Inasikitisha Sana Kuona Regime Change Inakwenda Kutokea Israel Badala Ya Iran

Inasikitisha Sana Kuona Regime Change Inakwenda Kutokea Israel Badala Ya Iran

Kesho 27th October Benjamin Netanyahu anakwenda kuachia ngazi...

Alikuwa akiongea sana kuhusu regime change ndani ya Iran lakini yeye ndiye anakwenda kutoka madarakani...

Gadi Eisenkot ndiye anakwenda kuwa waziri mkuu mpya wa Israel...

Ni pigo la aina yake kwa Netanyahu...

Majuzi hapo tarehe 19 October, Israel wamerusha jet fighters na tanker zikapita Syria na Iraq, zilipokaribia kabisa na mpaka wa Iran wakapiga kona na kurudi Israel... Iran iliona jets zote kwenye radar, wakaacha kushambulia...

Netanyahu alichokuwa anataka ni Iran ianze ku shoot, halafu vita ilipuke... Uchaguzi uahirishwe.. ili Netanyahu aendelee kukaa kitini...

Kwa kutambua hilo Iran imetulia ikisubiri regime change ndani ya Israel....

Israel walipoulizwa na US kwanini walirusha jets mpakani mwa Iran, wakajibu walikuwa kwenye mazoezi...

Gadi anamuumbua Netanyahu kwamba anataka kuvuruga uchaguzi kwa kuanzisha vita isiyo na maana... Sasa nasikia Netanyahu na mkuu wa majeshi IDF wana mvutano, Netanyahu anataka aanzishe vita kuvuruga uchaguzi huku mkuu wa majeshi anasita maana wapinzani wanamuambia asijaribu...🤣...

US napo kuna uchaguzi wa midterm hapo November, hivyo vita ingetokea ilikuwa ni pigo kwa Trump, Sasa Trump amemkataza Netanyahu asianzishe vita...

Hali ni mbaya sana kwa Netanyahu maana kwa mujibu wa kura za maoni Netanyahu uwezekano wa kushinda ni mdogo...

Vita ilianza mafuta yapo bei chini, Hirmuz ipo wazi...
Hivi sasa mafuta yapo juu, Hormuz imefungwa na Iran..

Makombora wanayo, IRGC ipo, Uranium wanayo...

Obama ameongea huko Ohio kwenye mkutano wa kampeni kuhusu hio vita , ameongea ukweli ambao pro Israel huwa hawataki kusikia....

Nitunze maneno, Netanyahu safari yake imefika tamati...
Tukutane kesho tukishuhudia Netanyahu anaachia kiti...
Sio rahisi
 
Ni regime change, Netanyahu na gang yake wanaondoka madarakani...

Hivyo waziri mkuu mpya atatengeneza timu yake mpya, na ataingia na sera zake mpya...

Iran sera zake ni zile zile, viongozi wengi waliokuwepo bado wapo, misimamo yake ni ile ile...

So ni regime change inakwenda tokea Israel..

..regime change inatakiwa Israel, Iran, na Marekani.

..watawala wa nchi zote tatu ndio chanzo cha vita iliyotokea.

..wote wanapaswa kuwajibishwa.
 
Ulikua huwezi kumaliza bila propaganda? Ni hivi Netanyahu atatolewa tu whether aje shetani au ibilisi ila Netanyahu is no more.

By the way waarabu wana 14 seats watashinda, kwahiyo upande watakaoingia ndio utashinda uchaguzi na obvious hawawezi ingia upande wa Netanyahu.
Kwa Israel kupambana na ugaidi ni sera ya nchi na haijalishi nani yuko madarakani.
 
Ndoto za w Mwendawazimu hizo!!!! Chuki dhidi ya Netanyahu zitawatokea kwenye makalio yenu!!!
Sioni sababu ya Mwamba Netanyahu kushindwa maana ameifanyia mambo makubwa Israel hasa baada ya mauaji ya Oct 07,2023!,
Aliyesababisha mauaji ya Oct 7 ni Netanyahu mwenyewe, husikilizi Eisenkot anavyomkosoa?

Punguza mahaba... Netanyahu ana kesi ya ufisadi...
 
..regime change inatakiwa Israel, Iran, na Marekani.

..watawala wa nchi zote tatu ndio chanzo cha vita iliyotokea.

..wote wanapaswa kuwajibishwa.
Israel na US pekee...
Kwani aliyeanza kwenda kumshambulia mwenzake ni yupi?
Ulitaka Iran ikishambuliwa wakae kimya?
Halafu Iran itokee regime change?
 
Netanyahu a.k.a Bibi amekuwa waziri katili katika Taifa la Israel haijawahi kutokea.
Waisraeli/ wayahudi wamemchoka sana, hawataki kumuona tena.
Before Oct 7, Egypt intel chief alimpa taarifa za Intel Netanyahu kwamba Hamas wanapanga kufanya mashambulizi...

Netanyahu akaacha Hamas wafanye makusudi, ili apate sababu kamili kuichukua Gaza.. wataalamu na wachambuzi wanasema siku hio ulinzi ulikuwa chini...

