Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
1. Sifa za Marekani: Uongo, Kuvunja Ahadi, na Hiana
View: https://youtu.be/zST0YHV890w
- "Na Marekani leo kila siku tunasikia kuwa yupo katika mazungumzo na Wairani yeye mwenyewe akijidai kama vile hataki kuleta vita anataka kuepusha vita Lakini waani wanasema sisi tunamjua kuwa eh Trump hawezi mtu wa kuaminika".
- "Na sisi waislamu tuna mtume wetu sahu wasam katufundisha alama tatu za mtu mnafik Akisema basi anasema uongo Akiahidi atimize hadi yake na akiaminiwa basi atafanya hiana Huyu ndio marekani...".
- "Wao vitu wameikubali hii vita tumekubali kuwa hii vita ipo na tushapigana nao... Irani wanasema sisi tunasubiri vita tuko tayari...".
- "Wataalamu wanasema uwezo huo umekuwa nao kwa muda mrefu kwa sababu walijua kuwa iko siku sisi tutapigana na wamarekani na tutapigana na Israeli na hatuwezi kukaa bila kujitayarisha kwa zaidi ya miaka 30 wamekuwa wao wakiweka silaha chini ya ardhi...".
- "Sisi hii vita hapa tushashambuliwa sisi tutashambulia kila maslahi ya Marekani katika nchi za GAF popote duniani kama tunajua kuwa hapa pametumika wao kushambuliwa sisi...".
- "Na kama kweli wamerika watakuwa na ujinga wa kuingiza askari wa miguu Irani basi majeshi ya Irani yanasubiri... si majeshi pekee yake usimuone mtu kavaa kanjozi unatembea mjini yule ni askari kamili komando...".
- "Ukitizama katika hali ya dunia uchumi wa dunia hakika umeteteka pakubwa bei ya mafuta inazidi kwenda juu siku baada ya siku na yote hayo ni kwa sababu Marekani anaichafua...".
- "Dunia inateseka Marekani inateseka mwenyewe na nchi zote za Ulaya mpaka Asia kwa sababu bila mafuta hakuna kitu kinachokwenda".
View: https://youtu.be/zST0YHV890w