imefanya uharibifu mkubwa mpaka wanasayansi kwa sasa hawataki tena huo mpango kwa Iran. Inabidi ichapwe hasa
 
Kama wananchi hawaitaki Serikali yao, unategemea nini mkuu? Mamluki lazima wawe wengi. Serikali ya Iran inachukiwa na raia wake, ni rahisi maadui kupandikiza watu.
 
Iran , iran , iran niwaite mara ngapi msikie? Why mnazubaa hivi? Mmeshindwaje kuwathibiti hawa makafir wanaingia na kutoka watakavyo humo kwenu?

Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho? Uchumi wa Iran umeyumba kwa mambo ya kipuuzi tu. Kwani hiyo israel mnashindwqaje ifuta isiwepo tena Duniani?
View attachment 3702181
Wa Israel Kila sehemu wapo hata bongo isipokuwa shitholes country kama bongo
 
Iran taifa kubwa, Israel taifa dogo. Sawa.
Israel imeua kiongozi mkuu wa taifa kubwa, na taifa kubwa lipo kimya tu.
Ukubwa hapa unapimwaje?
 
Iran , iran , iran niwaite mara ngapi msikie? Why mnazubaa hivi? Mmeshindwaje kuwathibiti hawa makafir wanaingia na kutoka watakavyo humo kwenu?

Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho? Uchumi wa Iran umeyumba kwa mambo ya kipuuzi tu. Kwani hiyo israel mnashindwqaje ifuta isiwepo tena Duniani?
View attachment 3702181
Propaganda as usual
 
zikianza kupigwa hizo zote hazitakuwa na faida kwa waisraeli...utasikia tu cease fire,cease fire!!!
 
Back
Top Bottom