carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema amefikia makubaliano na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ya kusitisha ufadhili wa dola bilioni 4 kwa Israel kuanzia mwishoni mwa mwaka huu.
Akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Fox and Friends kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Fox News, Trump amesema Israel haihitaji tena msaada huo wa kifedha, akidai kuwa baadhi ya wanasiasa wa chama cha Democratic na mrengo wa kushoto wanatumia suala la msaada huo kuikosoa Serikali ya chama cha Republican.
Trump amesema makubaliano hayo yalifikiwa miezi kadhaa iliyopita na kwamba pande hizo zimekubaliana kuwa Marekani haitatoa tena fedha hizo kwa Israel kuanzia mwishoni mwa mwaka huu, ingawa ameahidi kuwa Washington itaendelea kuisaidia Israel endapo itahitaji msaada.
Hata hivyo, haijafahamika mara moja ni aina gani hasa ya ufadhili ambao Trump amezungumzia, ikizingatiwa kuwa makubaliano ya sasa kati ya nchi hizo yanatoa msaada wa kijeshi wa dola bilioni 3.8 kila mwaka, ambao muda wake unatarajiwa kumalizika mwaka 2028.
======================
US President Donald Trump on Tuesday said he made a deal with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu that Washington would stop $4 billion in funding to Israel after the end of this year.
Speaking to Fox News’ ‘Fox and Friends’, Trump said Israel no longer needed the funding and that some Democrats and left-wing politicians were using the US financial support to Israel as a talking point to criticise Republicans.
“Now, as far as paying Israel, Bibi Netanyahu and I have made a deal that we give Israel $4bn a year, and we made a deal months ago that we’re stopping,” Trump told the broadcaster.
A memorandum of understanding that provides $3.8bn in annual US military aid to Israel is approaching its expiration date in 2028, and conversations have been under way on how Washington’s assistance to Israel would evolve beyond that date.
“They can buy whatever they want. They can buy whatever they want. So can Europe. We make the greatest weapons in the world,” Trump added
Source: Fox News