Tehran imejawa na Mashushu wengi wa Israel kiasi kwamba hakuna Siri wala kuaminiana kwa Iran

Tehran imejawa na Mashushu wengi wa Israel kiasi kwamba hakuna Siri wala kuaminiana kwa Iran

Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho?
Unaongea nini? Bila kudhibitiwa unadhani serikali ingekua bado madarakani si ingeshapinduliwa siku nyingi tu.

Kama Israel inajiamini kwanini haiji yenyewe kupigana na Iran ila imekaa pembeni inasubiri USA ndio apambane na Iran?

Hako ka last born kanatakiwa kaje mwenyewe kama Iran inavyopigana yenyewe bila askari wa China au Russia ili huu mjadala uzimwe once and for all.
 
Kwani hiyo israel mnashindwqaje ifuta isiwepo tena Duniani?
Sababu ya US, bila US inafutwa hata wiki moja tu. Hiyo Israel ina size ya zanzibar bila USA wakipigana na Iran au Uturuki nakwambia haimalizi wiki labda watumie nuclear bombs ila Tel aviv inapinduliwa.

Na inaweza isiwe leo au kesho ila kuna siku tu ataibuka kichaa mwingine kama Hitler na atawanyoosha tena kama 1940s
 
Kama wananchi hawaitaki Serikali yao, unategemea nini mkuu? Mamluki lazima wawe wengi. Serikali ya Iran inachukiwa na raia wake, ni rahisi maadui kupandikiza watu.
Hizi habari umezipata kutoka Kwa Trump na Netanyau?

Unadhani raia wa Irani ni vilaza kama wewe?
 
Unaongea nini? Bila kudhibitiwa unadhani serikali ingekua bado madarakani si ingeshapinduliwa siku nyingi tu.

Kama Israel inajiamini kwanini haiji yenyewe kupigana na Iran ila imekaa pembeni inasubiri USA ndio apambane na Iran?

Hako ka last born kanatakiwa kaje mwenyewe kama Iran inavyopigana yenyewe bila askari wa China au Russia ili huu mjadala uzimwe once and for all.

Duuh we dogo sijui kama upo sawa kichwani. Wale mademu walioipiga Iran na ndege walikuwa wamarekani? Au huwa ninyi wengine hamsomi na kuona? Juzi juzi hapa Trump kamkataza Netanyau asiipige tena Iran. Hii ya kwenu mnatoa wapi? Nani alidhibitiwa sasa? Yaani Israel ipindue serikali ya Iran?
 
Iran , iran , iran niwaite mara ngapi msikie? Why mnazubaa hivi? Mmeshindwaje kuwathibiti hawa makafir wanaingia na kutoka watakavyo humo kwenu?

Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho? Uchumi wa Iran umeyumba kwa mambo ya kipuuzi tu. Kwani hiyo israel mnashindwqaje ifuta isiwepo tena Duniani?
View attachment 3702181
Israel wamejenga magereza zaidi ya matatu kwa ajili tu ya kufunga majasusi wa Iran,walidhani hakuna kuja kushtuka wapo kibao, wengine wanatuma info kwa $1k tu
 
Sababu ya US, bila US inafutwa hata wiki moja tu. Hiyo Israel ina size ya zanzibar bila USA wakipigana na Iran au Uturuki nakwambia haimalizi wiki labda watumie nuclear bombs ila Tel aviv inapinduliwa.

Na inaweza isiwe leo au kesho ila kuna siku tu ataibuka kichaa mwingine kama Hitler na atawanyoosha tena kama 1940s
Haya maneno miaka na miaka tunayasema hatuoni yakifanikiwa yamebaki maneno maneno tu. N wao wanakuambia issue ya Hitler haitatokea tena na ile ndo iliwasaidia leo hii wawe hapo walipo na wawe walivyo. Hitler ni kama alimpiga teke chura.

Jamaa wamejengeka zaidi na kuwa imara. Ile slogan imewabeba na kuwafanya kitu kimoja. Na ukitaka gombana nao waambie hawakuteswa au uawa wakati wa Hitler. hawa jamaa sijui wakoje unapotaka waangamiza ndo wanastawi. Si unakumbuka 6 day war? Now wameua wanasayansi, viongozi wa Iran n.k sana mpaka huwa sitamani hata kukumbuka kwa jinsi navyopatwa hasira. Hayatollah aliuawa kama panya shimoni. Iran inabidi ilipize kwa sauti. Mimi napomwona Benjamin Netanyau napata hasira sana.