Jambo lile Israel ingeweza kuzuia... Lakini Netanyahu ni kiongozi katili ambae anajali maslahi yake tu.

Netanyahu anategemea vita sana ili impe political mileage...
Ndio maana hata hapo Oct 19 juzi tu hapo, alitaka tena kuanzisha vita na Iran ambayo haina mbele wala nyuma...

Hivyo Netanyahu hajali maisha ya Waisraeli wala hajali yeyote, anajali maslahi yake pekee...

Hilo suala alilosema Gadi Eisenkot limemuharibia sana... na anaelewa anapoteza uchaguzi...

Wananchi wanaona Netanyahu ndiye alisababidha mauaji ya Waisraeli na mateka... in short ana hali ngumu kisiasa...
 
Kwa Israel kupambana na ugaidi ni sera ya nchi na haijalishi nani yuko madarakani.
Kupambana na ugaidi si kila nchi ina sera na sheria ya kupambana ikiwemo hadi Palestina yenyewe ina sheria ya kupinga ugaidi!

Issue ni utekelezaji, mfano unaweza pambana na ugaidi kwa kujenga mahusiano, mazungumzo ya amani, ndio maana Syria ipo chini ya Rais wa Al Qaeda ila hawajawahi ivamia israel.

So sio kila wakati makombora ndio yataleta amani
 
Netanyahu anapaswa kuondoka Madarakani mana kashindwa alakati zake mbele ya Palestine mbele ya Hezbollah mbele ya Houthi na Iranian yenyewe!!

Kuendelea kuwa kiongozi wa Israel kutakuja kumfanya kuwa kiongozi wa mwisho kutawala Israel

mana pande pinzani na Israel wanadhidi kuwa na nguvu kila kukicha ✍️
 
Ni regime change, Netanyahu na gang yake wanaondoka madarakani...

Hivyo waziri mkuu mpya atatengeneza timu yake mpya, na ataingia na sera zake mpya...

Iran sera zake ni zile zile, viongozi wengi waliokuwepo bado wapo, misimamo yake ni ile ile...

So ni regime change inakwenda tokea Israel..
So unamaanisha akiondolewa netangahu sera za Israel dhidi ya Iran zitabadilika?
 
Ukistaajabu ya Brazil utayaona ya Israel. Chaguzi za kisiasa huwa na matokeo ya kikatili sana.
 
Zimebaki dakika 14 polls zifungwe tuanze kupata matokeo ya mwanzoni kwenye vituo mbali mbali huko Israel...
 
Netanyahu amepost twitter x dakika kadhaa zimepita...🤣🤣😂🤣
3113.jpg
 
Sijasema hivyo ndugu...
Nimesema alihitaji regime change in Iran sasa regime change inatokea Israel..
Sasa mkuu hiyo sio regime change, ila Iran kama utawala wake ungeangushwa Sasa hiyo ndo regime change mana utawala mpya lazima ungekuja na sera mpya
 
Netanyahu ni mbinafsi na hajali lolote kuhusu askari wa IDF ama wananchi wa Israel...

19 Oct ndege za Israel na tanker moja ,zimeruka hadi karibu kabisa na mpaka wa Iran... kibaya zaidi IDF ilifanya makusudi Iran ione , ni kama IDF walitaka Iran ishambulie... then Netanyahu aseme Iran imeanzisha vita kwa kushambulia ndege za Israel zikiwa mazoezini...

So what if tanker ingepigwa ama ndege moja wapo ingepigwa na askari akauawa, hilo sio shida kwa Netanyahu, yeye yupo radhi hata atoe sadaka watu 1000 ili abaki kitini...

Nilichogundua Waisrael nao wamekuwa wajanja... wameshagundua mbinu chafu za Netanyahu...

Na hio vita ingeweza yeye angekuwa wa kwanza kukimbilia kwenye handaki, halafu missiles za Iran zikitua na kuua raia, ungeona anatoka mapangoni na masikio yake marefu kama popo akilaani vikali Iran imeua watu...
Wayahudi ni kawaida yao hiyo,wapo radhi kuuwauwa wenzao kwa kuangalia maslahi yao . Tabia hiyo ya kitambo na imejengwa kwenye mfumo wao kwa muda mrefu. Kwa hiyo Bibi yupo radhi ku-risk maisha ya wanajeshi au raia ili kuanzisha vita na Iran na kujinusuru kisiasa ni kawaida kwao.

Kuna kipindi 1940 ambapo shirika lao la jeshi na ujasusi liliweka bomu kwenye meli iliyokuwa imebeba wakimbizi Wayahudi kutoka Ulaya. Lengo lilikuwa kuzuia meli hiyo isiondoke Haifa na kuwapeleka wakimbizi hao Mauritius,wayahudi wenzao 250 walikufa. Pia wana ile doctrine yao nayojulikana kama Hannibal Directive. Hii inawaruhusu wanajeshi wao kumpiga risasi na kumuua mateka wao mwenyewe ili asije akachukuliwa na adui..
 
Back
Top Bottom