Marekani amedunda kwa Iran. Ame fail by 100%.Pentagon yasema kuna uwezekano wa Marekani kuishambulia Iran.
Mark my word iwapo Marekani itaishambulia upya iran, Sitaki kusikia free Iran.
Hasa team Iran maana mna mdomo sana hadi mnaboa.
Ndio uzi tayari 😁😁😁Pentagon yasema kuna uwezekano wa Marekani kuishambulia Iran.
Mark my word iwapo Marekani itaishambulia upya iran, Sitaki kusikia free Iran.
Hasa team Iran maana mna mdomo sana hadi mnaboa.
Pentagon yasema kuna uwezekano wa Marekani kuishambulia Iran.
Mark my word iwapo Marekani itaishambulia upya iran, Sitaki kusikia free Iran.
Hasa team Iran maana mna mdomo sana hadi mnaboa.
Hahahah washambulie mara ngapi? Wamefeli, uchaguzi mwezi ujao so vita ndio bye-bye hivyo. Vyama vya Netanyahu na Trump vinakwenda kuanguka vibaya uchaguzi huu.Pentagon yasema kuna uwezekano wa Marekani kuishambulia Iran.