Wewe je?
 
Kama Iran imetishia kupiga miundombinu ya ghuba, na bado US na Israel inafikiria kuipiga Iran, basi awamu hii vita inaweza ikawa ni pana sana.
 
Kama Iran imetishia kupiga miundombinu ya ghuba, na bado US na Israel inafikiria kuipiga Iran, basi awamu hii vita inaweza ikawa ni pana sana.

Ndo najiuliza Israel inapataje hicho Kiburi cha kuitishia Iran au kutaka kuipiga Iran? Israel ni ka nchi kadogo sana. Sana kadogo kwa eneo na watu kanawezaje kusumbua mash ya kati? Mimi nlitamani Iran ikafutilie mbali kabisa baada ya Hayatollah kuuawa kwa kudhalilishwa namna nashangaa why kanatamba bado.
 
Iran , iran , iran niwaite mara ngapi msikie? Why mnazubaa hivi? Mmeshindwaje kuwathibiti hawa makafir wanaingia na kutoka watakavyo humo kwenu?

Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho? Uchumi wa Iran umeyumba kwa mambo ya kipuuzi tu. Kwani hiyo israel mnashindwqaje ifuta isiwepo tena Duniani?
View attachment 3702181
iran bila nyuklia,haiwezi kuifuta israel na sababu no umbali,israel haiwezi kuifuta iran kwasababu ya umbali na pia ukubwa wa iran,pluss population ya irani ni kubwa,
iran kuna wafuasi wa mtawala alieangushwa 1979,yaani shah,,hawa ndio hutumiwa na israel kuhujumu iran,,ni sawa na wazungu waamue kuitumia chadema kuhujumu Tanzania,inakuwa rahisi kwasababu chadema wapi kila sekta,hata kama hawatafanikiwa lakini wataleya madhara ya hapa na pale.
irani pia haikuwahi kufukuza wayahudi wake,so inao raia wake wenye asili ya kiyahudi ambao actually wako royal kwa iran kuliko walivyo royal kwa israel
 
Chadema hawapo kila sehemu. CCM do Chama kikubwa kina watu kila sehemu
 
Hujui kitu dogo. Iran ni taifa kubwa sana. Israel ni kama kamkoa tu kwa Iran haiwezekani kakafanye ule uharibifu wa kuua viongozi kinyama kama ayatollah alivyouawa kwa kudharirishwa. Iran ilitakiwa nayo imuue Netanyau. Israel imeua viongozi wengi wa Iran na kuharibu vinu vya nyuklia. Imefanya uharibifu mkubwa mpaka wanasayansi kwa sasa hawataki tena huo mpango kwa Iran. Inabidi ichapwe hasa
Sasa kama wanasayansi hawataki maana yake mpango si ushakufa
Hakuna kiongozi wa iran alouliwa na israhell viongozi wote wameuliwa na marekani
 
Wale mademu walioipiga Iran na ndege walikuwa wamarekani? Au huwa ninyi wengine hamsomi na kuona?
Sasa si mission ilifanyika jointly na Marekani au hujui kwenye hiyo mission ndio marekani ilitumia B2 bombers ambazo Israel hana kulipuwa nuclear facilities za Iran? Na pia wao US ndio walitoa refuellers, Air defence kupitia meli zao na kutumia Air base za US huko middle east ku service ndege zao.

Ni hiv hakuna mission yoyote Israel imewahi fanya bila Israel hapo Iran. Maana Israel hana infrastructure za kufanya mission bila intelligence, meli vita, Air defense na Bunker busters za US.
 
Chadema hawapo kila sehemu. CCM do Chama kikubwa kina watu kila sehemu
ni wachache sawa,lakini wapo kila sehemu,kwa maana sekta zote,unaweza kuta mwalimu kawa brainwashed ni mfuasi wa heche,ukamkuta daktari kijana ambae akili hazijakomaa,mfuasi wa lisu,,mgambo,injinia,mwanasheria,kuli,etc
 
Yaani Israel ipindue serikali ya Iran?
Si ndio ilikua nia ya vita au umesahau kipindi Netanyahu anahutubia wakazi wa Iran na kuwaambia Iran mpya inakuja na wawe tayari kwa utawala mpya. Hata Trump alisema atachagua Ayatollah mpya wa Iran.

