Tehran imejawa na Mashushu wengi wa Israel kiasi kwamba hakuna Siri wala kuaminiana kwa Iran

Tehran imejawa na Mashushu wengi wa Israel kiasi kwamba hakuna Siri wala kuaminiana kwa Iran

Ndoto za Mwendawazimu hizo alishindwa Firauni sembuse hawa Magaidi? Israel ni Taifa Teule Maendeleo kuteseka tu lakini katu nchi yoyote duniani haiwezi kufuta Taifa Hilo!!!
story ya farao haina ukweli wowote,ndo maana vitabu vya dini havitaji jina la farao,sababu ni hadithi ya kutunga,mafarao wa misri wanajulikana kwa majina,na kuna documents
 
Ndo najiuliza Israel inapataje hicho Kiburi cha kuitishia Iran au kutaka kuipiga Iran? Israel ni ka nchi kadogo sana. Sana kadogo kwa eneo na watu kanawezaje kusumbua mash ya kati? Mimi nlitamani Iran ikafutilie mbali kabisa baada ya Hayatollah kuuawa kwa kudhalilishwa namna nashangaa why kanatamba bado.
Jibu ni USA..... hata Iran ingekua inalindwa na China au Russia wangekua na kiburi zaidi ya hiki maana wanajua Baba yao atawalinda.

Ila nikwambie leo Israel bila USA haina jeuri ya kushambulia, ona tu USA alivyoweka mkataba wa amani na Iran hao Israel walisema hawautambui ila hawakushambulia mpaka leo maana wanajua bila Trump hawatoboi.
 
Sasa si Netanyahu alisema hapokei maelekezo ya US si angekuja mwenyewe sasa aliogopa nini? Alisikiliza sababu anajua bila Trump kumsaidia angesagwa asubuhi asubuhi
Marekani na Israel ni Allies hivyo lazima Washirikiane wanavyotaka!!!!
We mwenyewe unafahamu Israel aliishiwa interceptor missiles ikabidi vita istopishwe kwa makubaliano ya amani maana yake kama sio USA Iran alikua ana uwezo wa kuendelea na vita kwa kurusha makombora huku Israel ameishiwa interceptors unadhani nani angesurrender wa kwanza?
Huna sikiliza Netanyahu Aliposema Iran now is weaker and Israel is Stronger than ever.?
Iran has more missiles than Israel has interceptors. Simple statistics ambazo hata US wanazijua ndio maana wameongeza production ya missiles kukabiliana na hii gap.
Hivyo ndivyo mnavyodanganyana Misikitini kwenu?
 
Jibu ni USA..... hata Iran ingekua inalindwa na China au Russia wangekua na kiburi zaidi ya hiki maana wanajua Baba yao atawalinda.

Ila nikwambie leo Israel bila USA haina jeuri ya kushambulia, ona tu USA alivyoweka mkataba wa amani na Iran hao Israel walisema hawautambui ila hawakushambulia mpaka leo maana wanajua bila Trump hawatoboi.
Maneno ya mkosaji hayo hata anaye Godfather ujinga wako tu ndiyo unakufanya Usimjue?
 
story ya farao haina ukweli wowote,ndo maana vitabu vya dini havitaji jina la farao,sababu ni hadithi ya kutunga,mafarao wa misri wanajulikana kwa majina,na kuna documents
Endelea kuteseka na Taifa Teule sasa!! Utafutika wewe Israel itaendelea kuwepo!!!
 
Endelea kuteseka na Taifa Teule sasa!! Utafutika wewe Israel itaendelea kuwepo!!!
hiyo ni pointless,hakuna mtu asiyejua wanadamu wote tunapita lskini ardhi ipo,haipiti,,jaribu kuwa unaongea vitu vya maana basi
 
Marekani na Israel ni Allies hivyo lazima Washirikiane wanavyotaka!!!!

Huna sikiliza Netanyahu Aliposema Iran now is weaker and Israel is Stronger than ever.?

Hivyo ndivyo mnavyodanganyana Misikitini kwenu?
Nilishakupuuziaga zamani sana maana huna uelewa wa kudebate na mimi so Acha kuniquote kabisa mshamba wewe. Kabishane na la saba wenzio wasiojitambua
 
Hujui kitu dogo. Iran ni taifa kubwa sana. Israel ni kama kamkoa tu kwa Iran haiwezekani kakafanye ule uharibifu wa kuua viongozi kinyama kama ayatollah alivyouawa kwa kudharirishwa. Iran ilitakiwa nayo imuue Netanyau. Israel imeua viongozi wengi wa Iran na kuharibu vinu vya nyuklia. Imefanya uharibifu mkubwa mpaka wanasayansi kwa sasa hawataki tena huo mpango kwa Iran. Inabidi ichapwe hasa
Tanarudi palepale Israel ni Taifa teule haliwezi kutishiwa na nyau!!
 
Nilishakupuuziaga zamani sana maana huna uelewa wa kudebate na mimi so Acha kuniquote kabisa mshamba wewe. Kabishane na la saba wenzio wasiojitambua
Netanyahu mpaka sasa anaongoza kwa 53% huko Israel!!!
 
