Tehran imejawa na Mashushu wengi wa Israel kiasi kwamba hakuna Siri wala kuaminiana kwa Iran

Tehran imejawa na Mashushu wengi wa Israel kiasi kwamba hakuna Siri wala kuaminiana kwa Iran

Sasa kama wanasayansi hawataki maana yake mpango si ushakufa
Hakuna kiongozi wa iran alouliwa na israhell viongozi wote wameuliwa na marekani

Heeeeh .... Tena? Mbona tunabadilika badilika. Kwa hiyo hatuwadai Israel? Kwani kukubali ukweli kuna shida gani? Yaani wewe tupo wote huku unakataa halafu Wairan wenyewe wanailaumu Israel hii makafir kwa kuwaua wanasayans na Hayatollah? 🤣 Imebidi nicheke.
 
Jibu ni USA..... hata Iran ingekua inalindwa na China au Russia wangekua na kiburi zaidi ya hiki maana wanajua Baba yao atawalinda.

Ila nikwambie leo Israel bila USA haina jeuri ya kushambulia, ona tu USA alivyoweka mkataba wa amani na Iran hao Israel walisema hawautambui ila hawakushambulia mpaka leo maana wanajua bila Trump hawatoboi.
Ndo najiuliza Israel inapataje hicho Kiburi cha kuitishia Iran au kutaka kuipiga Iran? Israel ni ka nchi kadogo sana. Sana kadogo kwa eneo na watu kanawezaje kusumbua mash ya kati? Mimi nlitamani Iran ikafutilie mbali kabisa baada ya Hayatollah kuuawa kwa kudhalilishwa namna nashangaa why kanatamba bado.
 
shehe mashushu wapo kila upande, juzi marekani walimfukuza kazi afisa wa juu wa kijeshi kwa kuvujisha siri za jeshi la marekani kwa Iran

Najua wapo. Ila nakumbuka Iran tulilalamika zaidi suala hili la mashushushu na tuliona adhari za viongozi wetu kuuawa kama panya
 
Makebo sijui kama unaelewa kiingereza dada angu. Ungemwambia mtu akusomee hiyo akutafsirie ungepata idea
wewe shoga hio lugha inakuzuzua kwa kuwa iliisoma shuleni wakati mimi ndio lugha yangu ya Taifa
hawa mach0ko unaodangwanya wamejaa Tehran kwanini wasizuie hizi mbanga

1793532770292.png

1793532806580.png

1793532833937.png

1793532859824.png

1793532906177.png

1793532939142.png
 
Ndo najiuliza Israel inapataje hicho Kiburi cha kuitishia Iran au kutaka kuipiga Iran? Israel ni ka nchi kadogo sana. Sana kadogo kwa eneo na watu kanawezaje kusumbua mash ya kati? Mimi nlitamani Iran ikafutilie mbali kabisa baada ya Hayatollah kuuawa kwa kudhalilishwa namna nashangaa why kanatamba bado.
Ndio sababu nimeshakupa, jeuri inatoka kwa Marekani. Hata Iran ikirusha makombora huwa yanakua intercepted na makombora ya USA hata kabla haijasogelea Tel aviv.

Ila bila USA ingepigwa asubuhi tu, hivi ka-nchi size ya kigamboni kanaweza kupambana na Iran taifa lenye miaka zaidi ya 8,000!!
 
wewe shoga hio lugha inakuzuzua kwa kuwa iliisoma shuleni wakati mimi ndio lugha yangu ya Taifa
hawa mach0ko unaodangwanya wamejaa Tehran kwanini wasizuie hizi mbanga

View attachment 3702616
View attachment 3702617
View attachment 3702618
View attachment 3702619
View attachment 3702620
View attachment 3702622

Nimecheka sana umepaniki sana na sijui kwa akili hii kama utapata mume dada yangu. Unaonekana umeishi sana uswahilini. Mimi sikufundishwa matusi nimelelewa katika maisha ya ustaarabu na ilimu imenisaidia.
 
Ndio sababu nimeshakupa, jeuri inatoka kwa Marekani. Hata Iran ikirusha makombora huwa yanakua intercepted na makombora ya USA hata kabla haijasogelea Tel aviv.

Ila bila USA ingepigwa asubuhi tu, hivi ka-nchi size ya kigamboni kanaweza kupambana na Iran taifa lenye miaka zaidi ya 8,000!!
Ndo najiuliza Israel inapataje hicho Kiburi cha kuitishia Iran au kutaka kuipiga Iran? Israel ni ka nchi kadogo sana. Sana kadogo kwa eneo na watu kanawezaje kusumbua mash ya kati? Mimi nlitamani Iran ikafutilie mbali kabisa baada ya Hayatollah kuuawa kwa kudhalilishwa namna nashangaa why kanatamba bado. Kana jeuri sana.
 
Attachments

  • 43541eng.webp
    43541eng.webp
    66.9 KB · Views: 1

Attachments

  • IMG_0dcab4ac-e0e0-4d31-9036-ee42a0ea86dc.jpg
    IMG_0dcab4ac-e0e0-4d31-9036-ee42a0ea86dc.jpg
    41.3 KB · Views: 1
katika chama cha Netanyahu na eisenkort ndani yake pia kuna coalition,so baadhi ya watu wanaweza ku breakaway ili kujiunga na netanyahu au wa netanyahu kwenda kujiunga na eisenkort,ishu hapa nani ataweza kumshawishi nani,katiba inachotaka,chama kuunda serikali ni hadi kiwe na viti above 60,ikishindikana,uchaguzi utarudiwa
Acha ujinga uchaguzi hauwezi kurudiwa kwa sababu hiyo Netanyahu na Gadi yeyote anaweza kuambiwa aunde serikari ya muungano!!
 
Hujui kitu dogo. Iran ni taifa kubwa sana. Israel ni kama kamkoa tu kwa Iran haiwezekani kakafanye ule uharibifu wa kuua viongozi kinyama kama ayatollah alivyouawa kwa kudharirishwa. Iran ilitakiwa nayo imuue Netanyau. Israel imeua viongozi wengi wa Iran na kuharibu vinu vya nyuklia. Imefanya uharibifu mkubwa mpaka wanasayansi kwa sasa hawataki tena huo mpango kwa Iran. Inabidi ichapwe hasa
Huyo israel anasubiri nini kuichapa
 
huu mwandiko unaonekana kabisa ni s3nge la vijijini
 
Wewe bomoa hayo matofali

Israel kazi yake ni kula vichwa tu
na wewe mshamba wa vijijini unaandika kama uko kilabuni
nyau huyo basha wenu kashindwa kuchaguliwa kutokana kipigo aliiletea nchi yake, hawakuamini wangetandikwa vile kama alivyowaaminisha na wameshamjua hawezi mpaka awepo trump, ina maana angekuwa raisi mwingine US angefyata mkia kama miaka yote.
na sasa katolewa, halafu US trump anafinywa tarehe 3 anabaki raisi jina
 
Om

Onesha na Hawa Magaidi walivyotangulizwa kuchukua mabikra 72 huko Mbinguni
angalia shoga hili, una hasira na mabikra inaonekana ulitaka uwe na mashoga wenzako
Hata wakuia wote, lakini kichapo isreal atachezea kama hiki tena bila kupepesa macho

1793554022075.png

1793554070643.png

1793554085445.png

1793554098832.png

1793554108926.png

1793554124433.png

1793554147158.png
 
Back
Top Bottom