Ila plan ya Israel kupindua serikali ya Iran ilifeli baada ya silaha kushindwa kuwafikia waandamanaji feki.

Na pia Uturuki ilitishia kuingia upande wa Iran kama Israel itachochea mapinduzi kupitia waasi wa kurdistan na Israel ikaufyata.

Inaonekana haupo informed kabisa na geopolitics za middle east
 
Juzi juzi hapa Trump kamkataza Netanyau asiipige tena Iran.
Sasa si Netanyahu alisema hapokei maelekezo ya US si angekuja mwenyewe sasa aliogopa nini? Alisikiliza sababu anajua bila Trump kumsaidia angesagwa asubuhi asubuhi

We mwenyewe unafahamu Israel aliishiwa interceptor missiles ikabidi vita istopishwe kwa makubaliano ya amani maana yake kama sio USA Iran alikua ana uwezo wa kuendelea na vita kwa kurusha makombora huku Israel ameishiwa interceptors unadhani nani angesurrender wa kwanza?

Iran has more missiles than Israel has interceptors. Simple statistics ambazo hata US wanazijua ndio maana wameongeza production ya missiles kukabiliana na hii gap.
 
silaha za marekani zilikuwa zipitie kwa wakurdi wa irag kuingia iran ili ziwafikie wairan waluoandaliwa kupindua utawala,,inteligence ya uturuki ikanasa huo mpango,waturuki wakatoa onyo hilo likitokea,uturuki itabidi iingize jeshi irag na iran kukamata maeneo ya wakurdi huko,basi wakurdi kusikia hivyo,silaha wakazichimbia na kukaa kimya
 
Iran , iran , iran niwaite mara ngapi msikie? Why mnazubaa hivi? Mmeshindwaje kuwathibiti hawa makafir wanaingia na kutoka watakavyo humo kwenu?

Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho? Uchumi wa Iran umeyumba kwa mambo ya kipuuzi tu. Kwani hiyo israel mnashindwqaje ifuta isiwepo tena Duniani?
View attachment 3702181
Ndoto za Mwendawazimu hizo alishindwa Firauni sembuse hawa Magaidi? Israel ni Taifa Teule Maendeleo kuteseka tu lakini katu nchi yoyote duniani haiwezi kufuta Taifa Hilo!!!
 
Iran , iran , iran niwaite mara ngapi msikie? Why mnazubaa hivi? Mmeshindwaje kuwathibiti hawa makafir wanaingia na kutoka watakavyo humo kwenu?

Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho? Uchumi wa Iran umeyumba kwa mambo ya kipuuzi tu. Kwani hiyo israel mnashindwqaje ifuta isiwepo tena Duniani?
View attachment 3702181
Ila cha ajabu waliingia kichwa kichwa wakapelekewa moto hadi wakaomba yaishe, na hadi sasa iran ndio ana control straight of hormuz na bei za mafuta hadi marekani , nani hapo mshindi?
Na walpanga regime change iran matokeo yake wote wawili regime change inatokea kwao
 
maneno miaka na miaka tunayasema hatuoni yakifanikiwa yamebaki maneno maneno tu. N wao wanakuambia issue ya Hitler haitatokea tena na ile ndo iliwasaidia leo hii wawe hapo walipo na wawe walivyo. Hitler ni kama alimpiga teke chura.
Itatokea tu kwani nani alijua Hitler angetokea baada ya wayahudi kuwa wameshachinjwa sana huko urusi baada ya Red revolution ya 1910s?

Au hujui tokea 1800s wayahudi walikua wanauwawa kila kona ya ulaya hadi Vienna conference ikafanyika kuwasaidia namna ya kupunguza vifo hivyo.

Lakini haikusaidia kitu maana Hitler alipokuja alimalizana nao na kama sio kihere here cha wamarekani sidhani kama kuna myahudi angesalia.

Na kama hujui chuki dhidi ya wayahudi kwa sasa ipo juu sana kuliko wakati wowote ule hata Pew center for research imeonyesha wamarekani wana mtazamo hasi na Israel so amini nakwambia sio miaka mingi ataibuka tu iwe ni China, Russia, Au USA mwenyewe atapatikana rais ambaye atasema "enough is enough" na hao jamaa watatafuta pa kujificha dunia nzima
 
Back
Top Bottom