Iran , iran , iran niwaite mara ngapi msikie? Why mnazubaa hivi? Mmeshindwaje kuwathibiti hawa makafir wanaingia na kutoka watakavyo humo kwenu?

Yaani Taifa kubwa kama lenu linashindwaje wadhibiti hawa Mayahudi mpaka wanakuwa wanatamba kiasi hicho? Uchumi wa Iran umeyumba kwa mambo ya kipuuzi tu. Kwani hiyo israel mnashindwqaje ifuta isiwepo tena Duniani?
View attachment 3702181
shehe mashushu wapo kila upande, juzi marekani walimfukuza kazi afisa wa juu wa kijeshi kwa kuvujisha siri za jeshi la marekani kwa Iran
 
Netanyahu mpaka sasa anaongoza kwa 53% huko Israel!!!
53 viti,haziwezi kumfanya aunde serikali,wapinzani wake wana 48 viti na wao hawawezi kuunda serikali kwani sheria yao inataka mshindi awe na viti 61,
chama cha waarabu kina viti 19,sasa unadhani watafanya mazingaombwe yapi kuunda seriksli?,ni either hizo camp mbili za kiyahudi waungane,au kila camp iongee na camp ya waarabu,au uchaguzi urudiwe
 
Nenda kaifute hata wewe hakuna shida

Waache waeke site zao ndani ya iran hakuna shida

Maadam tu iran ikiamua kuwapelekea moto inawapelekea basi hakuna shida
Mzee wa shida
Kila sentence unaweka shida
Nenda kaifute hata wewe hakuna shida

Waache waeke site zao ndani ya iran hakuna shida

Maadam tu iran ikiamua kuwapelekea moto inawapelekea basi hakuna shida
Mzee wa shida
Kila sentence unaweka shida
Inaonesha jinsi gani roho inakuuma halafu huna la kufanya
Unaona bora liende kwa kusema hamna shida

Na bado yahudi imeapa kuwatandika Iran sawa sawa
Wao wana dili na viongoz tuu
 
Lkn watoto wa letanyahu wapo marekani wanalindwa na kambi nzima ya jesh
Hata watoto wa Aghrachi wapo USA
Tulie yahudi imeapa kuwatandika Iran sawa sawa
Mpaka waache ujinga na wawe civilized kama mataifa mengine
 
Haya maneno miaka na miaka tunayasema hatuoni yakifanikiwa yamebaki maneno maneno tu. N wao wanakuambia issue ya Hitler haitatokea tena na ile ndo iliwasaidia leo hii wawe hapo walipo na wawe walivyo. Hitler ni kama alimpiga teke chura.

Jamaa wamejengeka zaidi na kuwa imara. Ile slogan imewabeba na kuwafanya kitu kimoja. Na ukitaka gombana nao waambie hawakuteswa au uawa wakati wa Hitler. hawa jamaa sijui wakoje unapotaka waangamiza ndo wanastawi. Si unakumbuka 6 day war? Now wameua wanasayansi, viongozi wa Iran n.k sana mpaka huwa sitamani hata kukumbuka kwa jinsi navyopatwa hasira. Hayatollah aliuawa kama panya shimoni. Iran inabidi ilipize kwa sauti. Mimi napomwona Benjamin Netanyau napata hasira sana.

Wewe je?
Utapata hasira sana 😁
 
53 viti,haziwezi kumfanya aunde serikali,wapinzani wake wana 48 viti na wao hawawezi kuunda serikali kwani sheria yao inataka mshindi awe na viti 61,
chama cha waarabu kina viti 19,sasa unadhani watafanya mazingaombwe yapi kuunda seriksli?,ni either hizo camp mbili za kiyahudi waungane,au kila camp iongee na camp ya waarabu,au uchaguzi urudiwe
Acha ujinga uchaguzi hauwezi kurudiwa hapo ni Wajibu wa Rais wa nchi kuchagua Kati ya Netanyahu mwenye 53% na Gadi mwenye 48% ili waunde serikali ya muungano na vyama vingine waarabu wamepewa Masharti 4 wayatimize likiwemo la kuwatambua Hamas Kama Magaidi kwa hiyo waarabu hawategemewi sana kwenye uundwaji wa Serikali.

Kwa upande wa Gadi Eisenkot yeye haitaki muungano na Netanyahu kabisa yeye ndiye anaweza kuzungumza na vyama vya waarabu au vyama vingine isipokuwa Likud
 
katika chama cha Netanyahu na eisenkort ndani yake pia kuna coalition,so baadhi ya watu wanaweza ku breakaway ili kujiunga na netanyahu au wa netanyahu kwenda kujiunga na eisenkort,ishu hapa nani ataweza kumshawishi nani,katiba inachotaka,chama kuunda serikali ni hadi kiwe na viti above 60,ikishindikana,uchaguzi utarudiwa
 
Hakuna nchi ye yote ambako CIA,Mosaid,M15,nk hawapo!
Hata hapa kwetu Tanzania usione ajabu kusikia CIA,Mosaid,nk wako ndani ya nchi yetu.
Sio usione ajabu. Wapo wengi na wala hawasumbuki kuweka watû wao

Wanawatumia nyie nyie wenyewe tena hadi viongozi wajuu hutumika

Waafrica hawana identity
 
Back
Top Bottom