Royal ❎iran bila nyuklia,haiwezi kuifuta israel na sababu no umbali,israel haiwezi kuifuta iran kwasababu ya umbali na pia ukubwa wa iran,pluss population ya irani ni kubwa,
iran kuna wafuasi wa mtawala alieangushwa 1979,yaani shah,,hawa ndio hutumiwa na israel kuhujumu iran,,ni sawa na wazungu waamue kuitumia chadema kuhujumu Tanzania,inakuwa rahisi kwasababu chadema wapi kila sekta,hata kama hawatafanikiwa lakini wataleya madhara ya hapa na pale.
irani pia haikuwahi kufukuza wayahudi wake,so inao raia wake wenye asili ya kiyahudi ambao actually wako royal kwa iran kuliko walivyo royal kwa israel
Loyal ✅